HUKUMU YA MUZIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 306

  • @MARCELINMDENDEMI
    @MARCELINMDENDEMI 3 місяці тому

    Hakika ww ni mtumishi wa Mungu....... Ubarikiwe Sana! Endelea na kazi ya BWANA mwalimu.

  • @omutsyabandi4869
    @omutsyabandi4869 6 місяців тому

    Apostle MTALEMWA, UWEZI KULEMEWA. MOLA AWE NAWE MILELE. AMINA.

  • @paulpius6566
    @paulpius6566 3 роки тому +6

    Nilifarijika sana nilipoisikia tafsiri ya Wimbo huu kwa mara ya kwanza mwaka 1997 ulitafsriwa na mtangazaji wa Redio Free Africa katika kipindi cha Bolingo time. Aisee mungu mkubwa

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 3 роки тому

      Asilimia kubwa ya wana music wa Congo/Zaire wa kizazi kile walijifunzia mambo ya music makanisani; hadi wale wapiga magitaa kina Diblo, Dally Kimoko, waimbaji kama huyu Tabu Ley, Bozi Boziana wote ni watoto wa sunday school. Bozi Boziana alikuja kubadiri dini na kua muislamu hasa baada ya ile ziara yake ya Tanzania nadhani mwaka 1992

    • @joshuakapai9380
      @joshuakapai9380 3 роки тому

      1994

  • @dominicshem2491
    @dominicshem2491 3 роки тому

    Wazee wa rhumba wamechangamka sana.Wangepewa divai,ingekuwa sawa zaidi

  • @charlespeter4675
    @charlespeter4675 2 роки тому

    Huyo ndo Chief Apostle Mtalemwa salute kwako Mtu wa MUNGU

  • @geraldnjali9077
    @geraldnjali9077 3 роки тому

    Aisee.. nimekuelewa sana mtumishi wa MUNGU.. kila siku napata kitu kimpya ..

  • @matekesaid8524
    @matekesaid8524 3 роки тому

    Hakika nimejifunza mi nilikuwa sielewi .ubarikiwe mtumishi unanibarki Sana

  • @patrickandrea4829
    @patrickandrea4829 3 роки тому +1

    Tucheze mpaka keshooooooo safi sana

  • @geofreymhina3472
    @geofreymhina3472 3 роки тому

    Kiukweli Mungu akuinue viwango nimefunguka macho na masikio

  • @upendodagras9371
    @upendodagras9371 3 роки тому

    Nimekuelewa pastor mungu azidi kukupak mafuta yake

  • @stephenkahindi8678
    @stephenkahindi8678 2 роки тому +1

    Let the Spirit of God guide us all, coz there's a spirit behind everything we say or do...

  • @mildredwekesa5844
    @mildredwekesa5844 2 роки тому

    Ctajudge tena,Asante saana mtumishi

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 2 місяці тому

    Aaaaa...men Apostle very powerful explanation mayGod bless you

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 3 роки тому

    Furahini katika Bwana tena nasema FURAHINI

  • @mariamahenge1409
    @mariamahenge1409 2 роки тому

    Ubarikiwe baba sikujua maana ya wimbo huu

  • @parsalaachpelente4406
    @parsalaachpelente4406 3 роки тому

    Baraka ... Pastor karibu kenya

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 3 роки тому +5

    Hakika kanisani ni sehemu ya kuponya Moyo..tukacheza na kufurahi!!
    Mungu akubariki Baba.

  • @amosmbulazi298
    @amosmbulazi298 3 роки тому

    Amen barikiwa mpendwa

  • @rehemar3659
    @rehemar3659 3 роки тому +5

    Mungu nisamehe maana hata Mimi nikuskia hii nyimbo ikitumika Sana lakini sikujua ninyimbo ya Mungu kama nimekujaji Kwa kufikiri nisamehe pia

  • @wisembuya7891
    @wisembuya7891 Рік тому

    Hakika nijejifunza kitukikubwa sana katika ibada hii Mungu aturehem.

  • @doricelema2591
    @doricelema2591 3 роки тому +8

    Duuh! Kweli tusiwe wepesi kuhukumu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻. Mimi nilikuwa sijui mtumishi, asante sana. Muzinaaa 🔥🔥🔥💃🏻💃🏻💃🏻

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 роки тому +1

    Hii nyimbo itabidi
    waimbe siku ya
    harusi yangu 🔥🧎‍♀️
    Ubarikiwe!!

  • @riseandshine9620
    @riseandshine9620 3 роки тому +1

    Wow,

  • @georgedinda7400
    @georgedinda7400 9 місяців тому

    i honestly like the way this Pastor is passing the msg of God to his congregation through music. This is awesome.

  • @jovinjonasbuy6092
    @jovinjonasbuy6092 3 роки тому +6

    Kwa kweli itakuwa vigumu binadamu kama Mimi kuingia katika ufalme wa mbingu
    Mwenyezi mungu naomba unisamehe dhambi zangu nilizotenda bila kujua

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 3 роки тому

    Tatizo ni moja, kumekosekana utofauti kati ya mapigo ya muziki wa kidini na wa kidunia. Lakini mi naamini ni lazima kuwe na tofauti.

  • @AgnessNyansambo
    @AgnessNyansambo 5 місяців тому

    Aposto wewe ni kitu kingine mmmmmh!!!!!!!Mungu wa mbinguni akutunze Mwanangu

  • @emmanuelmwanawima6266
    @emmanuelmwanawima6266 3 роки тому

    Ahimidiwe mungu wa mbinguni

  • @emmanuelsmihulu725
    @emmanuelsmihulu725 3 роки тому

    Barikiwa Mtumishi

  • @omutsyabandi4869
    @omutsyabandi4869 6 місяців тому

    SIKUKUWA NA MTOTO WA KIUME. nILIFANYISA WIMBO HU WA mZEE tABULEY nIKAMUPATA kIJANA MARUFU.!! Mngu a sifiwe sana..

  • @aminamogan6547
    @aminamogan6547 3 роки тому +2

    Barikiwa Sana mtumishi ninaiman cku moja utakuja kanisan kwangu

  • @lispermomanyi8715
    @lispermomanyi8715 3 роки тому +1

    They should call a teacher too,you're amazing

  • @hangayamafenya8883
    @hangayamafenya8883 3 роки тому

    hongera.kaka.posta

  • @onlinemateustv1925
    @onlinemateustv1925 3 роки тому +2

    Nyimbo nyingi za Congo muwe nazo makini nyingi sana zipo hivyo yaan unaweza ijaji kumbe maneno yautukufu matupu kuna wimbo nilishawahi sikiliza wa koffi olomide wa zamani sikuyelewa ila kuna nzambe nyingi nyingi na hallelujah

  • @yohanekasonkwa2612
    @yohanekasonkwa2612 3 роки тому +1

    Hao wadda wanavaaje hivo mchungaji! Unahubiri vizuri Siku zote lakin kemea sana hao Dada! Yan wapo uchi

  • @fanniebanda562
    @fanniebanda562 2 роки тому

    I love you so much postle mtalemwa 🥰🥰 mungu akuepuche kwakira kilakitu? Namm pia usinisahau popote uyendapo amen

  • @joshuajacob2475
    @joshuajacob2475 3 роки тому +3

    Hauja hubiri saaana lakn message nimeipata "DON'T JUDGE TOO QUICK"... powerful

  • @maarifahub5066
    @maarifahub5066 3 роки тому +2

    Ubarikiwe kwa tafsir nilijua muzina wa litata vinakaribiana na kiha

  • @wangarimuriithi8748
    @wangarimuriithi8748 3 роки тому +5

    This is such a lovely lesson and delivered so well.
    I was today years old when I found out what a wonderful and powerful message this song sends. I had always just taken it as a catchy Rhumba tune.
    Thank you very much for translating and bringing it to our attention.
    Barikiwa.

  • @godianmande4920
    @godianmande4920 3 роки тому +5

    Dah, you almost messed me up Apostle, I was wondering what's going on here!!
    The only faith that held me up, was the fact that I know who my mentor is thus I kept on with curiosity...
    I never knew what this song was all about, I repent for my thoughts.
    Indeed, we should not judge the matter after hearing from one side.
    Blessed art thou Man of God.

  • @sokosibora7161
    @sokosibora7161 3 роки тому +2

    Kwa mara ya kwanza kujua tafsiri yake kwa kweli nipenda sana ubarikiwe sana mtu wa Mungu

  • @cyliakamuthoni8748
    @cyliakamuthoni8748 3 роки тому +5

    Oyaaaa apostle that was my f favourite and many didn't know it was a gospel uko juu mtumishi live long with wisdom

  • @joycemaige8683
    @joycemaige8683 3 роки тому +1

    Halleluya Halleluya mtumishi wangu 🙌sijutii kuwa humu ecg ⛪

  • @michaelongina7138
    @michaelongina7138 2 роки тому

    I didn't know it's a song that exalts the name of the Lord Jesus Christ.hallalujah

  • @atiliosanga6955
    @atiliosanga6955 3 роки тому

    Tablei huyo kumbe tafsili take iko vizuri

  • @johniemarsha1561
    @johniemarsha1561 3 роки тому

    Wooow after kuona tafsiri hata nkaipenda zaidi sikua nishai fuatilia rylics zake....mchungaji mzuri kweli barikiwa umetufungua macho.🙏🙌

  • @jaredmoturi5783
    @jaredmoturi5783 3 роки тому +1

    Blessed Sana mchungaji!!!! Just known the truth behind musina.Fabulous!!!!

  • @betridafidelis9411
    @betridafidelis9411 3 роки тому +1

    Ubarikiwe mm niliucheza Sana enzi hizi sikujua ni kipi kinaongelewa nimefurahi Apostle

  • @shedrackjacob6038
    @shedrackjacob6038 3 роки тому

    Mmmmmh kweli asante sana

  • @afriwayfilms
    @afriwayfilms 3 роки тому +2

    Nashukuru Mungu maana sikuhukumu nilipoanza kuskiza. Nilikaa nikisubiri neno la mwisho ndiposa nihukumu. Lakini badala yake nimepata baraka na kutubu pia 🙏

  • @Jonathan99-9
    @Jonathan99-9 3 роки тому

    Great gospel song indeed...but only fools will end up judging.We should deeply think on something b4 judging someone..Its good to ask something if we don't understand rather than judging.

  • @neemahamis6399
    @neemahamis6399 3 роки тому +3

    Haaaaa kweli usilolijua ni usiku wa giza😁😁😁 leo ndio nimeelewa huu wimbo ni wa Mungu. Chief😍😍 Mungu akubariki Mafunuo yangezeke kanisa letu ECG liongezeke mara dufu ameen🙏

  • @victormaussa673
    @victormaussa673 3 роки тому +2

    I didn't know this song ,kumbe una maana nzuri ivi

  • @suziegindo6358
    @suziegindo6358 3 роки тому

    Gooood

  • @georgemkali6299
    @georgemkali6299 3 роки тому +2

    ANGALIZO WAPENDWA
    Katika siraha zake ni pa1 na watu wenye hekima,wachaji na wenye ushawishi mkubwa ktk kanisa.
    TARATIBU ATAJIPENYEZA HUKU AKIWATEKA WENGI NA KUWATUPA SHIMONI NA KWA KUWA ALIYENENA WALIMPOKEA VYEMA

    • @luthermajoji7300
      @luthermajoji7300 3 роки тому +1

      Ndugu yangu.... Ufahamu wa kiroho ni hazina kubwa sana sana. HAPA SIYO SWALI LA KUHUKUMU AU KUTOKUHUKUMU... BALI NI ROHO YA DUNIA NA YA TAMAA MBAYA NDIYO MSUKUMO MKUBWA WA HIKI TUNACHOKIONA

    • @georgemkali6299
      @georgemkali6299 3 роки тому +1

      @@luthermajoji7300 Mungu atuepushe tusitumbukie na tumsihi Mungu sana juu ya vita ya kiroho

  • @yangikaefaraja
    @yangikaefaraja 3 роки тому +2

    Tatizo sio wimbo kupigwa bar ila lugha njo ilikuwa tatizo wa Tanzania 🇹🇿 abajuwi lingala sisi tulikuelewa Pastor apo unasaidiya watu wengi Mungu aku bariki

  • @bernadette6266
    @bernadette6266 3 роки тому

    Ukosawa Mchungaji asante kwa kunihelewesha Mungu awabariki

  • @emmanuellee.6793
    @emmanuellee.6793 3 роки тому

    Whaaat! Inashangaza sana, kwani huwa ni Gospel! Sikuwai juwa ila huwa naipenda.

  • @elisantennko7811
    @elisantennko7811 3 роки тому

    Ahahahaaa pastor umetisha baba nitakuja skumoja

  • @mr.helmet6167
    @mr.helmet6167 3 роки тому +2

    1st day to listen to you and you have really teacher me alot

  • @mathiaswanje6185
    @mathiaswanje6185 3 роки тому

    Nice apostle

  • @hagaigospelband_tz4735
    @hagaigospelband_tz4735 3 роки тому +1

    Daaaah Mungu akubariki sana Nipeipenda sana hii

  • @samsonmgonja4014
    @samsonmgonja4014 3 роки тому +2

    Nimekumbuka mbali sana,tulicheza disco waliita siku ya bakulutu,bolingo time,vijana wa zamani hapo umewashika

    • @sokosibora7161
      @sokosibora7161 3 роки тому +1

      Hakika nmebarikiwa kupitia huu wimbo baada ya kujua tafsiri yake

  • @hudsonrobert3307
    @hudsonrobert3307 3 роки тому

    i had to subscribe to this channel asap

  • @angmzb3391
    @angmzb3391 3 роки тому

    Heshima sana

  • @alainndikumana7013
    @alainndikumana7013 3 роки тому

    Sawa kabisa

  • @deboramudogo9934
    @deboramudogo9934 3 роки тому +1

    Kucheza mpaka kushika vitambi kweli huko ndio lugha yangu tunasema kuvina

  • @musapaul2901
    @musapaul2901 3 роки тому

    Mimi naelewa leo dah!! Mungu akubariki sana nimependa

  • @josephomondiodundo3131
    @josephomondiodundo3131 3 роки тому +1

    Correct

  • @akileifelixfelesian7250
    @akileifelixfelesian7250 3 роки тому

    Mungu akujaalie afy njemaaaa Tena miaka bukuuuu🙏🙏

  • @parsalaachpelente4406
    @parsalaachpelente4406 3 роки тому

    Injili ende mbele

  • @amiwitu1445
    @amiwitu1445 3 роки тому +2

    Très bien
    Soyez béni monsieur le pasteur.

  • @yohanekasonkwa2612
    @yohanekasonkwa2612 3 роки тому

    Dah! Naipendaga huu wimbo tangu utoton lakin maana take sijuiag,kumbe ndo hivi! Be blessed

  • @ayubuleonard930
    @ayubuleonard930 3 роки тому

    Mungu umulehemu aliyetunga wimbo huu pepe kare nikiwa

  • @okandafu8045
    @okandafu8045 3 роки тому +1

    Whaaaat!!all those years i never knew this is a gospel song, but again why wasnt played most in discos than in church

  • @abdalalukwandali6241
    @abdalalukwandali6241 3 роки тому

    Ameni

  • @jeremiahmbogua442
    @jeremiahmbogua442 3 роки тому +2

    I also danced the song instantly. Thank you apostle Mtalemwa. God forgive us for wrong judgement.

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 роки тому

    Amen😍😍

  • @ibrahimnaftar9037
    @ibrahimnaftar9037 3 роки тому

    Uke na tundum nimekupend bur

  • @ericmutua7520
    @ericmutua7520 3 роки тому

    Gd bless

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 3 роки тому

    Asante mtumishi nimejifunza kitu Kwa kweli

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 3 роки тому

    Waaaa wonderful pastor this is full wisdom be blessed alot we love you from kenya

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 3 роки тому +1

    Leo pasta umenifurahisha sana

  • @jobwanyama1073
    @jobwanyama1073 3 роки тому +2

    Very true we should not be quick to judge before having enough investgations

  • @wegorokibajiro9098
    @wegorokibajiro9098 3 роки тому

    Upuuzi mtupu

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 3 роки тому

    Following, you have blessed me and l can't regret why following really l have learned many reasons from u man of God more grace to serve God's people AMEN&AMEN

  • @deborajackson7284
    @deborajackson7284 3 роки тому +1

    Daaaa sikujua maana yake, ubarikiwe mtumishi.

  • @ev.kermandela
    @ev.kermandela 3 роки тому

    Nothing can stop the word of God, even after the demise of Tabule his song is ministering bigtime...

  • @fridahmbatian904
    @fridahmbatian904 3 роки тому +1

    Ohh God help me ... may i never be quick to judge

  • @beatusnsiima8005
    @beatusnsiima8005 3 роки тому

    Mahubiri yako ya hii siku ni makubwa mnoooooo...Hakika Mwenyezi Mungu kafanya kazi yake ... Yemba yembaaa....yembera Nzambe....dah nimejifunza hadi kilingala leo

  • @honestyminde5519
    @honestyminde5519 3 роки тому +1

    Ahsante sana Mtumishi wa Mungu. Kweli Mugu aturehemu kwa mengi.

  • @beatusnsiima8005
    @beatusnsiima8005 3 роки тому

    Safi sana Baba Mchungaji ubarikiwe sana.

  • @Lucy-nr2sm
    @Lucy-nr2sm 3 роки тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 raha ndani ya Yesu kristo mtumishi wa Mungu barikiwa sana nakwambia nabarikiwa tu sana...na Mwenyezi Mungu aturehemu tusiwe wepesi wa KUHUKUMU am watching from Saudi 🇸🇦 am Phanice Okongo.

  • @krafydrafy7854
    @krafydrafy7854 3 роки тому +5

    Wapendwa ktk Bwana bila kujali dini Wala dhehebu tunaomba musabuscribe kwa wingi ktk channel hii, mpaka kufikia July/mwezi wa saba tuwe family ipatayo laki 500000 na zaidi....

  • @atiliosanga6955
    @atiliosanga6955 3 роки тому

    Iliimba kwaumakini sana

  • @pmekenye5050
    @pmekenye5050 3 роки тому +1

    Excellent pastor. You have won a Visa to come and preach for me right at my home. barikiwa Paste.

  • @daudmshimbe4642
    @daudmshimbe4642 3 роки тому

    Kiufupi to ubarikiwe MTUMISH wa Mungu 😁👍🎶

  • @sintacollin2204
    @sintacollin2204 3 роки тому +1

    Sijawahi kujuta toka niijue madhabahu hii

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 3 роки тому

    Mziki bila jasho aposawa wapi apostle wapi mtatalemwa kulekukuleeeee shika kawaya hallelujah

  • @yusufarasathegreat9007
    @yusufarasathegreat9007 3 роки тому +1

    Yaani sikujua kama huu mziki kweli unazungumzia Mungu. Asanteni sana nimejifunza jipyaaaa