HARUSI IMEVUNJIKA MKE AMENIACHA SIKU YA HARUSI YETU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 144

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 роки тому +3

    Nashukuru mungu kwani hakujua ni washsri au kheri huenda mungu kakuepusha .muombe kilichokuwa na kheri na ww atakupa kwa huruma yake

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 3 роки тому +2

    Pole kaka kwa Yale unapitia mungu akutie nguvu wakati huu mugumu. Qr in Jesus name

    • @nooroman2535
      @nooroman2535 3 роки тому

      Pole sana nilisikia buza nikakumbuka nyumbani kwetu buza jamani nimekumc buza kwetu

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 роки тому

      Pole kaka unaongea kwa hisia kali ila Inaweza kuwa siyo mke Mungu aliyekuandaria angekuwa wako hasingewasikiliza wazazi wala mtu yoyote yule

  • @bitunisebarua3884
    @bitunisebarua3884 3 роки тому +1

    Duh anasisitiza anampenda bas kisichorizik

  • @reginakirway3626
    @reginakirway3626 3 роки тому +1

    Kaka pole lakini miaka mitano hatakqm unajipanga basi umezidi ,,ila pia mitno yasingekuwa mingi lakini
    Mshukuru M/mungu pengine msingefika mbali kwe maisha :
    Lamwisho ukiingia kwe mahusiano usisubirisha sana miezi weka ndani mengine mtajitafutia kwa pamoja # kwaheri.

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 3 роки тому +2

    Sunajuwa bwana

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому +1

    Mungu atampa MKE mzuri azidi na atampa Uzima atapona Ameen

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 роки тому

    Kwa uwezo wake Allaah Utapata tu mwingine wala usijilaumu mungu amekunusuru na jambo ndugu yangu

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 5 місяців тому

    Pole sana kaka

  • @msalikemedia
    @msalikemedia 3 роки тому +1

    Si unajua bwana

  • @lindananchama3145
    @lindananchama3145 3 роки тому +1

    Wish her all the best I have been in the same situation 🙏 move on

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 роки тому +3

    Siunajua bwana😂😂

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 3 роки тому +2

    Jamani huyo mtangazaji ni mwanaume au mwanamke???🤔🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 3 роки тому

    Luluteeeee😀daah kitambo sana mshkaji wangu.ila pole sana

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 3 роки тому

    Ohooo, pole huyo Mdada alipenda pesa zako ulipoumia akaona hufài mpe miaka tu atakukumbuka tu

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому

    Pole masikini munqu tenda miujiza arudi kwako

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +3

    Siyo liziki yako Mungu kakuepusha na kitu Sema ujuitu ilamtubie kwa zinaa mliyoifanya

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 3 роки тому +2

      Bass kaka usihamanike kwa hilo mm nipo huku kiroho safi kwetu zanzibar

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Mungu kakuepusha mengi chukulia kawaida

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 роки тому +1

    Kiukweli unaitaji kuliwazwa.kuhusu uyo mchumbaako kavumilia sana.uchumba miaka yote iyo binafsi nisingeweza kudumu kwenye udhinifu kiivyo.

  • @issayamollel9875
    @issayamollel9875 3 роки тому +1

    Duh pole ase mkubwa siunajua bwana kama umechoka kusikia siunajua bwana gonga like twende

  • @salmahanai
    @salmahanai 11 місяців тому

    Mziwanda nakupenda sana jaman

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 3 роки тому +1

    Si unajua bwana 😂

  • @gabrielimyula3789
    @gabrielimyula3789 3 роки тому +1

    Da pole hata Mimi iyo ilinipata

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому

    Pole sana Mungu atakupa alowako

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 роки тому +2

    Nioe mie kaka😔😔😔

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому

    Huwa nawashangaa wanawake wenzangu uchumba aina gani wa miaka mitano hiyo hali sitairuhusu tubadilikeni

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 3 роки тому +2

    Asiyekupenda achana naye,na anayekupenda pendana naye.bora amekukimbia mapemaaaa,mwache aende zake

  • @zulekhanyange7484
    @zulekhanyange7484 3 роки тому

    Mimi yamenikuta last week jumapili ya tarehe11 nimeona rafiki yake kapost sahii niko nawakati mgumu sanaa

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 роки тому +1

    Huyu dada hakua na mapenzi ya kweli alivyoona ww una uma akaona akuepuke

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 роки тому

    si unajua bana

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому +5

    Sahivi kaka huna mke bass njoo uniowe mm huku oman nipo sina mume niko na kazi tu na sahivi corona tena

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 3 роки тому

    In Sha Allah na yeye atapata mwengine. Atakaempenda zaidi. Na atamsahau huyo mwanzo.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому

    Acha kulalamika achananaye huyo mwanamke alikuwa golikipa so huyo angekupa shida mtu tegemezi hafai maishani. Msela mjinga sio mjanja

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Mm nilipia hiyo changa moto ila siwezi kujiua kisa nimekataliwa uongo sikazi.kwaza nitanenepaa tuu

    • @swaumuabdallah4547
      @swaumuabdallah4547 3 роки тому +1

      😄😄😄Jmn ata mm sasaiv na nenep tu maisha murua

    • @pendolazaro4686
      @pendolazaro4686 3 роки тому

      Jaman hata mm nanenepa kwanza Niko zangu omani kikazi aka sina mda na mapenzi

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      😅😅😅😅😅😅😑😅😑😑🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦mm Niko huku kwarahaa zangu sitaki fujo na mapezi wacha niangalie moja

  • @amongodfrey7266
    @amongodfrey7266 3 роки тому +2

    Huyu Dada maswali yake dah

  • @hhhghyghgg8640
    @hhhghyghgg8640 3 роки тому

    Uko sawa daa

  • @rahmamosa2320
    @rahmamosa2320 Рік тому

    Nimekumisi kiukweli

  • @namirial4509
    @namirial4509 3 роки тому

    Pole

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +1

    Buza kwa mparange?

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому +2

    Mahusiano ya miaka 5 so kwr hata mm naolewa tu sehemu nyinginr

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +1

      umeonaee unasubiri mpaka unakoma

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Ndio sawa na je huyo atakaye kuoa unaamini atakuwa na upendo kama wauyo wa ndani ya miaka mitano

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      @@Mpakauseme kuwa na mahusiano ya miaka mingi haiwezi kufanya ndoa ikadum kwa mfano yule alitobolewa macho mahusiano miaka kumi ndoa miezi 11

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      @@heyumi2340 upo vzr unafatilia😂😂

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      @@rehemasalim4590 🤣🤣🤣tunacheki watu wanababaika na k

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Hilo swali rahisi utaenda harusini jibu nitaenda ama siendi mm kwaza hadi mdaa hu ex wangu sijuagi nb zake nasikiagaa tuu salamu kwa mjomba eti anajutia wakati mm sina mdaa na yy hata jina nilisau

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Usikie Kwa Mwenzako

  • @ahmedabdirasaq6645
    @ahmedabdirasaq6645 3 роки тому +2

    Kumbe tupo wengi2😭

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому

    Mziwanda ubarikiwe sana

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 3 роки тому

    Pole kwa mitiani

  • @nfnf9780
    @nfnf9780 3 роки тому

    Nakuaminia mziwanda kaz mzr

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Anajichanganya kweli eti akae namtu mwingine huku akikuangalia.hiyo asikudanganyee ..yy ameaonaa wewe anaumwaa ameona.heri hakuepuke mapema

  • @kassimshabani6165
    @kassimshabani6165 3 роки тому

    Pole sana

  • @florafumbuka434
    @florafumbuka434 3 роки тому +1

    Mwandishi jifunze kuuliza maswali

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 роки тому

    Pole kk

  • @mrsjj8804
    @mrsjj8804 3 роки тому

    Mziwanda ivi ww ni mwanamke au mwanamme kama ni mwanamke basi naomba sku moja nikuone kama mwanamke ebu

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 роки тому

    Mmmh huyu jogoo yupo

  • @zayanaalmarjibi4254
    @zayanaalmarjibi4254 3 роки тому +1

    Mhhhh napita tu
    Nauliza tu huyu Mziwanda ni mwa

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 роки тому

    Ukiachwa achika.samaki ni weka.Anza kuvua kaka.

  • @azizandenge7557
    @azizandenge7557 3 роки тому

    Maskin pole

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Unaeka mtu moyoni wakati ameolewa??hapo hujasema

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 3 роки тому

    Miaka 5 ulikua unataka kugundua mini kwenye ayo mausiano

  • @betsyakoko6810
    @betsyakoko6810 3 роки тому

    Pengine tabia za bwana hazikumfa yule dada

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 роки тому

    Pengine unajishuku tu, mfate tu

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 3 роки тому +2

    Wee mdada unaongea sanaa . Leta issue wacha kupiga mdomuu namna hiyoo

  • @zena_glamshow9808
    @zena_glamshow9808 3 роки тому

    Usijali nimitiani haikua riziki yako bat ata uko endako atakukumbuka

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Salamghaikum vip habari zenu

    • @saudasieber2082
      @saudasieber2082 3 роки тому

      Waleikum Msalaam Waramatulwahih Wabarakatuh Alhamdulillah hali yako

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Haikuwa rixiki yako

  • @salimsaid3292
    @salimsaid3292 3 роки тому

    Bwege hakuna jengine

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 3 роки тому +2

    Uyu mwandishi ajui kuoji
    Alafu. Kama jike dume.
    How come you interview somebody
    with stupid question 😝😝

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 3 роки тому

      😃😃😂

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 роки тому

      At mimi cjafaham kama wakike au wa kiume🤣🤣🤣🤣 naona mauzauza tu.

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      Si nimwanamke kama Tom boy🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sojojom1454
      @sojojom1454 3 роки тому

      Mbona anahoj vizur tu jmn achen chuki afu uyo ni mwanamke

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 роки тому +1

    Wewe ni muhuni usimuongopee huyo mtangazji na wewe si muhuni haya huyo mtangazaji bado hajaolewa haya tupa mistali yako hapo umuowe tena mtaendana tena huyo ni Simba mwezako tupa mistali hapo kwanza huyo Mzuwanda mtoto mzuri na kubwa anayo roho mzuri. Tupa mistari wewe wacha blabla zako

  • @zainabshally7849
    @zainabshally7849 3 роки тому +1

    Si unajua bwana

  • @rahmamosa2320
    @rahmamosa2320 Рік тому

    Nimekumisi kiukweli

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 роки тому

    Pole

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 роки тому

    Pole