Kwani KWENDA KANISANI NDO ulokole kanisani Ni WENGI tunarnda Ila hatujaokoka Wala hatuna Imani Ni watenda TU na Ila wapo wachache Sana WENYE Imani makanisani Ila. MUNGU HUWA ANAWAFUNULIA POLEPOLE NA WENGINE HUPATA NEEMA YA KUMUJUA YESU HUMOHUMO MAKANISANI
@@justomogger.1670 waganga wenyewe wana asi uganga wanakuja kwa Yesu wewe unatafuta uganga? Ndungu yangu wacha mambo hayo njoo kwa Yesu ukimfuata kwa moyo wako wote atakutatulia shida zako zote
Japokuwa hawa jamaa Wanasingizia uganga bure wewe unafunzwa uchawi aafu wanakupandikiza kwenye njia uganga wakati sio uganga na uchawi vitu viwili tofauti saaana ....
@@castorykapinga6425 sio wamoja ni chaguo lako ukitaka ku base kwenye uchawi au tiba bila uchawi maana kwenye tiba kuna mitishamba ambapo wewe mwenyewe bila hata kwa mganga unatumia .... Jee inamaana hospitalini msiwe mnakwenda maana Ramli wanapiga pia unaandikiwa dawa ambayo dawa hile imetengenezwa kutoka kwenye mitishamba .... Na Faham kwamba Majini waliumbwa mbele ya kuumbwa kwa mwana Adam ... Na Majini wapo kama sisi binaadam tulivyo kuna wema na wabaya .... Jee kama unabisha swali linakuja ..Je ushaga wahi kumuona shetani ?? Illa kwa nini miongoni mwa sisi binaadam tunafanya ubaya hadhi kufananishwa na Shetani ?? Bimana kwamba na sisi binaadam tupo wabaya na wazuri na ndivyo hivyo hao viumbe walivyo kuna wabaya na wazuri .....
Mmmh Bora kujiwea na YESU HII DUNIA NI MBAYA SANA
Hii sori ni nzuri sana🔥🔥🔥🔥🔥
Stop the key board music 😡
Kwani KWENDA KANISANI NDO ulokole kanisani Ni WENGI tunarnda Ila hatujaokoka Wala hatuna Imani Ni watenda TU na Ila wapo wachache Sana WENYE Imani makanisani Ila. MUNGU HUWA ANAWAFUNULIA POLEPOLE NA WENGINE HUPATA NEEMA YA KUMUJUA YESU HUMOHUMO MAKANISANI
Davista Acha siasa za kidini wakristu wakisemwa unatetea kwamba hao wanaenda kanisani kwa kuzugu akitajwa Muslims unacheka Acha kukigawa kipindi
kweli kabisa hata mm nimeona
yule muhubiri anaitwaje?
Safi
VOXY
Together mr. Everything 🙏
Damu ya yesu inatenda mema
Shetan mbaya sana
Anaeleza vema sana
Dahhh. Ikiwa inazidi kukolea imekata ghafla
What is this no sound
Hila sai tanzania hamna waganga wazuri tena
Unawatafuta?
Yeah nielekeze mmoja mzuri mwenye si muongo
@@justomogger.1670 waganga wenyewe wana asi uganga wanakuja kwa Yesu wewe unatafuta uganga? Ndungu yangu wacha mambo hayo njoo kwa Yesu ukimfuata kwa moyo wako wote atakutatulia shida zako zote
@@justomogger.1670 Mwanaa mwaitũ ekana na syĩndũ ii! Ni mateso unatafuta.
Nĩkalaa Tz ĩndĩ ekanaa syĩndũ ithi kavisa.
Bora ukae kisayansi kama imani inakushinda. Maimũ maitethasya mũndũ makĩtaa kũwaa thayũ na mwĩĩ.
@@thebeautifulone7982 shukurani kwa kumshauri huyu ndugu yangu.
Waganga wanakimbia yeye anataka kuwafuata! Ni kutafuta kifo.
KASULU KIGOMA
Du
Japokuwa hawa jamaa Wanasingizia uganga bure wewe unafunzwa uchawi aafu wanakupandikiza kwenye njia uganga wakati sio uganga na uchawi vitu viwili tofauti saaana ....
ssi wanadam ufaham wetu umefungwa hakika wote ni sawa sawa tu kasolo vitengo wote wanamtumikia shetani
Mganga na mchawi watoto wa shetani kasoro vitengo tu vimetofautiana
@@castorykapinga6425 sio wamoja ni chaguo lako ukitaka ku base kwenye uchawi au tiba bila uchawi maana kwenye tiba kuna mitishamba ambapo wewe mwenyewe bila hata kwa mganga unatumia .... Jee inamaana hospitalini msiwe mnakwenda maana Ramli wanapiga pia unaandikiwa dawa ambayo dawa hile imetengenezwa kutoka kwenye mitishamba .... Na Faham kwamba Majini waliumbwa mbele ya kuumbwa kwa mwana Adam ... Na Majini wapo kama sisi binaadam tulivyo kuna wema na wabaya .... Jee kama unabisha swali linakuja ..Je ushaga wahi kumuona shetani ?? Illa kwa nini miongoni mwa sisi binaadam tunafanya ubaya hadhi kufananishwa na Shetani ?? Bimana kwamba na sisi binaadam tupo wabaya na wazuri na ndivyo hivyo hao viumbe walivyo kuna wabaya na wazuri .....
@@sashaomari7987 Je ukimuona binaadam akimkata mtuu kwa Mpanga unamuita nani ???
@@messikihongosi5290 binaadam na shetani wote wamoja au ??