Mashaallah ukhuty saut nyororo eti watu wanasema kwa dida hamfikii kama kuimba anajua sauti anayo kumbukeni hata mnazi ulianza kama mchicha inshaallah usivunjwe moyo kwa vicomment vyao kaza kipaji unacho ukhty
Kwani yy kajifananiza na mtu au kaonesha kipaji chake mungu alichomjaalia jamn tusirudishane nyuma kimaendeo! Mungu akufikishe unapotaka inshaalah: aamin
Mashaallah mungu akuzidishie na usitishiwe na wanao kupiga vita simama kwa mungu na atakufikusha kwenye malengo yako wengi wanafurahi wakiona watoto wanawaaigiza wasanii na kuwapongeza bt hapa ndio wanaumia nakuombea dada Asha utafanikiwa inshaallah
Dida ni namba nyengine anajua allah kamjaalia, hivy musimfannishe dida kwa kazi yake na kumkanda kwa watu wengine dida anjua, cha msingi ni kumsifu huyu dada yeye kama yey na sio eti kumfanansha na dida na eti dida aonkane hii qaswid aliimba sio nzur wakati ile hatr nahasa kwa sauti yake dida ni shida, hii rimx kajitahid huyu dads anjua mashaallah ila msimfannishe na dida allah kamjaalia bhn
Mbona kazi nzuri jaman waislamu tupendane mi huyu nimempenda na dida nampenda wote wanaimba vizuri habari ya kaimba kuliko fulan haisaidii chochote kabisa.nasi twataka qaswida yetu ipae ifike mbali iheshimike sambamba na ujumbe wake
Hii ni remix ya dida bhn bado ajamfikia dida kwan dida sauti maashaallah ni kipaji kutoka kwa allah amemruzuku amja wake na wala si kwa kufijunza km awa wa sasa hivi. Hvyo ajipange kumfikia dida ila na yy maashaallah atafikia tu malengo kikubwa ni uvumilivu
Wewe unaejiita ukht ASHA nakuonya wacha kuimba taarabu ukisema ni qaswida wachana hiyo tabia muogope mungu kwani atakwnda kukuliza siku hiyo ya kiyama musimcheze na maneno ya mungu ni matakatifu sio nyimbo ya taarabu!
Huyo ni taarabu sioqaswida maana ni mgoma inayapigwa sio qaesida wacheni huyo tabia ya kusema qaesida inaheshimiwa na ina msifu mtume wa mungu munapata dhambi kwa mungu
Wallahi iam soo crazy about this song hawa watu wanifanya nikaze haswa naamini kuna siku nitafanya nao kazi inshaallah.show me love pitia chanel yangu enjiid kuskiliza qaswida yangu yaitwa mazito.karibuni🙏🏻
Achenii ujiingaa uoo munapoo msiifuu mtu mumsifuu tu kwakipajii chakee nasioo kumfananisha namtu .Mimi Kama somoo yanguu na msifuu anawezaaa na atakuwa juuu
kwani uyo dida aliaza kujuwa kaswida 2 siyo aliaziya hukohuko chini hata dida hizo kaswida zake zazamani hazina kichwa Wala miguu kwaiyo mdogo mdogo ndiyo mwendo usimkatishe tamaa mwezako asha piga kazi achanana wasenge ambawo kaziya yawo kukatisha tamaa watu

Mashallah ukhty pambana ... Kazi nzury Ukhty Ashuu kla mt na alvomjaalia Allah uyo dida mung kamjaalia t ila ukwely ukhty uko vzr mashallah
Mashaallah mungu akuzidishie na usitishiwe na wanao kupiga vita simama kwa mungu na atakufikusha kwenye malengo yako wengi wanafurahi wakiona watoto wanawaaigiza wasanii na kuwapongeza bt hapa ndio wanaumia nakuombea dada Asha utafanikiwa inshaallah
Hongra ukhty Adila saut yko kwa mbalii hoyawee hoyaaawee amefuzwa uyu mwanaa na somo yake toka juuziii big up ukhty adila
Dida ni namba nyengine anajua allah kamjaalia, hivy musimfannishe dida kwa kazi yake na kumkanda kwa watu wengine dida anjua, cha msingi ni kumsifu huyu dada yeye kama yey na sio eti kumfanansha na dida na eti dida aonkane hii qaswid aliimba sio nzur wakati ile hatr nahasa kwa sauti yake dida ni shida, hii rimx kajitahid huyu dads anjua mashaallah ila msimfannishe na dida allah kamjaalia bhn
Mbona kazi nzuri jaman waislamu tupendane mi huyu nimempenda na dida nampenda wote wanaimba vizuri habari ya kaimba kuliko fulan haisaidii chochote kabisa.nasi twataka qaswida yetu ipae ifike mbali iheshimike sambamba na ujumbe wake
Love you
wanachuki tu ao hawan lolot
kbx
Kabisa husda ndyo zimewajaa wanadam
Hello
Mashallah ana kipaji na anaweza..sio kufananishana weka Allah mbele na atakuwezesha ukhti...usivunjike moyo...
Hii ni remix ya dida bhn bado ajamfikia dida kwan dida sauti maashaallah ni kipaji kutoka kwa allah amemruzuku amja wake na wala si kwa kufijunza km awa wa sasa hivi. Hvyo ajipange kumfikia dida ila na yy maashaallah atafikia tu malengo kikubwa ni uvumilivu
achen ujing kW kuw didy nd nan awez na wnziw wasiwez wot wak vzr cn tu ten yup juu kulik didy km rhx mbn hmkwend com nyny km mnawez
Hongera dear kaswida nzuri sana tu
MashaAllah magic voice ,Allah akulinde na akuongezeeee
MashaAllah With Love From Mombasa Kenya
Me nmeipenda ni Zaid ya original...
Kizur kisifiwe2 achen roho mbaya
Mashallah ukhty ila usibabaishwe na midomo ya watu. Hi ndio hali ya maisha,😄
Huaga mm sikuzote napenda sana hizi kasweda yani dah nikiziskia rohoyangu tulivu
Amefunzwa huyu kimwana nasomo yake toka juzi 👌👌👌👌
Wewe unaejiita ukht ASHA nakuonya wacha kuimba taarabu ukisema ni qaswida wachana hiyo tabia muogope mungu kwani atakwnda kukuliza siku hiyo ya kiyama musimcheze na maneno ya mungu ni matakatifu sio nyimbo ya taarabu!
Didah namba1 tuu
Nice❤❤
wanachuki tu ao wote vipji wanavyo saw ten hii ndo Kali asaaa km rhx mbn hamjsom nyiny mnowez km mnawz kwel mungeend bwn
Mimi somo yakoo nipo pamojaa na wewe uhty asha .piga kazii .usiibabaiShwe na wanaoo kuzungumzia vibaya
Hii qaswida mwenyewe ukhty dida ndie anaeipatia ukhty dida no1kwa wasomaji wengine
at awe kasom mond na innos akitolea rimix kib xio vby wot vipaj vyao vik sawa n wampw n mung
MaaShaAllah
Huyo ni taarabu sioqaswida maana ni mgoma inayapigwa sio qaesida wacheni huyo tabia ya kusema qaesida inaheshimiwa na ina msifu mtume wa mungu munapata dhambi kwa mungu
Ukhty dida no 1 hakuna anayemfikia hao wengine wanaiga tu
Dooo husemi hata mashallah
ata akiwa no 1dida asha yey atakuwa no 0 maan nd mwanz wa nambar at mukisem lkn nd kixhaisom na anawez
KAjambee.kule uyo dida kwakua malikia au
Kajitahidi lakini hamfikii dida
Mashaallah!! Nzuri sana
Mkiandia msiandike kama flan yupo juu kuliko flan mnawatia rohombaya dida ni fund bi Aisha jitahid umfike
Nice mashallah 👏👏👏👏
Wallahi iam soo crazy about this song hawa watu wanifanya nikaze haswa naamini kuna siku nitafanya nao kazi inshaallah.show me love pitia chanel yangu enjiid kuskiliza qaswida yangu yaitwa mazito.karibuni🙏🏻
ucjl mwaya
Mashallah
anawez mbn yuk vzr
👌👌👌👌💖💖💖
Ma shaa Allah 🤗😘
Achenii ujiingaa uoo munapoo msiifuu mtu mumsifuu tu kwakipajii chakee nasioo kumfananisha namtu .Mimi Kama somoo yanguu na msifuu anawezaaa na atakuwa juuu
Inshallah
Nielekezeni mini sijui kiswahili🤣
🤣🤣🤣👀👀👀👀
achaa maajabu unamfia kwa lipi hasa ?
kama wataka kuimba imba Lakini ucijifananishi n'a wengine
Qaswida inajulikana na taarabu pia inajulikana musiharibu sifa ya qaswida ha maulama wakisikiza watajuwa ulikuwa unaimba taarabu sio qaswida
Jaman dida yupo juu huyu nae anajua
Bado sana kwa dida ajitahidi atafika mbali lkn asisome kasida za kuiga atowe mahadhi yake ya sauti ndio tutajuwa kama hodari hiyo sio kasida yake
yupo vizur ila kwa dida mmh wasimchokonoe bure
Hiyo ni qaesida gani ya watu kucheza chakacha? Kina mama hebu elimikeni muachane na mambo ya kishetani mukisingizia qswida
Mashallah mashallah
😂😂mpya hio😂😂simalz kumsklz 😂😂😂😂
Mashaallah
Mmmh Dida bado no.1 ila akazane atamfikia
MWANATUMU JUMA duwa
Hongeraa kazi nzur uko poa 2kopmj👏
Cheeee dida hn mpinzani
fatma said njooo hapa bikirembo mwenzangu😂😂😂😂
unafkiri utamfikia dida kwa sauti hio kama umebanwa na mlango
omar bin omar achen unoko uo mbna nyie munashndwa, kaza mama kaza ao ndo binaadamu
😂😂dah
Didah nmba1
Acha ujinga uoo
kwani uyo dida aliaza kujuwa kaswida 2 siyo aliaziya hukohuko chini hata dida hizo kaswida zake zazamani hazina kichwa Wala miguu kwaiyo mdogo mdogo ndiyo mwendo usimkatishe tamaa mwezako asha piga kazi achanana wasenge ambawo kaziya yawo kukatisha tamaa watu
Umeiba iyo kaswida ya dida
Na uyoo dida sioo yake .hii nikasida yadufuu kwaioo wote sioo yaoo bidada
Kanyeee uko ww mwenyewe umeibaaa
@@saikkyiddy382 kwani wewe mwanamke mwanname mbona husomekii
Mashaallah
Mashaallah