PART4:KIJANA ALIEFUATA UTAJIRI WA KICHAWI WA SHARTI KUMUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MAMA YAKE MZAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 149

  • @SK-pb5ke
    @SK-pb5ke 4 роки тому +4

    Kwa Waganga hakuna furaha,Kwa Waganga hakuna mafanikio.Ule utajiri wa Haki ni ule unatoka Kwake Mwenyezi MUNGU.PRAISE NAME OF THE LORD JUSUS CHRIST🙏🙏🙏

  • @davidsolomon5240
    @davidsolomon5240 4 роки тому +1

    Congratulation brother!Umefanya vizuri Sana kurudi Kwa Bwana Mungu! God bless 🙏 you for might name of king Jesus! Haleluya!

  • @chidomgombela8792
    @chidomgombela8792 4 роки тому +1

    Davistar upo vizuri bro.Unatupa story zilizoenda shule kiasi kwamba mtu akisikiliza anajifunza jambo. Huenda kuna watu walikuwa na mawazo ya kwenda kwa waganga lakin kutokana na kile wanajifunza kupitia stori zako wanabadili mawazo. I appreciate you brother.salute

  • @oprahsalum8185
    @oprahsalum8185 4 роки тому

    Asante Bwana Yesu ubarikiwe sana mwanangu shetani ni mwovu kazi yake in kuiba kuuwa na kuharibu Mungu akiongozwa usianguke tena ktk dhambi

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +2

    Subhanah Allah, alafu kijana anakubali tu kwenda mlala mamae Ina lilahi waina ilahi rajiun

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 роки тому +12

    Jamani wachawi mtakwenda kujibu nini mbele ya Mungu, kufanya mapenzi na mama yako mzazi kweli,eti kisa uwe tajiri.

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому

    Thanks Davistar kwa kazi nzuri unakuta kijana bado mdogo tu lakini ni tajiri mpaka unashanga kumbe sio utajiri halisi

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Mwenyez mungu aliamua kumuondoa atoke kwenye dhambi hyo ili Mali za kishetani zifike mwisho

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Subhanah Allah, mwana alale na mamae Ina lilahi waina ilahi rajiun yani hawa waganga wataenda jibu nn kesho mbele ya Allah

  • @kibibi7826
    @kibibi7826 4 роки тому

    Vijana ndio tunaopitia changamoto nyingi za maisha tunashindwa kujua kama ni mitian ya mungu kutupima imani zetu zinakua wapi wengi ukimbilia pande za ushirikina tunasahau kunu Muumba wetu...Hapo unachunguza pesa ya Ushirikina aidumumu na inamasharti kama yote wallai...Allah atuongoze vizazi vyetu mana dunia hii inaenda mwisho

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Subhanah Allah, kwa nn waganga wanapenda sana kama mtu anataka hela ya utajiri mpaka umlale mamako yani kwa kweli kama ni yy anaeza fanya mmbo kama hayo

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 роки тому +5

    Kama umeeza kula funza basi mabuu pia waeza na nife maskini tu roho safi😂😂😂

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 4 роки тому

      Nadhani yote.sawa mana yametoka kwamwili wamtu amekufaa tafsir mybe ndotofauti😂😂😂

  • @jamesmuhia1047
    @jamesmuhia1047 4 роки тому +2

    Mr. Facts mtu makini kabisa.
    Kazi nzuri kaka...

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 роки тому +1

    Utajiri na heshima ni kwa Mungu baba wa Bwana wetu yesu,

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +2

    Subhanah Allah, yani unamfanyia hivo mamako awe mrahisi kwako

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +3

    Pamoja sana Davistar 🤝

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +2

    Ina lilahi waina ilahi rajiun, miaka 4 Subhanah Allah yani unamuingia mamako mzazi

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 роки тому +2

    Babuuu kama upo mwanzaa mtafute mchungaji pamangwanaa ana story nzuri Sanaa aliku jambazi uchawi ndio usiulize sasa iv ni mchungajii

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +1

    Ameen hongera Sana..😁🔥👏👏👏

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 роки тому +3

    Usilete ujanja ujanja siku nyingine, daa mitihani bora nife masikini

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 4 роки тому

    Utajiri wa kishetani siku zote ni mitihani mitupu, ni bora tu vijana mpambane sababu maisha hayana janja janja wala shortcuts, Mungu akusimamie.

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +2

    Duu pesa ya ivyositaki unakula funza kabisa hajatapika kweli🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @awadhirajabu6833
    @awadhirajabu6833 4 роки тому +3

    Wachawi Wanaweza Toka Dar. Kwenda Mwanza Kwa Dakika Mbili Au Tatu Kwaivo Usishangae Yeye Kuanguka Mbali Kwetu Sisi Tunaona Mbali Kwa Wanga Awana Umbali Hata Ulaya Wanaenda Na Kuludi Na Kwenda Tena Na Kuludi Wachawi Nisawa Na Ewa Tu Ndo Mana Awana Faida Kwa Mungu Wakifa Awana Vizingiti Zaidi Ya Moto Ndo Mana Wanakua Na Roo Mbaya Zaidi

    • @martinmaryogo6081
      @martinmaryogo6081 4 роки тому

      Kwel yan hawa wanajua tyr wanaenda motoni, ndo maaan wanakuw na roho mbaya hahahahahaaa

  • @latifaabdulla1429
    @latifaabdulla1429 4 роки тому +2

    Kofi limekuchanya mpaka ukajikuta unaramba kamasi duuuu nimecheka leo

  • @fahmiali5403
    @fahmiali5403 4 роки тому +4

    Leo wa 10

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +5

    Wakwanzaa

  • @remigjohn4843
    @remigjohn4843 4 роки тому +5

    Wa kwanza kuifuma

  • @wasafishadrack8398
    @wasafishadrack8398 3 роки тому

    good job ❤️❤️🇨🇩

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 4 роки тому

    Kofi hd kamasi duuu htari sana labda alipigwa na goliati

  • @sarahogama9540
    @sarahogama9540 4 роки тому

    Hii ya kulala na mama ndio mondy pia humfanyia mamake wallahi Hadi haezi oa mamake amemganda kma mkewe Jamani kumbe wanatiana

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 4 роки тому +2

    Davista hivi Hawa wanaosemaga, Leo mi wa kwanza, cjui wa pili, au nimewahi leo, huwa unawapa Zawadi au wanapata nn hasa ili kesho na mm nitege niwahi.....!! 😂😂 Eti utasikia wa kwanza leo....!! Ili iweje ssa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️miaka mbili nanusu eti mtoto alale na mamake loo masharti mengine bn ya kuzimu kabisaaaa
    Utajiri kupitia kafara eti ulale na mxaxi wewe Mungu akusameheee kweli

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Huyu kijana mjinga sana, toka mwanzo hukumjuwa Allah mpaka mikosi ilipokutokea je ingelikuwa mamako hakuaga je

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 роки тому +2

    Kwaiyo jamaa aliingiliwa kinyume na maumbile na yeye alimwingilia mama yake,daah waganga wabaya sana

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому

    Yan waganga wabaya sana aiseee bila aibu wanasema mtoto alale na mama ake tena mtoto wa miaka 2 na nusu aiseee ni makufuru laana..bora umewah kanisani na umefunga milango yotee ya kuzimu wewe ni shujaa bro wengi apa tunawasikiliza wamepata mazito lkn mwisho awana ata habari ya kutubu..awajui kama milango ya kuzimu ipo wazi bila damu ya Yesu ni bureee bro Mungu akubariki sana ....

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Aiseeee, mama kafariki ss hapo sharti lengine litakuwa lipi hapo

  • @deofred1517
    @deofred1517 4 роки тому +1

    Pamoja sana

  • @navokisembo
    @navokisembo 4 роки тому

    Yaani hizi pesa za waganga shetani anakupa kwa muda mda mfupi tuu ananjia anafanya ukosee yaani mwisho wake shetani ndo anafaidi, mbaya zaidi wale waliotoa sadaka famia zao halafu wanabakia wapweke na umasikini juu. Jamani tujifunze tuu hakuna bure kwa shetani. Mungu pekee ndo njia.

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 Рік тому

    Nipe links ya numbers 2 please

  • @akinyisheron9503
    @akinyisheron9503 3 роки тому

    hahahaha....alilamba kamasi...thatwas funny

  • @abdillahkhamis4303
    @abdillahkhamis4303 4 роки тому

    Huu utajiri kwa kishirikina hauna mwisho mzuri wanakupa hela ila mwisho wa siku lazima utakosea masharti tu hakuna aliedumu kwenye huu utajiri maisha yake yote

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 роки тому

    Utajiri wamasharti mwisho wake mbaya jamani vijana kuweni na subra mwataka utajiri wamkato

  • @jayjuhudinyamike2211
    @jayjuhudinyamike2211 4 роки тому

    Pesaaa???

  • @bwirechrispus3092
    @bwirechrispus3092 4 роки тому +2

    I have listened to many scripted stories by this man davi n I have come to a conclusion that most of them end like Nigerian movies. Dah wote humalizia kanisani au msikiti badaa ya kufilisika uongo mtupu I say

    • @Powelltz
      @Powelltz 3 роки тому

      Ila, kama unafwatilia kwenye hizo stories, unaweza ukaunganisha dots, maana kuna stories zinakutana, kuna matukio ya ajali yanakutana katika stories.. kama yule jamaa aliejiita Lwanda magere, kuna vitu alikuwa anasema na mimi nilikuwa navitafuta ili kupata ushahidi zaidi na kujipa uwakika. maana kuna matukio yanaachaga simulizi kwenye jamii, waweza kufwatilia.

  • @josephineasiza7888
    @josephineasiza7888 4 роки тому

    Amina

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Oralenga han`oo ukurwaa bhenee, mola atuepuxhe cku za mwisho cjui tutajibu nn

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 роки тому +1

    Kwaupande Wang shart kubwa kwangu ni laku UA au. Kuingiliwa m bas mengne yakawaida

    • @abdillahkhamis4303
      @abdillahkhamis4303 4 роки тому

      Basi nenda yapo ya kupata donda ndugu halipowi kila likitoa usaha na utajiri wako unaongezeka

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 4 роки тому +1

    Kwani wanajuaje km hapa ni singada au wilaya flani usiku km huo wakt sio wachawi😂au wanaambiwa na waganga

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 роки тому

    Hapo kwenye kofi nimecheka mpka machozi yamenitoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 4 роки тому

    Lizika na kile MUNGU anachokubariki kaka

  • @zuhuraimran3659
    @zuhuraimran3659 4 роки тому +2

    Kijana namuhurumia sana atajibu nn kwa mungu

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому

    Wewe kijana ni mshenzi ilikuwa ukubali iwe basi utajiri km lazima umfanyie mamaako ushenzi . umelaaniwa wewe . kwani lazima uwe tajiri ? Mungu hakutaka kuwa uwe miongoni mwa matajiri sio km alishindwa kukupa utajiri .

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Hahaha walimwengu na malimwengu yao aisee dah.

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 роки тому +1

    Tunaendelea to gether

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 4 роки тому

    Kijana hajui kujieleza huyu anamaliza bundle

  • @maliharajab7168
    @maliharajab7168 4 роки тому

    Icho kitendo cha mtu kulala na mama yke mzazi hicho nikikifkiria nahisi ubongo kama unataka kuachia icho kitendo hakielezeki daaaaaaaaah..... 😔😔😔😔

  • @jumanneswalehe1118
    @jumanneswalehe1118 4 роки тому +2

    Kuna jaa nilisikiliz stori yak kwenye radio yup mwanza aliishi gambosh miak kumi nistor nzur san no zak nikutumie maan alie kuwa ana muoj alikua ana oji juujuu tu nistor tam san tungeipat hap

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 роки тому

      Nipe

    • @alphonceatanas7863
      @alphonceatanas7863 4 роки тому

      Oya mpe izo namba zake bac

    • @jumanneswalehe1118
      @jumanneswalehe1118 4 роки тому

      0764598589//0628638308 yani siri yagambosh utaijua tren inauotok naigeria inapit gambosh adi misri kwa firain fany chap tupat hii stor aliitoa redio free afrik mwanz jumapil

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 роки тому +1

      Kumbe ndo huyu nilishaongea ila akaleta ujuaji!

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 роки тому

      @@DavistarMataMediaDM tuletee na sisi davi jmn

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    😄😂😂😂🤣🤣🤣 kibao mpaka unaramba kamasi zako dhuuu

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому

    Yaani huyu jamaa mshenzi kweli tamaa imemuandama . huu utajiri wakulazimosha hakuna mtu hata 1 nilomsikia akabakia kuwa mambo yake kuwa mazuri

  • @jumanneswalehe1118
    @jumanneswalehe1118 4 роки тому +1

    Nimeshazitum hiz no zajam yup mwanz

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 4 роки тому +1

    Yaani unaambiwa tu ufanye maovu

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому

    🤣🤣🤣Dogo apeleka ujanja kwa uchawi

  • @evachuwa116
    @evachuwa116 2 роки тому

    Davistar ubarikiwe shetani hajawahi mwacha mtu salama kamwe msaada uko KWA MUNGU PEKEEE TU

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Yani waganga na wachawi watafanya yote ila la kushangaza hawaezi fanya wakaingia kwa bank kuchukuwa hela

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +1

    Daaa
    Mtihan mkubwa

  • @ratifamzima1255
    @ratifamzima1255 4 роки тому

    Mi nahisi wanaoenda kutafuta utajili huwa wanahisi wanaenda kukutana namshalt yakawaida mwisho wasiku wanakutana nachamoto ila nashukuru kwakipindi chako kinatuelimisha

  • @juliusmushi6428
    @juliusmushi6428 4 роки тому +1

    Hebu tupo story za Gamoshi mkali

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 4 роки тому

    Dunia simama nishuke. NGAI fafa.

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 4 роки тому

    Duuu!

  • @askaounga6456
    @askaounga6456 3 роки тому

    I think God i was not born in Tanzania haki afathali utajiri ukae utalalaje na mamako?

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Ila jana sikueza wai aiseee, story inaendelea

  • @salmawage7259
    @salmawage7259 4 роки тому

    Hatari mtihani mkubwa

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 роки тому

    Yeah

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 4 роки тому +1

    Leo 23

  • @aysherkitoi1845
    @aysherkitoi1845 4 роки тому

    Story ya huyu kma anatunga mambo yake hayana ushirikiano na wala hajui kujielezea

  • @filbertlucas2236
    @filbertlucas2236 4 роки тому

    Vijana tufanye kazi tuache kupenda vya bure vya bure vinaponza

  • @awadhirajabu6833
    @awadhirajabu6833 4 роки тому +1

    We Nikuma Sema Tu Wengi Wajifunze Kutoka Kwako Ukitaka Utajili Wa Kichawi Uwe Na Roo Ngumu Uwe Unafata Mashaliti Na Uwe Mtiifu Wa Kweli Wa Shetani Ukivua Nguo Nilazima Uoge Kwashetani Akuna Uruma Ndo Mana Unaweza Kuuwa Ndugu Zako Wote Cha Ajabu Ukija Pata Utajili Siku Moja Tu Ukikosea Mashaliti Ndo Usaau Kuludi Utajilini Tena

    • @abdillahkhamis4303
      @abdillahkhamis4303 4 роки тому

      Inaonekana ww mwenyew una utajiri wa kichawi kwa maneno yako na ww katowe stori yako au ndio unasubiri mpka ufilisike

  • @latifaabdulla1429
    @latifaabdulla1429 4 роки тому +1

    Tupo pamoja

  • @salmadhiab2693
    @salmadhiab2693 4 роки тому

    Dahh dahh balaa dahh kijana huyu muongo muongo dahh

  • @zainabukabura9876
    @zainabukabura9876 4 роки тому

    nimecerewa kidogo kuifuma

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 4 роки тому +1

    kijana alikua mu ovu sana.

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 роки тому

    Ujanja haufai

  • @jumanneswalehe1118
    @jumanneswalehe1118 4 роки тому

    Yan mm napend stor kam hiz sem naon umepunguz spid ya kutoa stor sik hiz unatukeraaaaaaaa una jua

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 2 роки тому

    Jamaa huyu muongo,anatafuta maneno.Yani anaunga unga.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Umeambiwa kula funxa ukakiukaa mashart ukapigwaa Kofi haya fumba macho ukafunga naukafungua mbona wewe gubu hivi naunataka utajiri

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому

    Davistar hebu uje uweke hizi Story zako kwenye SD kwajili ya watu wengine ju kila mtu angependa kusikia mambo kama haya lakini hawana Smart phone pia pesa yakuweka Mbs kila siku hawaweze sasa ukiweka kwa SD mtu anajinunulia SD yake sijue we unaonaje

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому +1

    Bora alivyotubu

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому

    Ganda sikuzote ukiteleza lazima likutoe meno

  • @elizanafasi6960
    @elizanafasi6960 3 роки тому

    😭😭😭🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️

  • @rahmasuweyd827
    @rahmasuweyd827 4 роки тому +1

    Yani ule funza kisa uwe tajiri jamani

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 4 роки тому +1

      Dada imekuuz iyo ya funza😂

    • @rahmasuweyd827
      @rahmasuweyd827 4 роки тому

      @@deelissa2746 aaah Yani funza kabisa unakula.kisa uwe na pesa nikama utazikwa nazo I can't do that duuuu funza tena uwatafune subhana Allah Allah atusamehe atupe mioyo ya kutosheka na kukinai

    • @mamayao9816
      @mamayao9816 4 роки тому

      Jee kulala na mama

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 4 роки тому

      @@rahmasuweyd827 Amina,Yan Hawa waganga Hawa mpk mtu unawez kuwaogopa sasa😅

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 4 роки тому

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆

  • @godfreyassenga7671
    @godfreyassenga7671 4 роки тому +2

    wakwanza

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 роки тому

    Kamla mama yake kwa mparange kwa miaka 4 hatari kweli

  • @elizanafasi6960
    @elizanafasi6960 3 роки тому

    🙆🏼‍♀️🤔🤔🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️😭😭

  • @salimalaquimane2640
    @salimalaquimane2640 4 роки тому +1

    Mmmmmh,🤭🤭

  • @rosekyule3163
    @rosekyule3163 4 роки тому

    Doha tunafuatilia

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому

    Hao waganga wanga wanajuwa kama wao wanakwenda motoni kwa hiyo hawataki wakachomwe peke yao na ndio mana huwatafuta watu kama nyie ili mkachomwe nyote

  • @norregaraper5383
    @norregaraper5383 4 роки тому

    Dud

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Tupo makini sana watu wako