MAPYA!!AJUTA KUWA MTANZANIA (ASKOFU MONABANI ARUSHA,SHELI,KANISA NA KIWANDA VYOTE ANYANG'ANYWA"MTI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #trending MAPYA!!AJUTA KUWA MTANZANIA (ASKOFU MONABANI ARUSHA,SHELI,KANISA NA KIWANDA VYOTE ANYANG'ANYWA"MTI..

КОМЕНТАРІ • 176

  • @mohamedsoud4166
    @mohamedsoud4166 4 місяці тому +11

    Uliponunua kwa msimamizi uliwaona warithi wote? Hilo ndio kosa baba askofu

  • @mohamedsoud4166
    @mohamedsoud4166 4 місяці тому +5

    Hivyo viwanja sio mali ya msimamizi, baba askofu hukufuata utaratibu,

  • @mohamedsoud4166
    @mohamedsoud4166 4 місяці тому +6

    Kosa lako utanunuaje kwa msimamizi wa mirathi bila wahusika wa mirathi kuhusishwa baba askofu?

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 4 місяці тому +7

    Msimamizi wa mirathi atauzaje mali ya urithi kua msimamizi haikupi haki ya kua mmiliki sheeeeeee

    • @AlfredMakari
      @AlfredMakari 4 місяці тому +1

      Wengi huwa hawalijui hili.. 😂😂😂

    • @exsaverykomba7936
      @exsaverykomba7936 4 місяці тому

      Umezulumu baba

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 4 місяці тому

      Kweli kabisa, msimamizi wa Familia hana Mamlaka ya kuuza mali ya mirathi,

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 4 місяці тому +5

    Ungefuata utaratibu wote wa manunuzi usingepata taabu hiyo.Msimamaizi wa mirathi alitakiwa kushirikisha wahusika wote na wewe unaingia katika mtego huo.Na kwa sababau wewe ni Askofu ndiyo maana unaomba msaada kwa Raisi na siyo kwa Mungu unayemtumikia kwa sababau yeye ni mwenye haki amekuacha kwa kushiriki muovu wa msimamizi wa mirathi.
    Mathayo 7:23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

  • @kennycathles
    @kennycathles 4 місяці тому +6

    Mtumishi wa Mungu... Unapata wapi Pesa zote hizo? Waumini Vyuma vimekaza.

    • @AlfredMakari
      @AlfredMakari 4 місяці тому

      Haha haha.. Huyu nae ni msimamizi wa mirathi yenu kule mbinguni.. 😂😂

    • @rewardnjau7220
      @rewardnjau7220 4 місяці тому +1

      inasemekana alikuwa na pesa kabla ya kuwa askofu

    • @ShabaniOnyango-gm3vz
      @ShabaniOnyango-gm3vz 4 місяці тому

      Imeandikwa wapi? Mtumishi wa mungu lazima awe maskini ? Acha ushamba mfalme Saudi hakuwa tajiri mfalme sullaiman yusuphu he au wengine mnacoment kujifurahisha jiulize ungelikuw ww ndo hujatendewa haki ungefanyaje

    • @thobiasLoti
      @thobiasLoti 4 місяці тому

      Hee huyu si alikua tajiri mda mrefu?c juz tu amekua askofu wa mchongo

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 4 місяці тому +4

    Hio ndio shida kununua mali ya urisi mana wakizulimiana wao wanakuja kukufanyia vurugu mnunuzi

  • @IsmaelRamole
    @IsmaelRamole 4 місяці тому +4

    We Mzee Wacha uongo....hizo hati unasema unazo mara hujabadilisha jina tunakuelewaje????kiwanja siyo mali ya msimamizi wa mirathi.

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 місяці тому +3

    Sasa mahakama imeamua kata rufaa

  • @richardrugemalira6934
    @richardrugemalira6934 4 місяці тому +3

    Mzee hio kanisa lako ni la KKKT? Hiyo ni laana kutoka kwa Mungu kutokana na uasi wako dhidi ya kushindana na Mungu. Haiwezekani unyanganywe kila kitu hivi hivi ndugu yangu. Wewe unajua ulichokufanya. Ulinunya ardhi ya mfiwa wakati ukifahamu anao watoto. Huo ndio mshahara wa roho ya uasi.

    • @elibarikkiakyoo
      @elibarikkiakyoo 4 місяці тому

      Mbona siwa elewi baadhi ya watu hapo Tanzanian mnatia ahibu mpaka kero, kwann baba yako akatangulia ,na mkakubaliana kuuza tusinunue ,sema meshakula pesa kwa Miaka 9 Sasa imekwisha mwaleta utapeli,Tena shukurun Ni pastor angekua fogo Ange wakula vichwa moja hd ingine na
      Wewe mtoto Mali ya baba haikuhusu tafuta yako

    • @paulhhari8861
      @paulhhari8861 4 місяці тому

      Siyo KKKT, ni KKAM yaani kanisa la kilutheri la afrika mashariki

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 місяці тому +2

    Nakuja x ya nne! Kila saa ki2 nachongaa,unashangaa nn sasa,uc2potexee muda na mb xe2.Msimamixi wa mirathi ana uwexo wa kuuxa mali??? Ulifanya ili udhulumu mali.Kijana wa Marehemu ni jembe km Dada yangu,adanganye acdanganye huna jipya baba,Kubali yaisheee,piga kimya.Kimya bara.Cha kushangaxa x3 kila saa, kwanini ucngejunua sehemu nyingine??? Kwani mpaka hapo?? Wacha dhulmati,

  • @godlovesaitoti3577
    @godlovesaitoti3577 4 місяці тому +3

    Ulizungukwa mzee, lakini pia ulikosea sana kuto badili title, kwenye sheria ni vigumu kumshinda mwenye title, title ndio imekupiga Bishop

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 4 місяці тому +3

    Huyu ukimchunguza kwa makini atakua mwana ccm ndo wanapitaga chotkati ili wadhulumu mali nakupindisha haki, ukichunguza kila anaedhulumu muulize chama gani atakwambia ni ccm

  • @laurentjozee8777
    @laurentjozee8777 4 місяці тому +4

    Hapo ukijichanganya Kwa mh silaa unapigwa mapema huwezi kununua Mali kutoka Kwa msimamizi ya mirathi mmoja

  • @ashaIsmail-hi5fz
    @ashaIsmail-hi5fz 4 місяці тому +3

    Mali za urithi hazinunuliwi hivo kubali kupiteza

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 5 місяців тому +5

    MZEE WANAOKUUMIZA NI WANASHERIA WAKO. MI NAONA NI WANAFIKI KWAKO.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 5 місяців тому +9

    Hii Dunia Bwana!!nikitafakari Nakosa majibu...Mwisho Wangu itakuwaje?,naomba Allah Anipe Mwisho Mwema In sha Allah....vitu vyoooote hapa Duniani Tutaviacha...Tutaondoka kama tulivyokuja..Tumuabudu Mungu na Tutende na yaliyo Mema..Mzee Mwenye Eneo Alishatangulia mbele za haki..Alinunuwa au Alipewa na Wazee wake .Mi sijui nachoangalia Alikuwa Analimiliki lakini Nae kaliacha..Basi mtambuwe..Nasi Tutaviacha siku yetu ikifika.tuwe makini na Dunia hii Tutende yaliyo Mema na Haki . tufahamu kesho yetu mbele za Mungu itakuwa siku Ngumu Sana ikitegemea hapa Duniani Umeishije..Tumtangulize Mungu mbele kwa kila Jambo.Mungu Atusimamie In sha Allah.

    • @shabansumaiya4770
      @shabansumaiya4770 4 місяці тому +1

      Kwamuislam Hilo ndio lakuomba kwamwenye akili hii Dunia ukiifuata sana utaugua presha tuu rizika na rizki unayopata

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 4 місяці тому

      Hakika ndugu yangu bin Adamu hatujui mbele yetu kutakuwaje tunajali tu ya leo Mungu tu atusaidie maana hatujui tunayoyafanya

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 місяці тому +2

    Lakini baba acha nikuambie ukweli,nikikupamba itakuwa sijakusaidia.Huwexi kununua shamba kwa msimamixi wa mirathi,yeye aliteuliwa tu.Una kosa ngoja nikuambie tu ukweli.

  • @MosesFikiriIbrahimu
    @MosesFikiriIbrahimu 4 місяці тому +1

    Mathayo 5:25-26
    [25]Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
    Agree with thine adversary quickly, whiles thou art in the way with him; lest at any time the adversary deliver thee to the judge, and the judge deliver thee to the officer, and thou be cast into prison.
    [26]Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.
    Verily I say unto thee, Thou shalt by no means come out thence, till thou hast paid the uttermost farthing.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 місяці тому +2

    Nakuja hiii x ya tatu.ununuaji hauko kihivyo,unanunua kwa msimamixi wa mirathi???? Wakati wajua co haki??Baadhi yenu ni matapeli,Mungu alijua unachofanya co haki,akakuacha uumbuke.Nilinunua ka Ardhi kadoogo kwa ajili ya ujenxi wa nyumba yangu na family hapo Arusha,Nilihakikisha watoto wa huyo Babu na mkewe wameridhia,tofauti ya hapo utaingia cha kike.Ulikuwa unajua vxuri unachokifanya,lakini kwa sababu ya kibri cha uxima hukutaka kufuata sheria.Bora ukae kimya ujue hela ilikufa hairudi tena.

    • @smarty1064
      @smarty1064 4 місяці тому

      Kasome tena sheria mzee, msimamizi wa mirathi anaruhusiwa kuuza mali hiyo ipo kisheria kbs

  • @sistymbombo1616
    @sistymbombo1616 4 місяці тому

    Askofuuuu weeeeee acha hiyo kamtumikiee mungu wachaaaaaaaàa unyanganyi

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 4 місяці тому +4

    Mzee, hayo yote ni ya duniani, mshike Mungu mali zitakufaa nini kwenye dunia hii tunayoiacha?

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 4 місяці тому

    Huyu askofu ndiye aliyegombea ubunge wa jimbo la Arusha?
    Mungu akusaidie upate Mahala pengine pazuri hakuna namna mahakama imefanyakazi yake

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 4 місяці тому

    Tatizo hata wewe.ni mwizi wa sadaka za wanyonge. Malipomninhqpq hapa duniani

  • @sittajonas9618
    @sittajonas9618 4 місяці тому +3

    Mzeee issue hapo nenda kamfungulie mmsimamizi wa mirathi akulipe

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 4 місяці тому +2

    Wacha sifa we mzee wanakujua sana sana. Nmc ukitaka kuichukua.walikua ushachikia kipande Cha rely ukakufukuza.je nikweli

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 4 місяці тому +4

    Fungua kesi kudai pesa zako, lakini aliyekuuzia hakuwa na mamlaka

  • @fredrickmariki
    @fredrickmariki 4 місяці тому +2

    Mm naona askof kanunua iweli na warithi wamekula Hela wamemaliza wakaamua kumrusha askof kiwanja chair ndo maana wakati and ya walipiga kimya hiyo Iko wazi

  • @evakessy3282
    @evakessy3282 5 місяців тому +1

    Baba rudi mbele za MUNGU kwatoba huenda hii aibu na fedhea kuna mahali ulidondoka hivyo MUNGU akaamua kukuweka wazi sasa angalia washarika hawaendi kanisani

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 4 місяці тому

    Hapokama nimahakama wajitafakari kama haomajaji wanafuata sheria. Zahukumu au niwanyang'anyi wa maliza wanamvhi kiss sheria hizofefha ninyingi.

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 5 місяців тому +2

    Unakimbilia kwa Rais baada ya kushindwa kesi Mahakamani 😂😂😂 Mzee acha kupotezea watu muda. Endelea kupambania haki yako huko huko Mahakamani.

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 4 місяці тому +2

    Inaonekana pia mtumishi ulifanya ujanja kwenye kununua ili kupata unafuu nandio mana hapo saiv pakufanya uingie kwenye migogoro

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 4 місяці тому

    Hata ungempamba rais hayupo kusimamia maovu

  • @MichaelElikana-r1m
    @MichaelElikana-r1m 4 місяці тому

    Endeleini kuwafirisi waumini mbwa nyie

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 4 місяці тому

    Itakua labda ni pigo kuondoka KKT ASKOF sijui lakini

  • @AlfredMakari
    @AlfredMakari 4 місяці тому

    Mali za urithi zina shida sana.. Unapozihitaji kununua, hakikisha warithi wote wameridhia. Kumbuka msimamizi wa mirathi sio mrithi, hawa huwa wanapewa majukumu ya kuhakikisha mali zinagawiwa kwa warithi kama inavyotakiwa. Hilo ndio jukumi lao na sio kujimilikisha mali za marehemu.
    Kuwa makini na wasimamizi wa mirathi maana hawachelewi kutapeli!

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 4 місяці тому

    Monabani wewe ni mwizi tunakujua vizuri

  • @Damian-tt8fv
    @Damian-tt8fv 4 місяці тому

    Mzee ww ni askofu afu hujui sheria? Tangu lini msimamizi wa Mirathi anauza mali za marhemu? Si vzr kufilisika uzeeni

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 4 місяці тому +1

    Mahakamani sasaiv mahakimu wake wengi wanatoa haki kwa salio

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 4 місяці тому

    Kwa nini ukubalisha Jina uzembe

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 місяці тому +3

    Pole sana mtumishi, Mungu atakutetea penye ukweli. Lakini Jimy pekee ndiye mzaliwa? Kwasababu kama Marehemu Titus alikua na watoto wengine basi Jimy atakua alichaguliwa msimamizi kwa niaba ya wengine wote,hivyo ingebidi wote wahusishwe katika mikataba vinginevyo wakipinga yatakua haya tunayoyasikia!

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 4 місяці тому

    Babu ushashindwa hapo tupu sababu uwezi nunua eneo la familia lazima wote wawepo na saini zao ziwepo lamsingi umefanyamakosa sasa wakusanye viongozi wa kijiji na wazee wa kimila na viongozi wa serikali wawaite familia wakaenao chini muongee kifamilia ununue tena hilo heneo bsi ila najuwa nyieee watu wa arusha unapenda sana kesi

  • @194summer
    @194summer 4 місяці тому +3

    Ushauri wangu,achana nao maana huwezi tena kushinda ,ongea nao kinyimbani sasa washtaki wako,,pole sana baba

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 4 місяці тому

    Pesa za sadaka hizo mungu amekupiga pigo

  • @edwinmeenda9171
    @edwinmeenda9171 5 місяців тому +3

    Duuh Ardhi Ina changamoto sana

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 4 місяці тому +1

    Dunia mti mkavu kiumbe usiegemee

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 4 місяці тому +3

    Huyu Mzee ni mhuni Sana,wewe ulikuwa unanua kwa Jimmy na Jimmy siyo msimamizi,wacha uwongo,unanunua kwenye baa na unajua Jimmy ni mgonjwa (alcoholic)halafu unazungumza uwongo.

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 4 місяці тому

    Tunalijua ni kanisa la Mchongo

  • @wilfredyhumphrey918
    @wilfredyhumphrey918 4 місяці тому +1

    Kuna wakati tumogope MUNGU yule hakua na haki maana yeye alikua msimamazi wa mirathi tu hakua na haki naeneo lilikua la marehemu haroni

  • @musantimizi9526
    @musantimizi9526 4 місяці тому

    Miaka 9 hujabasili umiliki wa kiwanja ulikuwa unasubilini nini?
    Ardhi haiuzwi na msimamizi wa mirathi, ardhi huuzwa na familia na wote walitakiwa kuwa mashahidi wakati wa uuzwaji huo kwa maana watakuwa wameridhia hy biashara.
    Na mwisho marehemu Jimmy aliuza vitu vingi sana bila kuwashirikisha ndugu zake kwa manufaa yake alijinadi kila kitu ni chake
    Mchungaji kwa kifupi hukufuata utaratibu katika manunuzi ya ardhi hy endelea kufanya maombi mungu atakusaidia
    Pia ulitakiwa kumdai marehemu pesa yako au msimamizi wa mirathi aliyepo kwa sasa lakin je huo utaratibu wa manunuzi ulifuatwa?
    CHUKUA HIYO ITAFAKARI

  • @jennipherChristian
    @jennipherChristian 4 місяці тому +2

    Baba kwa hili mshirikishe Mungu usiende kwa akili presha ipo

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 4 місяці тому +1

    Apana kuna jumbo fulani apana labda. Umetumia cheo chako vibaya

  • @allymdoka8634
    @allymdoka8634 4 місяці тому +1

    Mali ni yamarehemu aiuzwi namsimamizi wa mirathi inauzwa na warithi Mzee umesoma shulee kweli wewe

  • @williammollel97
    @williammollel97 4 місяці тому

    Pole mungu hufuata haki

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 4 місяці тому +3

    Aliwaona wana njaa, ndio maana alinunua bila kujua urithi.

  • @asantelaizer6674
    @asantelaizer6674 5 місяців тому +3

    Haki ya mwenye haki haipotei mzee Mungu ni mtetezi wa wote wenye haki, MUNGU yupo utapata haki yako tu

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 4 місяці тому +1

    Tangulini msimamizi wa mirathi akawa na mamlaka yakuuza Mali...mrithi au warithi halali ndio wenye mamlaka yakuuza Mali tena kwa sauti moja wote...

  • @ashaIsmail-hi5fz
    @ashaIsmail-hi5fz 4 місяці тому

    Kubali kupoteza

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 5 місяців тому +1

    Ni mchungaji wa kwanza Namuona hapa Tz hana akili hata kidogo ukisikiliza hata projija tu ya unuaji unajua kama hakufata sheria za manunuzi ya mali za warithi

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 місяці тому

    Kamuone MH Makonda

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 5 місяців тому +1

    Mbona historia ya mzee hutu ktk kununua vitu huwa ni magumashi ebu fuatilieni kuhusu monobani pia aliwahi kusema alijiunga ccm kwa ajili ya kutaka nafasi ya kulinda mali zake zenye utata na bado akakosa ubunge, akajenga kanisa kimagumashi ili wenye haki waogope kanisa, kama kanisa lilikuwa la kkkm kwa kanisa lisingeshitaki

  • @piusmnanka8214
    @piusmnanka8214 4 місяці тому +3

    Chagua moja...Fanyakazi ya Mungu achana na biashara.... Au acha kazi ya Mungu ufanye biashara..! Acha tamaa..!

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 4 місяці тому

    Acha dhuluma mzee

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 4 місяці тому +2

    Una makosa makubwa sana (1) msimamizi wa miradhi hana uwezo wa kuuzia kiwanja
    2)ulitakiwa kuwaona watiti wote wa marehemu na watoti wote wakubaliane
    3)msinamizi wa miradhi hawezi kuweka jina lake mwenyewe bila ndugu zake
    Babu unamakosa sana ngoja waziri aingilie hapo utaona joto la jiwe kununua vitu ovyoovyo bila kujua sheria pole

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 4 місяці тому

    Pore sana

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 4 місяці тому +2

    Du mzee anapambana sana..ubunge anakosaga..NMC kakosa...uwekezaji nao wa amafuta nako ndo ivyo..sasa hatujui kama uaskofu nao itakuaaje

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 4 місяці тому +2

    Wawekezaji wana haki na Raia wenyenjaa wana haki vile vile

  • @kakarasmuuzages7490
    @kakarasmuuzages7490 4 місяці тому +1

    Epuka matapeli

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 5 місяців тому +3

    Baba Askofu Nenda kwa waziri wetu slaani msikivu sana waziri wetu hyo .kila mtu atapata haki yake

    • @petertemu7136
      @petertemu7136 4 місяці тому

      Kesi imekuwa Mahakamani karibu miaka 8 High Court huyu Monabhan alishindwa na akaamua kukata RUFAA na RUFAA nayo akapigwa Chini.Sasa hapo Waziri atamsaidia je?

    • @petertemu7136
      @petertemu7136 4 місяці тому

      Kesi imekaa MAHAKAMANI MIAKA 8 HIGH COURT NA COURT OF APPEL NA MAHAKAMA ZOTE ZILIMUONA NI MVAMIZI SASA WAZIRI ATAMSAIDIA JE? Huyo Monabhan ni Tapeli na vyote anavyoeleza ni uwongo mtupu.Anasema Jaji Nzuna awaambie familia ya Titus kwamba si mnajua mliuza pale lakini Jaji huyo huyo ameshatoa Hukumu kwamba Monabhan ni MVAMIZI anatakiwa kuondoka ili wasimamizi WA Titus watekeleze Majukumu yao

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 5 місяців тому +2

    Eheee hela nyingi sanaa hatuta fika mbinguni kwA dizaini hiii sadaka hizo jasho la kondoo wa MUNGU haliendiii hivi hiviii

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 4 місяці тому +1

    Hizi pesa zote hawa wanazipata wapi mbona mimi napambana Sana naishia kupata pesa ya kula kwa manati😢

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 4 місяці тому

      kuna wanaozaliwa wanakuta njia ilisha fagiliwa,wao ni kipita tu. sasa wewe ndo unafagia na kukata misitu ili njia ipatikane ambayo watakao pita humo ni watoto wako

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 4 місяці тому +1

    Kwa ufahamu wangu mdogo kosa liko hivi ulitakiwa katika mkataba wa mauziano iwepo orodha ya warithi wote na kuweka sahihi zao kwamba wamerithia mali hiyo kuuzwa kwani kisheria wasiporidhia wote hupaswi kununua Sasa ktk malipo ya kufidia hayo maendelezo uliyofanya ni ngumu kwa sababu kisheria ww unaitwa mvamizi. Kwa msaada zaidi ni kwamba mkamate aliyekuuzia bila marithiano ya Familia akurejeshee fedha na gharama zako halafu kingine huyo mwana Sheria wako mbona anajua sheria? Mwambie akuelekeze vzr asikulie fedha zako tu awe wazi

  • @eliasmedutieki7578
    @eliasmedutieki7578 4 місяці тому +2

    Kama kweli hii imefanyika itakua ni uvunjifu wa haki ya mtu na ni dhuluma kubwa sana kwa mali ya mtu na kama hii famia ilikua inajua kua ndg yao kauza hilo eneo wanajitakia laana itakayowatafuna mpaka vizazi vyao

    • @tengeru
      @tengeru 4 місяці тому

      Hamna kitu huyu mzee n janja janja

  • @gifatmahundi8750
    @gifatmahundi8750 4 місяці тому +2

    Pole sana baba,kuhusu ardhi sheria bado sana,

  • @PatrickNathan-u5c
    @PatrickNathan-u5c 5 місяців тому +3

    Pole sana baba Mtetezi wako yu hai

  • @HappyDaniel-n7f
    @HappyDaniel-n7f 4 місяці тому +2

    Pole kaka yangu Dunia ipo ivo

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 4 місяці тому

    huyu anatafuta public sympathy umeshafilisika filisika tu ndo maisha

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 5 місяців тому +1

    Wewe umemdhurumu ndugu Yako...
    Acha dhuluma mtumishi..
    Kumbuka pia huyo unayeshitakiana naye ni ndugu Yako wa damu...
    Wewe ni askofu?? Mbona unaleta utapeli????
    Wewe ondoka tu kwenye ardhi hiyo. Nyinyi wenye pesa ndiyo mnaongoza kupora haki za watu wantonge

    • @RobertAndrewMaguru
      @RobertAndrewMaguru 5 місяців тому

      Kuwa na pesa sio dhambi ndugu, tafuta pesa upunguze hasira

    • @jolitabukabengwe3070
      @jolitabukabengwe3070 4 місяці тому

      Pesa za kuzulumu???​@@RobertAndrewMaguru

    • @jolitabukabengwe3070
      @jolitabukabengwe3070 4 місяці тому

      ​@@RobertAndrewMagurumsimamizi wa milasi aliuza??
      Aliyemuuzia siyo mwenye mali.
      Alipewa kuwasimamia wenye mali..
      Huyu akajipa mamlaka ya kujimilikisha mali ya watu wengine.. aliuza kwa ubatili

  • @rubenmsimbe934
    @rubenmsimbe934 5 місяців тому

    Jifunze kutodhulumu,ulipowekeza kwenye ardhi isiyo yako ulikuwa unategemea nn askofu...??

  • @194summer
    @194summer 4 місяці тому

    Baba wewe ni mtumishi wa Mungu ila uliteleza kidogo,,,kabla ya kuwekeza ungebadilisha kwanza jina

  • @mohamedsoud4166
    @mohamedsoud4166 4 місяці тому

    Tumekusikia baba askofu, ila mwanasheria wako hakufai, na wewe kuwa mueelewa. Huwezi nunua kwa msimamizi bila kuwapo kwa warithi? Swali warithi wote walisaini makaratasi ya mauuziano?

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 4 місяці тому +1

    Askofu mfanyabiashara!!!

  • @simonbaraka3683
    @simonbaraka3683 4 місяці тому

    Wewe ni mwizi iyo shamba ni ya baba mdogo wangu Titus alipo kufa mkavamia

  • @esterbarton3029
    @esterbarton3029 4 місяці тому

    Ndo maana wa tz hatuaminiani daima

  • @Nyamko-christmas
    @Nyamko-christmas 4 місяці тому

    FATILIENI KESI KESI ALISHINDWA AKATA RUFAA AKASHINDWA TENA HAPO ANATIA HURUMA

    • @petertemu7136
      @petertemu7136 4 місяці тому

      Kesi imepigwa Mahakamani miaka 8

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 місяці тому

    Haki itapatikana mbele ya mwenyezi MUNGU tu.

  • @daniellyimo378
    @daniellyimo378 4 місяці тому

    Sawa , pole kwa yaliokukuta. Kuna mchezo mchafu nyuma ya pazia kwa vile wanajua ulinunua kwa msimamizi bila kushirikisha waliotajwa kwenye mirathi.

  • @naishiyemollel7478
    @naishiyemollel7478 4 місяці тому +2

    Mungu hadhihakiwi Mr Monaban

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 4 місяці тому

    Kama ulitukana serikari utachezewa mchezo

  • @hatibumachaku3381
    @hatibumachaku3381 4 місяці тому

    ujiridhishe uhalali wa muuzaji endapo ni msimamizi halali na anacho kibali cha kisheria kufanya mauzo au kuingia makubaliano ambayo mnataka kuingia, kinyume na hapo ni hasara mbele endapo sheria itachukua mkondo wake.

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 4 місяці тому

    Unanunuaje eneo kwa msimamizi wa mirasi ?. Unajua kabisa huyu ni msimamizi alafu unanunua ?

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 місяці тому

    Uliinunua kibabe wakati unajua warithi wote hawakuweka signator

  • @billyt8wtm
    @billyt8wtm 5 місяців тому

    Huyu mtu hajitambui kabisa, kwa hiyo kauli ya Judge inatofautiana na maandishi yake au alichokiandika ????!!!!!! Yaani atambue mauzo kwa maneno halafu akatae kwa maandishi ????!!!!!!!

  • @Veni584
    @Veni584 4 місяці тому

    Miaka 9 yote walikuwa wapi?

  • @gililwise
    @gililwise 5 місяців тому

    Mchungaji msimamizi was miradhi hana mamlaka ya kuuza eneo mpaka kuwe.na makubaliano na familia

  • @simonbaraka3683
    @simonbaraka3683 4 місяці тому

    Mwizi.mali ni ya Titus baba mdogo wangu

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 5 місяців тому

    We mzee utakua na shida sio bure , tangu kesi iishe unashinda kuita vyombo vya Habari sasa sjui ni kutaka huruma au vp

  • @allymdoka8634
    @allymdoka8634 4 місяці тому

    Mzee hewa kabisaa wewee unauziwa Mali ya marehemu na msimamizi wa mirathi ulionaga wap msimamizi sio mmiliki mmiliki ni warithi wamarehem

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 5 місяців тому

    Kwa faida ya wote hapa, msimamizi wa mirathi HANA haki ya kuuza mali ya marehemu. Mali zote za mirathi zinauzwa kwa warithi wote kuridhia mali husika kuuzwa. Vinginevyo ni utapeli tu.

  • @yonahgideon7561
    @yonahgideon7561 5 місяців тому

    Mtu akikizulumu usiende mahakaman hasa hiz mahakama za kazi huwa hawatoe haki