SIKU ZA MWISHO: ASKOFU MOSES KULOLA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 40

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 Рік тому +7

    Hiii ndo injili ya YESU Kristo aliye hai 😭😭😭😭 catarama matana masiah kalama taya nasikia uwepo WA MUNGU huyu ROHO MTAKATIFU aliye kua juu yake awe na kwangu😭😭😭cayasaya sekela tolota ohoo holy ghost ROHO WA MUNGU uje sasa 😭😭😭

  • @JustinPhilipoh
    @JustinPhilipoh 3 місяці тому +3

    Mungu nisaidie na mimi nihubiri injili kama hii.. utukuzwe wewe mwenyezi mungu ulie juu🙏🙏

  • @EvaSamweli-i5w
    @EvaSamweli-i5w 3 місяці тому +3

    😭😭😭😭😭Yesu nisaidie nisije nikaishia duniani

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 6 місяців тому +2

    Ee masiah 😭😭😭 MTAKATIFU WA Israel usichukue uhai wangu bila kuhubiri injili takatifu kama hiii na watoto wangu neema yako iwe kwao 😭😭😭 catamaran yakalatam

  • @ngalulaselemani3297
    @ngalulaselemani3297 10 днів тому +1

    Tumu pâte wapi tena mutu kama huyu Naye hubiri abari njema ya yesu ckristo Mungu tusaidie tu hubiri nasisi

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 Рік тому +4

    Bwana Yesu tunaomba neema yako bila wewe atuwezi

  • @KennedyZabron
    @KennedyZabron 10 місяців тому +3

    Bwana Yesu Kristo wa Nazareth naomba nitumie kama mtoto wako ASKOFU Moses kulola hii ndo INJILI ya kweli

  • @DanielMbena
    @DanielMbena 2 місяці тому +1

    Tusisikie neno hili kwa msisimko hatutahesabiwa haki kwa kusikia bali kwa kutenda tudhamirie ndani mwetu kubadilika maisha yetu yaendane na Kristo

  • @OshiriFloatexchange
    @OshiriFloatexchange 6 місяців тому +2

    Hili ndo linaloitwa GK yaan gombo kamili aliloliacha Bwana wetu Yesu Kristo. By Mr Adrian🙏🙏🙏

  • @gladnesskaaya-nt3cx
    @gladnesskaaya-nt3cx Місяць тому +1

    Injili ya kweli

  • @ObadiaMasuluja-fn8qz
    @ObadiaMasuluja-fn8qz 9 місяців тому +2

    Mungu Ni mwema akupumzishe kwa amani

  • @JumaSume-c2e
    @JumaSume-c2e 3 місяці тому +1

    Grory to God

  • @LameckGrey
    @LameckGrey 5 місяців тому +1

    Amen mungu nisaidie

  • @GodfreySilvesta
    @GodfreySilvesta 5 місяців тому +1

    Watu wamepata wito wa kuitwa lakin wanaubiri kwa masiala2 lkn hii roho ya moses kulola tangu atwaliwe bdo cjaiona kw mwinjilisti au mchungaji yeyote
    .....weng leo wapo kwa masilai na malipo2 .....eeh mungu nikumbuke

  • @shalomuezra5972
    @shalomuezra5972 Рік тому +2

    😭😭😭😭😭😭

  • @IsakaMgeje
    @IsakaMgeje 7 місяців тому +1

    2024 Nafatilia Mahubiri yenge Nguvu

  • @MiriamMalogo
    @MiriamMalogo 4 дні тому

    Hii ndo injili hakuna kubembelezana

  • @HarryMbale-ie1ex
    @HarryMbale-ie1ex Рік тому +2

    AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏

  • @majaliwamwamengo8604
    @majaliwamwamengo8604 Рік тому +2

    Amen

  • @Mary-xv6pc
    @Mary-xv6pc 5 місяців тому

    Mungu nisaidie

  • @HappyMtavangu
    @HappyMtavangu 2 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭