acha hizo masta j, jamaa kapewa rolls Royce piiiruuu 😂unasemaje wewe kama Justin Bieber alivyoambiwa ukifika miaka 15 nakupa Ferrari mpya ndio jamaa aliambiwa ongeza kiuno mama utapewa ndege 😅😅😅jamaa kaliwa mbona alikuwa nominated BET awards, katoa matako sema yake sijui hakuchamba fresh😅😅😅

Father j umeongea kikubwa sn mzee wetu ila kwakuwa watanzania akili zetu ndogo tunashindwa kuchakata uhalisia wa jambo kwa umakini asante kwa kuwatafunia kiongozi
Mi nashangaa kila siku tunapenda kumchafua mondi, mondi co mjinga angekua kweli amefanywa k2 kile asingefanya mahojiano yyt kuhus p diddy v2 vyengine tuache unafk
Mmmmmh haya Leo master yupo sahh ila hakuna anaejua kesho yake na kwenye haya maisha watu wanapitia mengi sana na Kuna siku mtasema tuu hapa Bado hamjasema.
Umeongea facts,lakini mambo ya ma gay na mafuta mbona Dudu baya ulisha yaongelea sanaaa yapo sema yanafichwa sanaaa! Matajiri kama Joseph Kusaga,siwalitaka kumuua Dudu Baya kwa kusema kweli, it's sad, honesty 😢
Ni swala la pande mbili. Kuna kutumikishwa lakini pia ķuna watu wanaamua kabisa anatoa mchezo anafanikisha mambo yake sio tuu kwenye muziki. Na wakifanikiwa kwa styl hizo hawasemi.
Mond anajichukia Yeye mwenyewe kwa sababu anajifananisha na wanawake,Heleni,kipini puani,misuko ya nywele na mavazi ya kike na kadhalika ;hizo ni dalili za tabia hiyo anayotuhumiwa nayo!
Sasa uyo pidd hana sebule yakukarinishia wageni kwanini awaitie chumbani naisiwe sebuleni na wanajuwa huyo mtu anakashfa kibao na kesi kama zote..nilazima watu wajiulize kwanini iwe chumbani!!!!!????
Bongo trendy tv❤❤❤ kwa taarifa za uhakika chagua hii chanell🎉🎉❤❤
Master J kaongea FACT mno hii ndio maan halisi ya Legend 💥💥
Kaka master nakupa maua yako ...shule ulioenda umeitendea kaki kwa hii interview ...big up sana.mimi wa ibukoni
❤❤❤❤KWELII uko vizur jay umeongea kwelii watu wanachuki sana na MOND
KIUKWELI nimeinjoi interview hii salute kwenu hapo studio 🎙️🎶🎙️
Hatimae nmekutna na Chanel ya watu wenye akili bonge moja la interview👊👏👏
Point bro mi nahs mond alikataa
Atafankiwa kwsabab kachariwa
acha hizo masta j, jamaa kapewa rolls Royce piiiruuu 😂unasemaje wewe kama Justin Bieber alivyoambiwa ukifika miaka 15 nakupa Ferrari mpya ndio jamaa aliambiwa ongeza kiuno mama utapewa ndege 😅😅😅jamaa kaliwa mbona alikuwa nominated BET awards, katoa matako sema yake sijui hakuchamba fresh😅😅😅
acha hizo masta j, jamaa kapewa rolls Royce piiiruuu 😂unasemaje wewe kama Justin Bieber alivyoambiwa ukifika miaka 15 nakupa Ferrari mpya ndio jamaa aliambiwa ongeza kiuno mama utapewa ndege 😅😅😅jamaa kaliwa mbona alikuwa nominated BET awards, katoa matako sema yake sijui hakuchamba fresh😅😅😅
🎉🎉🎉 napenda sana muziki natamani niwe nami mkumbwa kwenye music ila Sasa nakata tamaa
Mungu ambariki mond wetu anajituma sana.... much respect
Yani uyu baba anaongeaga ukweli hapepesi macho namkubali sana.
Umeongea point sana , very professional
Joachim is good when it comes to interviews. Very composed. (Knows when and what to say in the moment)
Una ongeya ukweli kbs brother 🫡🔥🔥
Master Jay uko smart broo ❤❤🎉
Akili Nyingi Sana Master J.Big up.
Alhamdulilah tumepumua diamond wetu hajafanywa tabia mbaya
Yeye ndie anaejuwa ukweri kafanya wala anafanya wala hapana
Kaingiziwa dudu ila hakuingiziwa yote
Kwani anaishi mwenye zipu ya diddy
Alishafanyiwa
Master J yupo sawa kabisa
Master j umeongea point sn mzee baba umeongea fact bila majungu
Sio kama nampenda sana kaka Mond au fans wake ila hii kweli Master umeongea fact
Nakuerewa sana master upo sawa kabsa wanaitaj kumfedhehesha mond wetu
😂😂😂 mond wenu
Mondi wako ata akujui acha njaa
Ume ongea point master J,,big up sana
Thia is the best interview ,big up
Uko sawa kabisa mast j watu wengi hupenda kutafuta kiki kwa kupitia wenzao mondi yuko vizur na mimi sioni sababu ya kuwajibu maan hata ukmy nao nijibu
point sana
Umeongea ukweli mtupu Master J nimekukubali
Upo sawa Sana master J
Hata kazini
Kwenye siasa pia
Utu-uzima Dawa,
Master Jay unaelewa Mambo. Uko vizuri
👏👏👏nakukubali sana umejibu km mim nlivyokuwa nafikiria akilini mwangu
Fact master j ❤❤❤❤❤ tunakupenda sanaa ww ndo msema ukweli Simba ni mmoja tu tz wezombie
We ndo m2 nanusu❤
Safi kabisa kaka
Uko vzr sana broo j
Apo umenena Master J, apo umenena
Father j umeongea kikubwa sn mzee wetu ila kwakuwa watanzania akili zetu ndogo tunashindwa kuchakata uhalisia wa jambo kwa umakini asante kwa kuwatafunia kiongozi
Nini hii kutaja wasanii wa nchi nyengine wakati sisi tunataka kujua kuhusu wasani wa kwetu haija kaa poa wala nini
Umeongea ukweli Master J❤❤❤❤
Mi nashangaa kila siku tunapenda kumchafua mondi, mondi co mjinga angekua kweli amefanywa k2 kile asingefanya mahojiano yyt kuhus p diddy v2 vyengine tuache unafk
Jay ukosahihi mondo anapambana sana
Yup sahii mastar Jey
point sana master j nitumie hela nikujengee sanamu postar 😁😂
Kweli kbs ❤
omeongea point sana kka ssi watanzania akilizetu ni ndogo sana kuelewa
Sio rahisi kuingia katika chumba cha mfiraji utoke uwe hujafirwa sawa!thanks
Sio kila anae ingia chumba cha MWIZ nae ni mwizi ndg
Master master mhhhh napita mie
Mmmmmh haya Leo master yupo sahh ila hakuna anaejua kesho yake na kwenye haya maisha watu wanapitia mengi sana na Kuna siku mtasema tuu hapa Bado hamjasema.
Asante sana""gate kippers are everywhere where in intertainment and sports industries""the question is what are we suppose to do??
gate keepers wa Ametican music n movies holywood ni wayahudi..kina jimmy iyovine wa interscope,clive davis ,etc
Ni kweli bana lazima usign contact ama ukie chini yake ndio awe na uwezo wa kumiliki maisha yako bila hio haezi kukumiliki
Umeongea facts,lakini mambo ya ma gay na mafuta mbona Dudu baya ulisha yaongelea sanaaa yapo sema yanafichwa sanaaa! Matajiri kama Joseph Kusaga,siwalitaka kumuua Dudu Baya kwa kusema kweli, it's sad, honesty 😢
Una ushaidi kweli!! We kikojozi !!
Safi mastar
Huyu master j anajitambua sn
Mtangazaji unajua sana asee
Hata mimi sikubaliani maadui wanamchafua lakini mungu atamsafisha mond🔥🔥
Mungu amnusulishe na mabalaa hayo
Master yukosawa lakini haiwezi haminika kivile mnazani coz pia Mimi mwenyewe saizi simuamini Mond my hilifanyi situtajuaje😢😢😢😢
Simwamini yeyote yule🙌
Huyu mtu anayo exposure nzuri.. wengine huku tz wanawaza ngono tu
Oya muster apo umenena nakubali sana❤❤
Kweliiu
upo vzr bro
fact sana ndugu yanguu, unaongea vtyu vya maana sanaa
Nakubali sana masta umetisha
Master j🎉🎉 kaka👊
Upo sawa broo hata Hollywood nako wapo wengi tu.
MASTER UMECLEAR AIR..HEWA UMEISAFISHA
Nakukubali mnooo
Unajielewa sanaa anko unajibu kisomi sanaa unazungumza point kubwa sanaa
Mr J nakupendaga kwakuwa mkweli,simamia ukweli
Upo sawa industry sirahisi
Yes diamond akufanyiwa ivo ni uongo
Leo umeongea nimekukubar mzee
Master amenyooka sana aisee
Master is Master
Naludia tena wakwetu hapana 💯💯💯💯💯💯✨️✨️✨️✨️✨️✨️
Umetukosha Bongo Trendy Tv mpo moto
Ndio mkuu umeogea ukweli diamond platnumz hajafanywa kitu mbaya na p ddy. 🫡🫡🫡💯
Mastar kweli tumeongea vzr sana brother
🔥🔥🔥
Ukweli broo sio uongo hiyo ni kuangusha p diddy
Vanessa aliwai sema mziki ulikua unampa mawazasana hakua na furaha alikua anatumikishwa, nadhani alificha cord tuu ange fyatuka
Ni swala la pande mbili. Kuna kutumikishwa lakini pia ķuna watu wanaamua kabisa anatoa mchezo anafanikisha mambo yake sio tuu kwenye muziki. Na wakifanikiwa kwa styl hizo hawasemi.
Ndio hivyo watu wakisema wanaonekana wameishiwa ni wapumbavu lakini ipo siku
Sasa kwa mfano yeye amekubali alicho ama vitu vilivo vuja au vitu vinavo zungumzwa kwenye mitandao 😮😮
✅safi master j
Apo nakubaliana na master J
Master ni master tuu yani kaongea kwahakika kua nimtu mwenye akil
Wabongo tuachane na habari za Diddy hazina impact yoyote katika maisha yetu, mambo ya Diddy sio matatizo yetu.
Ni kweli jamaa Ana maadui wengi sana.Chuki zinawafanya watu wakose Utu
Akina alikiba na wanaomchukia diamond ndo wamefurai make hua ni hater wa diamond ili diamond ni fighter
Mond anajichukia Yeye mwenyewe kwa sababu anajifananisha na wanawake,Heleni,kipini puani,misuko ya nywele na mavazi ya kike na kadhalika ;hizo ni dalili za tabia hiyo anayotuhumiwa nayo!
Sema kweli diamond kashanyanduliwaa 😂😂
🎉 Jmn 🙌 j 🎉 kapendeza 🙌❤🎉 🙌
Kwa tafsiri nzuri ya Master J nikwamba hata yeye alishawakula wengi
🔥🔥🔥
Uko vzr mchambuzi na Mond ni mpambanaji binafisi ila wajinga wajinga wengine wasio mpendwa Mond ila mondi atazidi kuwafunika ni mpambanaji binafsi
Simba usijali maneno ya watu vipofu wa midomo. Lkn amini kwamba hiyo ni ngazi ya kuendelea kupanda juuu
Sasa uyo pidd hana sebule yakukarinishia wageni kwanini awaitie chumbani naisiwe sebuleni na wanajuwa huyo mtu anakashfa kibao na kesi kama zote..nilazima watu wajiulize kwanini iwe chumbani!!!!!????
😂😂
@@MikidadiSalim-xk9dckwani uliambiwa waliingia chumbani? Au haukusikia kwamba walikataa?
Freemason sio kupambana,, ni watu wazembe wanapenda pesa za shortcut,,, kwa hivo nyamaza,
Nichuki binafs zawa bongo wasiho jielewa kuis vityu ambavyo avipo Yani wa tz dr
Burna boy amebadilisha mpaka mavazi nimeshangaa anavaa mpaka viatu vya kike yule chuma alikila 😮😢
Take that from the 🐎's mouth ""he's a legend in the industry
sio pouwah kbsa
Unaakili sana
Diamond signed a deal with Ciroc Vodka a while back and guess who is one of the partners, Diddy combs
Wacheni kumtetea na alidandia mkwaju😅😅😅
LIE
Kwa mara ya kwanza master Jay kaongea kitu Cha maana na ukweli mtupu,,,,, industry inamambo mengi
Kabisa,u,eongea vizuri Kwa utu nautuluvu na hutaki dhambi baba,DAI wanamsingizia
👏👏👏