WAZAZI WA MSAIDIZI WA MWAMPOSA WATOA MACHOZI KIFO CHA MTOTO WAO | KANSA ILIVYOKATISHA MAISHA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 22 години тому +5

    Someni neno.Hata yesu hakuwaponya wote.wakati wako.ukifika,hata ukienda ulaya utaondoka.Acheni mapenzi ya Mungu yatimizwe

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 11 годин тому +2

    Amina. Poleni sana kanisa la Mungu. Mwamposa anaombea, aponyaye ni Mungu mwenyewe.
    Mungu akikusudia uondoke utaondoka bila kujali umri.

    • @JosephineMhando
      @JosephineMhando 10 годин тому

      Hakika na wakati wa Bwana ukifika umefika

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu День тому +4

    Poleni ndugu mwamposa siwakumkumbatia mtoa kafara

    • @lulumatawalo7805
      @lulumatawalo7805 12 годин тому +2

      Mungu akurehemu maana neema aliyonayo Mwamposa inapita akili na fahamu za kibinadamu .Unadhani Devil ana nguvu kuliko Mungu! Polee

    • @SarahKyando-qb3sl
      @SarahKyando-qb3sl 12 годин тому +1

      Kuwa makini Sana na Maneno Yako ya uongo ,usicomment nonsense kwa mtazamo wa dini, Muabudu Mungu wa mbinguni na kufuata amri zake Mungu acha dini na Sheria za dini

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 6 годин тому

      Ujui usemalo Mungu akusamehe

  • @SashaRamadhani-uu1wv
    @SashaRamadhani-uu1wv 12 годин тому

    Nakukubali sana pastor dastan maboya

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike 14 годин тому +2

    Hata nabii Erisha katika biblia alikufa kwa ugonjwa muwe waelewa someni neno mapenzi ya MUNGU ni Amina!

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 5 годин тому

      Kinacho leta hoja ni maneno yanayo tumika kuwa hambia wanannchi mwenye magonjwa sugu watafunguliwa,matatizo yako yatakrisha kwa jina la yesu sasa inabidi kusema kwa uwezo wa mungu,

  • @AnnaMarthias
    @AnnaMarthias 7 годин тому

    Kuna watusio wazuri muacheni maneno jamani mungu hapendi mungu huwezi mupangiya

  • @Justin-eb2xn
    @Justin-eb2xn 12 годин тому

    Poleni sana

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e День тому

    Hiyo Amina!

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 14 годин тому +2

    Huyu mzee sio Jembe lamajembe Dastani Maboya Maboya nyie watoto 2000 hamfaham huyo alikua moto usipime haijawahi kutoka Mwamposa chamtoto

  • @mussachessa6404
    @mussachessa6404 7 годин тому

    Bado wa3 wanatakiwa kutokewa nadhani nilishasema. Mimi naelewa mchezo mzima .

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c День тому

    Mungu aifariji familia yake

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika День тому +2

    Sasa mbona mwanposa hakumponya huyo msaidizi wake

    • @agapemwasomola.777
      @agapemwasomola.777 День тому +3

      Ndugu acha kebehi

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 6 годин тому

      Na wewe acha ujinga kwani hata siku moja umeshawai kusikia Kwamba Mwamposa anasema yeye ndiye anaeponya watu mbona mnapenda sana uzushi nyie watu hiyo tabia itawapeleka pabaya msipo tubu na kuiacha

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 4 години тому

      😅

  • @mathiaschoma9527
    @mathiaschoma9527 23 години тому +1

    Polenta kwa msiba, mchanga, sokoto,mafuta na maji wapi sasa

  • @davidwatson4294
    @davidwatson4294 13 годин тому

    Mungu alitoa na ametwaa jina la bwana lihidimiwe Alelujha Alelujha Alelujha 🙏🏽 🙏🏻

  • @AnnaMarthias
    @AnnaMarthias 7 годин тому

    Poreni sana jamani

  • @hboywasasa
    @hboywasasa День тому +1

    Poleni sana tunauliza atazikwa wap tujumike wote

    • @vikimartin9441
      @vikimartin9441 23 години тому

      Anazikwa segerea kwenye kanisa lake Ila kuanzia sanne kutaluwa na ibada yakumuaga kawe na msafara utaanzia kawe kwenda tabata segerea

  • @matokeomahobe42
    @matokeomahobe42 5 годин тому

    maji maji mala mafuta nyie ndugu zangu yesu anarudi tuache utani

  • @lucykebacho4852
    @lucykebacho4852 День тому

    Pumzika kwa amani

  • @abasiramashoo5026
    @abasiramashoo5026 Годину тому

    Mbona hukumpa dawa yako apone wewe ni muongo sana

  • @OswardSanga-ep5js
    @OswardSanga-ep5js 14 годин тому +2

    Anaezungumza huyo anaitwa DASTAN MABOYA alitikisasana ENZI zao nakina kakobe Mwingila wa Efatha

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 11 годин тому

      Ww mwingila ea efatha unamjua ni nani anayetikisa mpaka ss yule ni mtume wa Mungu aliye hai hana makanisa 650tz nzima .na pale Mwenge kitu kinachotoka usipime

  • @Fikirichimela
    @Fikirichimela 22 години тому

    Pole sana ndugu kwa msiba,lakini nyinyi wenzetu muna maji ya uzima pia munaweza kumuombea mtu aliekufa mpaka kufufuka,inabidi muoneshe miujiza yenu hapo ya kumuombea huyo kijana aliekufa mpaka kufufuka,au mukishindwa aitwe askofu gwajima maana yeye aliwahi kufanya hiyo kazi.

    • @HappyMsuha
      @HappyMsuha 11 годин тому +1

      Mda mwingine kukaa kimya ni hekima,unazan wakati wako ukifika Hata ukiomba vip Mungu akikuhitaj atakuchukua ,miili ni yetu pumzi ni ya Mungu na ndo mwenye kuileta na kuichukua

    • @Fikirichimela
      @Fikirichimela 11 годин тому

      @HappyMsuha dada yangu sijakataa hayo pia naamini kila mtu ana muda wake wa kufa lakini nyinyi wenzet wahubili wenu wanatangaza kwamba wanaweza kumfufua mtu aliekufa kuwa hai kwa mfano mchungaji gwajima alifanya hicho kitendo cha kumfufua mtu aliekufa na kuwa hai ndani ya kanisa lake,na hiyo clip ipo mitandaoni kama hauna sema nikutumie,kama aliweza kumfufua mtu aliekufa,atashindwaje kwa hiyo kijana?
      Kwa maana,tutajifunza hapa kuwa wachungaji na maaskofu wenu baadhi yao ni waongo,wanawapanga watu kuwa vilema,vipofu,mabubu,wanamapepo na magonjwa sugu,baada ya muda wanawaleta kanisani kwa ajili ya kuwaponya kwa jina la yesu kumbe ni uwongo mtupu

    • @JosephineMhando
      @JosephineMhando 10 годин тому

      100%

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 23 години тому +2

    Jamani mbona baba Mwamposa hakuponya kansa ya mtoto wa msaidizi wake.Amkeni nyie mnaofuatilia huduma za mitume na manabii. Na amfufue Sasa!

    • @evelinemlay5572
      @evelinemlay5572 21 годину тому +3

      Mpendwa hata Mtume Paul hakupewa kumtibu mwanae wa kiroho Timotheo aliyekuwa anasumbuliwa na maradhi ya tumbo, hadi anamwambia atumie mvinyo kidogo kwa ajili maradhi ya tumbo na magonjwa ya mara kwa mars yaliyokuwa yanamsumbua mara kwa mara, kumbuka watu waliponywa kwa leso zilizogusa Mtume Paul. Anayetibu ni Mungu siyo Mwamposa mpendwa wangu. Mungu akipanga, mipango yake haipanguliwi. Mungu anamtumia Mwamposa kuponya walioonewa na shetani

    • @MaryKalunde
      @MaryKalunde 11 годин тому +1

      Kuna muda Mungu akikuita hata iwe vipi mapenzi yake ni lazima yatimie, sote tumeumbiwa kifo hata iweje, ikiwa Mungu amekuita utaenda tu..

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 6 годин тому +1

      Someni maandiko muelewe nyie watu hata Nabii Elisha alikufa kwa ugonjwa wa jipu licha ya kutumiwa na Mungu kutenda miujiza mingi muda ukifika umefika tu acheni mawazo potofu hayo

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 5 годин тому +2

      Kwa Mwamposa watu wapona kweli wala hakuna uongo maana hata mimi ndugu yangu alikuwa nakichaa na ukimwi amepona pale pale Kwa Mwamposa ambaye Mungu anamtumia kuwafungua watu wa imani zote na hiyo ndio injili kwamba watu waponywe na kumuamini Bwana Yesu maana ndiye mtenda miujiza na sio Mwamposa yeye anatumika kama chombo tu

  • @luthermajoji7300
    @luthermajoji7300 День тому +2

    Huyu mzee yuko salama jamani?
    Ongea yake ni kama amepasha kidogo 😂

    • @ThelifeofJesusMinistryTLJ
      @ThelifeofJesusMinistryTLJ 21 годину тому +1

      inaonekana wewe ndio hauko sawa, kwa hiyo unafikiri na mwengine hayuko sawa, watu wako na msiba na ww unaongea isivyopaswa jiangalie

    • @luthermajoji7300
      @luthermajoji7300 21 годину тому

      @@ThelifeofJesusMinistryTLJ Pole sana kwa msiba

    • @OswardSanga-ep5js
      @OswardSanga-ep5js 14 годин тому +1

      Huyo mzee Yuko sawa Sana sema wengi hamfaham huyo anaitwa Dastani Maboya ukitaka kumfaham mtafute kwenye mitandao ujionee moto wake usipime

    • @AGM19697
      @AGM19697 13 годин тому

      Huyo yupo sawa saaana sana tena ungekuta wakati wa ujana wake ndio alikuwa moto zaidi.
      Ila alishakiri kuwa ndio anavyoongea na ni muhubiri mzuri sana mwenye kipawa na upako wa kutosha.
      Alikuwa hata akiombea sadaka tu mapepo yanakimbia

    • @jacklinemukindege1768
      @jacklinemukindege1768 5 годин тому +1

      Kwa usiemfahamu unaweza sema hvyo lakin Yuko vizuri Sasa sijui ulitaka aongeeje mwenzetu ebu tuambie aungurume au?

  • @williamkilembwe7189
    @williamkilembwe7189 9 годин тому

    Sasa tunaamini, kama Mwamposa ni msanii, na sio mtumishi.

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e День тому

    Hiyo Amina!

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e День тому

    Hiyo Amina!