@@RoseKamate-s5c alafu usisaau mwenye amazagamua. ivo ni dadaake na mganga chacha ,😄😄😄😄. Baya kabisa ni akiingia anaacha mimba 🤣🤣🤣kitamramba tena ivi soon
Duuuh kama sisi wanaume wote tupo kama bhailam wanawake wangetuuwa jaman😢😢,,, hata wanawake wenye pia hawaeleweki🥲rest in peace sheikh Massoud 😭 ila dida sio Kupenda kwake
Niseme tu ukweli wangu Bhailam movie zako si za kuangalia ukiwa na watoto wala wazazi, zina maudhui ya mapenzi ya wazi sana,,, kama itakupendeza jaribu kulekebisha hili ni tatizo
Sema dida wewe ni mrembo❤❤❤
Mnoo
Mungu abariki yeyote atakae soma comment iyi Mungu amubaliki awe namaisha marefu ❤❤
Amiin nawe pia
Ameen yarabby
Aamin kwa sote
Amina
Safi sana naomi hiii ndio dawa ya wanaume wa aina ya bailam
😂😂😂😂😂😂baila uko juu kaka
Yani akomi uyu bhailam 😂😂😂aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team you tube team kazi kazi 🔥🔥🔥🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Bhailam bhailam 👏👏👏👏👏👏
Mko vizuli sana hongelen ila hamnaga kaz mbovu jaman tunawapenda mungu akujalie Zaid💃🏼🎁💐🎥🇹🇿
Shekh masudi ukipunguza roho mbaya Mambo yataenda vzr😔na bailam uache umalaya jaman🤣😅😅❤️❤️❤️
😂😂😂😂😂
Ila ukiwa na mume kama kishefa ujue umetoboa kupata magonjwa yote yakiwemo ya moyo😂😂😂😂
Bairam jamani daaah mungu ywajua kukuaibisha mbele ya baba mkwe😂😂😂😂😂
Mzee wa mbezi beach kariakoo mombasa kenya sijachelewa sana hivyo
Wow wakwanza kutoka burundi🎉
Kutoka kwa CLAM na SNAKE BOY
Leo niko na Bailam😊🇧🇪🇧🇮🙌🏿
😂😂😂😂😂Aki ya mungu huyu bailam anahitaji risasi ya makalio ni mpumbavu sana
From burundi 🇧🇮 nikiwa Riyadh hapa
Make wangu hujalala mpaka saiz bhailam noma sana 🎉 mke wanguuu lalaaaa
Hongereni jamani mko vizuri
Bailamu unachokitafuta kwa Naomi utakipata sema ume enjoy😅
mapema sana 😂😂😂
Umalaya utampoza huyu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Amesahau yuko na mafia 😂😂😂😂
@@RoseKamate-s5c alafu usisaau mwenye amazagamua. ivo ni dadaake na mganga chacha ,😄😄😄😄. Baya kabisa ni akiingia anaacha mimba 🤣🤣🤣kitamramba tena ivi soon
Naomi nakupenda sana❤
Kwahy Huyu Bahilam anajiuza😅
Mm pia natamn tuu mganga auwawe tututututu risasi akufie mvar
Courage ❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
Nimeamini mwanaume ukimfatilia na kumpenda sana ndio huaga hivi😂😂😂😂
Bailam mwehu sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Masudi pole ila wee ni mtu mwenye roho baya sana Dio maana kinakuramba ivo ila pole sana 😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila bhailam 😅😅😅😅
Pole sheikhe masudi
😂😂😂😂😂😂
Wew bhailam unapepo la ngon hee
Mnipe likes zangu Kwa kushika number 7😂😂😂
Kazi nzuri bro bhailam Naomi mariam kheirat mzee simba Big up sana guys
Ooohsija chelewa Sanaa,
Umekishaa bhailamuuu😊😅
Ndo uzuri 😅😅 sijamuona
dida mzr ananyamanyama
Kazi kazi
Kubar san hawaa kesho ten 😅😅 kanogewa jmni mmh ila hawaa kaja moto🔥🔥🔥🔥 san kubar san❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana time bailam ila naomi nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mzee masud pole sana
Asante 🙏🏽
Duuuh kama sisi wanaume wote tupo kama bhailam wanawake wangetuuwa jaman😢😢,,, hata wanawake wenye pia hawaeleweki🥲rest in peace sheikh Massoud 😭 ila dida sio Kupenda kwake
Dhaaaaaaaaaa😅😅😅umeamua kuniua kujana 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂@@Masoudsultan
@@Masoudsultanwanamuua babangu😢
@@SalmahAbdallah13 🤣🤣🤣🤣
@@AgnesMasoud eti dhaaaa
Eti Niko wa tatu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
My Comment section is only for kenyans...kama wee n mkenya piga like kwa kuncofirm..wengine kaeni kando😂
Umeowa 😉 ama twaweza cheza Cha baba
@@shadyarif653 kwa kweli
@@NuruJara njoooo tu tucheze 🤣🤣🤣🤣
Hehehe 🤣 🤣 @@Masoudsultan
@@Masoudsultan wow nimeijoy comment Yako 😘 nakupenda from Kenya 🤗🤗 harusi imeiva
😂😂😂Bhailam bana unanifurahisha I say na ulisema hutowai kuacha umalaya kabisa
Bhailam umeyakanyaga 😂😂
Kzni nzuri
Wakenya tuko huku kwa wingi❤❤❤
Ila bhailam ulichanjiwa izo vitu 🤣🤣 ila tamu ikizidi sana hua chungu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
mimba ya mariam haikui😅
Ila bhailam anavituko au huwa anajitoa ufaham❤ gonga like kama unamkubali
Tupo mkenya mwenzangu❤...nafatilia nikiwa qatar
Nipo 😊naifatilia nikiwa saudi Arabia 🇸🇦
Hivi Bailam utasikia kweli ama ndo wewe sikio lakufa ndo nimeliona kwako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watatu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzur san
Muongeze saut please, nawapenda ❤
😂😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤😂❤😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Nawakubali sana timu bhailamu hamnaga mbamba❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bhailamu uta kipata wewe love from uganda
Comedy plus good job
Ilajamani watanzania mbona siwaelewi watu hamjaowana ati mke na mume duuuh 😢👋🇧🇮🇧🇮
Jamani sheik masuud nyowa hizo nwele angalau upendeze😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂
Bailam hatosheki jmn duuu
Ila dida mungu alikuumba week and yaan kot masharah
Mi nataka naomi amuue mganga wa mariam 😂😂😂😂
Tubu😂😂😂
😂😂😂😂😂umeshauwa😂😂
@@KhadijaChingabwi-s2g hata mm
We kiboko😂😂😂😂
Mhhh jmn
Nikweli kabis
Duuuh bailam umezid umalayaa😂😂
Pole sheikhe Masudi 😢😢😢😢
Asante sana
Sheikh mkubwa anaishi maisha magumu sana awache roho mbaya na kujisifia sifia ushekhe.
😂😂😂😂😂
Bairam Naomi kiboko yko 7:10 utajua umeowa ama umeolewa😂😂😂
😢😢😢😢ohooo sheikh masudi hatunae tena jamani.ila bhailamu umalaya wako umezidi jamani khaa😏
😂😂😂😂😂
❤❤❤🎉🎉naipenda
Duuh ila nikiangalia hii movie hamu ya ndoa yaniisha kabisa huyu Bailahm hapana 🤣😂😂
Shekhe masoud hapo umejua kuigiza kaka unajua sana nakupa maua yako
Asante sana boss wangu
Yani bayram na matukio 😅😅😅😅
❤❤❤❤❤congrats
Pole sana Sheikh Masood 😢😢
Asante sana
Sema bailam ana vichepuku vingi anafaidi bala
Sasa dida kilichokufanya utapike mbele ya masoud ndo nini😏😏😏
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kutoka oman team strong naomba like zenu,😂😂
Awaaàa 😢
🎉🎉
Mkopo iliaendee kwamgangaaa huyu vip
Nawapenda sana🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Umeenjoy wewe kitakacho kukuta hutaamini mafya ako nyumbani heee😂😂dawa ya chemka utakunya si kitambo❤🎉😂😂😂
30min nikohapa 😂😂musinite nami mtakapopitiya wengine❤❤❤❤❤🎉
Bhailamu unachokitafuta utakipa mda so mrefu😂😂😂😂😂
Niseme tu ukweli wangu Bhailam movie zako si za kuangalia ukiwa na watoto wala wazazi, zina maudhui ya mapenzi ya wazi sana,,, kama itakupendeza jaribu kulekebisha hili ni tatizo
Bairam unakoga majanaba lakin?acha umalaya wanaume au wanawake wenye tabia km hizo hawaleti maadil mazur ktk jamii zetu 😢😢
Huo mda wa kuoga atoe wapi
Kkkk😂😂 anapata mda wakula tu ila kuoga mhhhmm
Hongeraaaaa sana bhailamu
Wakwanza leo sijawai ata kupata like ata moja jamn
Mariamu uwa mnganga chacha
❤
Masoud jmn mmmh polee😢 tafuta kibinti ukioe kikuzalie tu sasa dida anakupenda lkn ndo ivo tena anajikuta kaingia kwenye mtego
Kama ungejua hizo pesa yuwazitaka kufanyia nni,usingeuza kiwanja chako,nakuonea huruma
Shukran sana
Nadhani na Maisha ya kawaida bhailam Ndo alivyo😂, we huogopii 😢hâta mkeo. naomb Like jmn🎉
Bailam mzee wa matukio😂😂
😂😂😂nakuunga kwa hilo mganga ana zingua
😂😂😂😂 bhailamu utaniua na kicheko
Masudi kula chuma ichooooo 😂😂😂
😂😂😂ila bhailam utakufa vby ww😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂𝓭𝓲𝓭𝓪😅😅😅😅😅😅
Munalala na simu kama watt
Sheikh Masudi leo nakuoneya huruma nahisi kuliya kwamatendo dida anayokufanyiya😢😢
Unafikiri masundi.yeye ndo muzuli
Mubaya uyo anaroho mbaya duuu
@@AlinaNizigamahapo sasa
Nakwambia Mungu ywalipa wewe😂😂@@AlinaNizigama
@@AlinaNizigama ubaya ubwela au sio