PART1:KIJANA ALIEFATA UTAJIRI WA KICHAWI WA KUJIMALIZA MWENYEWE/MACHO YAKE YAPO MGONGONI/UCHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 136

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 4 роки тому +16

    Wa kwanza Leo gonga like hapa kwa we ni mfatiliaji wa simulizi ixi

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 роки тому +6

    Big respect Davistar Mata umeenda deep sana unatufungua mambo mengi ktk upande wa pili

  • @sitikitsui2155
    @sitikitsui2155 4 роки тому +14

    Wa kwanza 254🇰🇪🇰🇪

  • @nurusalim846
    @nurusalim846 4 роки тому +3

    Asante davista kwa kutuburdisha na kutuelimisha

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому +1

    Subhanah Allah, jamaa karogwa hadi jamaa wake wanamuogopa

  • @momyusuf7731
    @momyusuf7731 4 роки тому +4

    Bro davistar hapo mulipo Kuna upepo mwingi hatusikii vizuri

  • @josephinemumbua159
    @josephinemumbua159 4 роки тому +4

    Mimi chenye najua maisha mazuri upatikama Kwa yesu sio Kwa mganga

  • @jumazia2184
    @jumazia2184 4 роки тому +5

    Oyaa Davis, punguza sauti ya radio inaboesha.🇯🇲🇯🇲

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 роки тому +1

      Mr Mata zamaaani tumemwambia asitutilie hii music inaumiza maskio na hatuskii vzr saa nyengine na inabowa lkn......hatuskilizi🤪

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 4 роки тому +5

    Sasa hizo pesa ni za nini? Bila mke bila watoto. Pole kaka Njoo kwa Yesu

    • @nashonandreas
      @nashonandreas 6 місяців тому

      YESU ndio kila kitu shetani hana nafasi

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +1

    jamani maisha magumu kila mtu voo hata huyo pesa anakuwa na maisha magumu kiupande mwengine ndio km hivyo unamkuta mtu tajiri lakini ana masharti au pengine mgonjwa .

  • @mariamshabani6853
    @mariamshabani6853 4 роки тому +3

    Asente Sana broo

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +1

    Waganga Mungu anawaona yan waganga nyinyi mnashirikiana na shetani kualibu ulimwengu binadamu tumkatae shetani ni mbaya sana

  • @mwamurekadenge2161
    @mwamurekadenge2161 4 роки тому

    Perfect story divester mata nakufatilia sana bro kipindi chako hongera sana bro

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому +2

    Thanks Davi Welcome back and Long time

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 4 роки тому +2

    mganda kutoka Saudia, pamoja Sana Mr facts mtu wangu makini

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +3

    Siku hizi nachelewa ajabu, si mradi nimewatch, 🙈

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 4 роки тому +1

    Jameni suala langu kwani ukisema mulikuwa munashida kwani shida sisi binadamu tuko nazo jameni kitu sielewi kunawatu wakipata shida tu wanakimbilia kwa waganga siyo hivyo tumuombeni mungu namungu ndiyi wapeke Atatusaidia hakuna zaidi ya mungu

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 4 роки тому +1

    Wakwanza like hapa twende sawa 😃

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому +2

    Pamoja mr Facts 🇸🇪🇸🇪

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +4

    Ganda la ndizi alikuachi salama

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1

    Huyo alirogwaaa kweli loo viungo vilibadilishwaaa jamani uchawi hatari

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 роки тому

    Sasa angalia mali huna wala huna tena nguvu za kiume,utajuta maishani mwako,utakuwa fukara,mbona ulivyo kuwa na mali hukumwona Davistar mata?mwiba wa kujichoma huwambiwi pole,you deserved that Bro

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1

    Hiyo shamba nikama haina rutubaa ndomana eka inatoa hixo gunia kidogo ungejiongezaa hata mbolea watu hutumia hiyo akili

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +2

    Mr fax ushapiga kura 😂naomba Aman nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @maureenmwende3515
    @maureenmwende3515 3 місяці тому

    Wah kweli kuna mambo ya ajabu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +3

    Hawa wachawi waliamini fisi ndousafiri wao loo kazi IPO nawachawi

    • @nurusalim846
      @nurusalim846 4 роки тому

      Wenzao wanapanda maprado wao wanapanda fisi

  • @navorossy720
    @navorossy720 4 роки тому +1

    Jmn tumrudie mungu

  • @njerimukami3112
    @njerimukami3112 4 роки тому +5

    From kenya

    • @lolguy-x9n
      @lolguy-x9n 4 роки тому

      wakenya kweli. kudoea ma bongo music tena sasa tuko huku kwa maajabu maajabu

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Місяць тому

    Big up dav 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @LavazasBroadcast
    @LavazasBroadcast 3 роки тому +1

    Nice, you need a better microphone. Get a lapel.

  • @shammybeybe1825
    @shammybeybe1825 4 роки тому

    Napenda mwanya na Smile ya Davistar

  • @kanyangezafaraniddi6518
    @kanyangezafaraniddi6518 4 роки тому

    Pamoja saan mtu wetu makini from🇨🇦🇨🇦

  • @salmamohammed5623
    @salmamohammed5623 4 роки тому +3

    Please tupunguzie mziki hatusikii kitu

  • @abdullahramadhan7442
    @abdullahramadhan7442 3 роки тому

    Mkali sana jamaa

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 роки тому +1

    Pole kijana

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 роки тому +3

    Mbonaa ckuu izii uhelewekii umalizii interview

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 роки тому +5

      Zote nitaweka ila kuna tatizo la kuzimwa internet Tz Tz kwahiyo zote nishaziweka bado kuwa published tu

    • @schram569
      @schram569 4 роки тому

      Kaka Matheo Thomas unaweza ukanisaidiza number zako nikukute inbox nikuulize kitu ?

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Kk Davi, hii background sound uwe hauieki manake ipo na sauti kuliko maongezi🇰🇪

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 4 роки тому +3

    Dunia ina Mambo jamani

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому

    Pole kwa yote kijana, umejiuwa kisa unataka pesa za haraka hazipo aiseee piga kazi ndoo upate utajiri

  • @joshuatalu9596
    @joshuatalu9596 4 роки тому +2

    Kama kawa🇰🇪

  • @hidayaalmanji6720
    @hidayaalmanji6720 4 роки тому +2

    Nimewahi Leo davi

  • @ahmedmohd3287
    @ahmedmohd3287 3 роки тому

    ✌pamoko D.M.

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому

    Dev Vp hupigaji wa kula Umepita salama

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Mmbo hayo ni kufanya subra kuliko kwenda kwa waganga ama kutafuta vitu kiuchawi🇰🇪

  • @jaliamohamed8282
    @jaliamohamed8282 4 роки тому

    Sema dv ujipange habar za file limefutika. Kwa bahati mbaya zinatuumiza mbona external zipo za kumwaga tu ,siuhifadhi humo,hiki kipindi chako kama madawa ya kulevya na watu tushaelewa tena

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 4 роки тому

    Mr fact on fire
    Daaah hiyoo kali
    Kudinda muhimu ww

    • @eshalibaba1195
      @eshalibaba1195 4 роки тому

      😀😀😀😀😀😀

    • @allykibabe8182
      @allykibabe8182 4 роки тому +1

      @@eshalibaba1195 kudinda ndo kila kitu

    • @eshalibaba1195
      @eshalibaba1195 4 роки тому

      @@allykibabe8182 😀😀😀yeye akutakaa...

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @allykibabe8182
      @allykibabe8182 4 роки тому

      @@pilimusa7770 au vp pili lazima udinde upate heshima..

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 роки тому

    Jamaa tuwacheni tamaa,uko na mwili mkubwa lakini wapenda pesa za bure badala ya kufanya kazi,mukishindwa ndio mwamwona Davistar mata

  • @theunseen.believe5672
    @theunseen.believe5672 4 роки тому +1

    I hope you've made a good decision in the ballot👊👊

  • @ayoubsanga7405
    @ayoubsanga7405 4 роки тому +1

    maswali mengiii mpka stor hainogiii

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +1

    Goodluck story zetu hizi 😆😆😆

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Kweli alikomaa kwa hiyo shida mpaka akamuona mzee

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +1

    Duu pole yake kuuwa kituambacho ndio starehe kumbwa kuliko zote🤔🤔🤔

  • @mayaalmahrooqi1345
    @mayaalmahrooqi1345 4 роки тому +1

    Za usiku jamani mm jana nahangaika kusubiri hichi kipindi sikukiona nadhani na juzi pua kwani kilikua hamna au vp

  • @kowuor_susan8894
    @kowuor_susan8894 4 роки тому +1

    Leo nimewai WA Kwanzaa

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +1

    Jongoo apandi mtungi daaaa majanga

  • @abdullahrashed4817
    @abdullahrashed4817 4 роки тому +1

    bora ya huku kuliko uchaguzi wa aibu duniani

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Dhuuuu, gunia 3 miezi7 tena unapata 90,000

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Dhuuu, ukaja panda fisi

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому

    Niliwamiss... Pamojaa tenaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Yani kirahisi tuu utajiri unaupata kupitia mwili mwako pesa nyingi tuu lkn unaitumia tuu nahuku mashini imelala ulikosa kujiongeza nakujua mwanaume mashine😂😂🤣🤣aisee Chuma yadoshi ikilala wanawake utabaki kuwaita mashemeji tuu

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Af huyu sijui msambaa au mzigua maana hii lafudhi hii yenyewe.

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому

    mimi.akili zangu zinanipa km ningekuwa peke yangu wala nisingehangaika kujituma ila najituma kwa sababu ya watoto wangu waweze kuishi vizuri. sasa wewe unakubali ukose kizazi .na mke utajiri huo ukupeleke wapi na mwisho wa siku unaambiwa umekosea masharti kila kitu kinapotea utakuwa hali gani ktk dunia hii ? kuna utajiri km mtoto?

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 роки тому +1

    Mmh kweli uyu jamaa alijitoa mwanga yani kujiweka hanisi mmmh mi siwezi yani mi dudu langu lisipo simama asubui au nikimwona tu mwanamke aliye nivutia lisipo simama dudu na vulugwa yani napendaga mbaka kwa Docta sasa uyu kaji fanyia ukatili huu duh misiwezi wakati mi nikiwa na pesa nita wagonga mademu wote wa mtahani kwetu na mtaa wajirani ..

  • @momyusuf7731
    @momyusuf7731 4 роки тому

    Duhhhhh! ! Majanga duniani

  • @ayoubsanga7405
    @ayoubsanga7405 4 роки тому

    htr

  • @agnesj.h9789
    @agnesj.h9789 4 роки тому +1

    Lakini mmeshapiga kura Devi Na dungu yako wajongoo haipaswi🤣🤣🤣

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 роки тому +1

    sio poa kabisa

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Ss utajir huo unaraha gan bila penzi bila family,,,af kumbe nusu ya nchi nahis utajir n wa kichaw hahaha maana hizi store daily

  • @agnesj.h9789
    @agnesj.h9789 4 роки тому +1

    Eti nini macho mugongoni au nimesikiaje

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 роки тому +1

    Hio mik wape hawo wakamate

  • @kingwamaratz6062
    @kingwamaratz6062 3 роки тому

    Mmmmh jmn

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому

    🤔🤔🤔🤔

  • @martinandugai2340
    @martinandugai2340 4 роки тому

    Nimewai

  • @salumosman4056
    @salumosman4056 4 роки тому

    Davis vipi mbona ulikuwa kmya sanaaaa

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 4 роки тому

    😂😂😂😂eti lifsi

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 роки тому

    Tupo makini sana watu wako

  • @salvatorykyakwe8606
    @salvatorykyakwe8606 4 роки тому

    SAWASAWA DAVISTA NAKUELEWA MAN

  • @tututz100
    @tututz100 4 роки тому

    J.BOYS.F.C 1999

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 4 роки тому

    Jicho kwenye makende. Pua kifuani. 👹

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому

    Heri niwe maskini

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 роки тому +1

    jangombeboys1999

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 4 роки тому +2

      duh inna lilah wainna ilah lajiun Allah akusamehe na rudi kwa mungu wako atakusamee dah nimesikitika sana jmn kama vile ndugu yangu imenigusa sana

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 роки тому

    🇰🇪🍹

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 роки тому

    33

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Kwel zuzu huyu . yaaan unatoa utam wako ambao unakamilisha ubinadam wako kisa utajir

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Her niwe maxkin