TAZAMA HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO JIJINI ARUSHA MEI MOSI/VIOMGOZI WABAKI MIDOMO WAZI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 6

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 5 місяців тому

    Hi nchii mipango mingii tu ya mdomoni vitendoo zirooo kabisaaa

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 5 місяців тому

    Hakuna kitu hapo wafanyakazi wataendelea kuombaomba kukopa unga Kwa Mangi

  • @danielkanso
    @danielkanso 5 місяців тому

    Hongerani serikali kwa mipango mikakati Hivi samahani naombeni kuuliza mbona watoto wa kike wana vipawa mbele sana je watoto wa kiume wamewekwa kwenye nafasi gani au ndiyo hivyo watajitafuta wenyewe

    • @angolina1768
      @angolina1768 5 місяців тому +1

      Watajitafuta tu wenyewe 😂😂😂

    • @danielkanso
      @danielkanso 5 місяців тому

      @@angolina1768 Ni azimio la baraza la mataifa hilo na wakuu wa nchi zetu hawawezi kushitukia hilo nafikir wange tafakari zaidi maana mpaka sasa ukiangalia mambo yanavyoenda usigetamani uegemee upande wowote

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 5 місяців тому

    Wafanyakazi wa watubinafusi mbona hamjari hakizao mnazungumzia wafanyakazi waserekaritu