SUKARI NJOMBE YATAJWA KUFIKIA 7000 KILO, RC MTAKA ASHTUKIZA MADUKANI "MSIOGOPE NIMEKUJA KUELIMIKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
    @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 8 місяців тому +3

    Sukari, Umeme, kwa nchi zingine ingepigwa bongo moja la maandamano au viongozi kuondolewa madarakani

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 8 місяців тому +1

    Namna hiyoo sio mtu unakuja na pingu unakamata tuu fika kizalendo Toa elimu wasaidie kupata Sukari ikipatikana ndio urudi Sasa kumkamata Mtu Safii Mtakaa

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 8 місяців тому

    Mtaka we ni kiongozi,japo mfumo nchi unakutupa, pongezi sana kwako kwa kulisimamia pengine viongozi si kosa kujifunza kwako,mnatupa sana taharuki.

  • @doreengodwin6492
    @doreengodwin6492 8 місяців тому

    Wa kwanza nipeni likes zangu

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 8 місяців тому

    Kodi kibao alafu mna taka wafanya biashala wasibaki na faida

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 8 місяців тому

    Nategemea huko nje sukari ipo tele imeandimika kwetu tu Sasa hawa viongozi wetu mbona wanatufanyia sarakata tu baada ya kuhangaik namn ya kutuletea sukar kweli meli huchelew kufik ila ndege ya mizigo si tunayo na ipige hiyo dili

  • @UshindiGwivaha
    @UshindiGwivaha 8 місяців тому +1

    Mhh

  • @hahorg.4301
    @hahorg.4301 8 місяців тому

    Sukar kilo 7000 Duuh😢

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 8 місяців тому

    Endeleen kumpongeza mama yenu huyo anayeupiga mwingi kenge nyie 😏

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 8 місяців тому

    Nchi ina serikali jina ingekuwa nchi zingine zilizo serious Samia angelazimishwa kuondoka madarakani au jeshi wangechukua nchi

  • @uKusiniComedy
    @uKusiniComedy 8 місяців тому

    NJOMBE BILA EF 6 HUPATI SUKARI