VILIO NA MAJONZI MWILI WA MSAIDIZI WA MWAMPOSA UKIWASILI | ABEBWA KAMA MFALME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 години тому +8

    Acheni kuongea kama hamumujuwi mungu au haujuwi kifo unawezaji kusema angemuombea afufuke heshimuni kazi ya mungu kila bini Adam atakufa tu RIP 😢😢😢😢😢😢😢😢 watching from Capetown South Africa

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY 2 години тому +3

    Jamani Mungu huturehemu maana utukufu wako tumekunyanganya tumewapa wanadamu badala ya kukutukuza wewe tunajua sisi

  • @HachinaHachina-je5es
    @HachinaHachina-je5es 46 хвилин тому

    Poleni sana wafiwa mungu awaited nguvu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 57 хвилин тому

    Mungu ampumzishe kwa amani Mungu kampenda zaidi yetu

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 години тому

    Pumzika kwa Amani mtumishi,na niwape pole nyingi kwa wafiwa waote na Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu mtakachopitia.

  • @odrybriggetJoseph
    @odrybriggetJoseph Годину тому

    Mafuta ya upako lafk yako alazwe mhl pema peponi amen🙏🙏

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 3 години тому +2

    Apumzike kwa Amani mtumishi wa MUNGU!

  • @EsterJonas-if7hw
    @EsterJonas-if7hw 2 години тому

    Mungu Ampumzishe Kwa Amani Mtumishi wa Bwana.

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 3 хвилини тому

    Yani mtu kafariki harafu munasherekea kama harusi jamani mungu atusaidie

  • @SalomeFesto
    @SalomeFesto Годину тому

    Nyie mnaosema angemfufua mungu awarehem hamjui msemalo😭😭😭

  • @DyanaVedasto
    @DyanaVedasto Годину тому +1

    Pumzika kwa amani mtumishi

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 18 хвилин тому

    Anabebwaje Kama mfalme wakati hapo alipo nikama gogo tu

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 13 хвилин тому

    Du Ila anaishi uswaz

  • @EdwinAugust-q8z
    @EdwinAugust-q8z 3 години тому +1

    Mwisho wa mwaka huu watu wanatoa sadaka wasafi ilikua ni dida

  • @FrolaBilla
    @FrolaBilla 3 години тому

    Brother,ndoumetuachahivyo,tutaonanatena😭😭😥😢😰

  • @MaltinKasukula
    @MaltinKasukula 2 години тому

    Polen Kwa msiba ila mjifunze kupitia msiba waa ndugu yenu kifo ni fumbo

  • @LoyceSimon-q3o
    @LoyceSimon-q3o Годину тому

    Kifo hakina huruma pumzika kwa Amani

  • @aediaygo8546
    @aediaygo8546 4 години тому

    Huyo msaidizi Tu 🙄

  • @RujaynaRashidi
    @RujaynaRashidi 3 години тому +1

    Amfufue sasa kwa mafuta ya piddy na maji yaupako

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 години тому +1

    Angemuembea Afufuke kwa ji na bwana.

  • @OmbeniMungure-s4t
    @OmbeniMungure-s4t 3 години тому

    Pollen san wapendwa

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 3 години тому

    Sadaka zetu hizo mnajuana ingekua mumini wa kawaida masinge Fanya hivyo wakati mnasema watu wote sawa

  • @AdamMapuyanga
    @AdamMapuyanga 3 години тому +2

    Kamtoa kafala

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 години тому

    Kumfufua kashindwa

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 години тому +4

    miujiza ya kumfufua vip mi naona hajafa kweli katolewa msukule na yeye labda

    • @JoyceMourice
      @JoyceMourice 3 години тому

      Muogipe Mungu kaka kila mtu atakufa iyo siku yake iliifika kila nafsi itaonja mauti acha ujinga

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 години тому

      @@JoyceMourice we mnywa mafuta ya alizeti

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 3 години тому

      Hata mimi nahisi ni kafara

    • @SanjerSaimon
      @SanjerSaimon 3 години тому

      Aliwah kukwambia ye anafufua wafu😏

    • @wakywenaky3674
      @wakywenaky3674 2 години тому

      Wewe uliweza hata kumfufua mende??

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 години тому +1

    Hele za wajinga hizoo!

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 Годину тому

    Cjui umerekodi vp mse*ge wewe

  • @SalomeFesto
    @SalomeFesto Годину тому

    Nyie mnaosema angemfufua mungu awarehem hamjui msemalo😭😭😭