GHARIBU MZINGA:YANGWA INABIDI IULIZWE INA JAMBO GANI?DUBE+CHAMA KUNA WATU WATAOGA MABAO MENGI HAKIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • #azamtv #azamfc #azampesa #mavalatv #simbasportclub #manaratv #ayomatv #azamtvmaxapp
    #SimbaVSBisharaUnited​#Simba​#Yanga​#YangaVSKageraSugar​#BerkaneVSSimba​#Challenge​#TryNotToLaugh​#Mayele​#YangaVSMtibwa​#LiveMatch​#AllyMayay​#MtibwaVSYanga​#BerkaneVSSimba​##AllyMayayTembele​#YangaTv​#SIMBA​##KibwanaShomari​#Yanga​#Simba​#Yanga​#Simbawalivyoondoka​#KikosichaSimba​#Tryagain​#SimbaApp​#Simbakuondoka​##UchambuziWaAllyMayay​#Bocco​#Mayele​#yanga

КОМЕНТАРІ • 12

  • @user-ox4tc4gl1d
    @user-ox4tc4gl1d 12 днів тому +1

    ❤mwisho wao umefika wardi na Simba Kila jambo Lina .wanzo na mwisho😊

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 14 днів тому +2

    Huyu jamaa atafika mbali Sana,jemedali,jofreya,shafii dauda na mzee wa jambia wajifunze kwake

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 14 днів тому +1

    Hongera sana kijana unazungumz fact sana sikupingi mpaka japo unaongea fact sana kijana kwa SIMBA,YANGA,AZAM na COAST.

  • @saidikabalain8923
    @saidikabalain8923 14 днів тому +1

    Thimba aikuteleza imepata kilichostaili kuteleza iwe umeshiriki klabu bingwa ukitolewa na kwenda shilikisho ndiyo umetereza broo😂😂

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 14 днів тому +1

    Ila huyu jamaaa anamwaga mpaka unyenye ila kunawachambuzi wengine sasa wapumbavu maana hata lagha ya kingereza hawajui hongera kijana unajua

  • @user-fl7tq5cm4v
    @user-fl7tq5cm4v 14 днів тому

    Azam fc ms8mu ujao kitawaka kweli kweli hatuna cha kupoteza msimu ujaoooooo

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 14 днів тому

    Eti nusu fainali caf confederation !! Group stage yenyewe ni ndoto ya alinacha.

  • @DavisonKahimba
    @DavisonKahimba 14 днів тому +1

    Sema huyu jamaaaa anajua kuchambua football then anaongea fact sana ila tunaomba msimu ujao TFF waache kupanga matokeo mpira ndo uzungumzie uwanjan

  • @thequalityvideozanzibar7118
    @thequalityvideozanzibar7118 14 днів тому

    Cut kidogo tupishe gari

  • @emacomedytv
    @emacomedytv 14 днів тому +1

    Hila huju jamaaa anaonekana ana madini sana ila watu unaweza kumkuta kama wanamdharau, ila uhakika anawaambia vizuri vilabu vyetu kuelwkea katika tonament za kimataifa hakuna kingine ambacho anachoshauri ila anawasihi kuelekea tournament kubwa za kimataifaaaa😂😂😂😂

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 14 днів тому

    Ni wewe tu na huku kumbe unatafuta mb