Pole sana mchg Mwamposa ,sijaweza kufika kukmsindikiza mwenzetu ika kiroho nipo pamoja nanyi Mungu afanyike faraja kwenu nyote, kuishi ni Kristo na kufa ni faida. Mimi askofu Mkuu Oscar Ulotu KKAM
Mungu akutie nguvu baba nachoomba mungu atujalie na sisi mwisho mwema poleni sana nawwapenda wote utukufu ni kwa bwana kama ilivyompendeza mungu kumtwaa mtumishi wake
Pole baba yetu mtume mwamposa Mungu amekutetea tumekuwa wote three days pale mwanza nyamomgoro ulikuwa imara Sana tukaona ishara na miujiza Mungu akupatie nguvu
Kuna wakati ukisoma maandiko mwanafunzi mmoja wa yesu alimwambia yesu mwalimu niache niende nikamzike baba yangu yesu akamjibu waache wafu wawa zike wafu wenzao lakini angeweza kusema afufuke huko aliko ingewezekana lakini ni siku tu ikifika haipingiki so nisafari yetu lazima tupite
Wakati wa Bwana ni wakati sahii ukumbuke YESU alimfufua Lazaro ila Bado tena Lazaro alikufa tena ,Dorcasi pia alifufuliwa na akafa tena hivyo hainamana Watu wakiwa watumishi wa Mungu wazuia kifo moja kwa moja ila Mapenzi ya Mungu hayazuiliki
Pole sana mtumish wa Mungu mwamposa,na pole sote wana calvary na Pcc church kwa kumpoteza mchungaji wetu na Bishop wetu Jonathan shemhambo
Pole mtume mwamposa,Mungu Baba awe faraja yenu.
Pole sana mtumishi wa Bwana ! Mwenyezi Mungu akutie nguvu
Pole sana mtume Mungu akutie nguvu pole pia kwa a rise and shine pamoja na familia Mungu awe nanyi daima
Pole sana mchg Mwamposa ,sijaweza kufika kukmsindikiza mwenzetu ika kiroho nipo pamoja nanyi Mungu afanyike faraja kwenu nyote, kuishi ni Kristo na kufa ni faida. Mimi askofu Mkuu Oscar Ulotu KKAM
Pole sana mwamposa wetu ♥️ mungu ampumzishe kwa amani
Pole mtume mwamposa, ata mii limenigusa sana
Mungu ampumzishe kwa amani pastor jonathan, pia pole sana kwa mtume wetu mwamposa
Nimeumiaaaa hakika,pumzika kwa Amani Baba Yetu kipenzi Tulikupenda mnooo Mungu alikupenda zaidi,poleni sana kwa msiba huu mzito,pole kwa familia
Pole muchingaji mwamposa mungu akutie nguvu kwakipindi unacho pitia
Mungu akutie nguvu baba nachoomba mungu atujalie na sisi mwisho mwema poleni sana nawwapenda wote utukufu ni kwa bwana kama ilivyompendeza mungu kumtwaa mtumishi wake
Huyo askofu kamanda twin brother wa marehem nakiduku chake cha kipilipil💞... Nakazi iendelee🙌
Pole baba yetu mtume mwamposa Mungu amekutetea tumekuwa wote three days pale mwanza nyamomgoro ulikuwa imara Sana tukaona ishara na miujiza Mungu akupatie nguvu
Watasema mengi,ila kama ni kufa tutakufa hakuna hata mmoja atakae baki,kikubwa kuiweka IMANI YAKO KWA YESU KRISTO
Pole mtume wetu mwamposa , kuondokewa na mtu wa karibu yako
Pole sana Babangu mwamposa,Yesu akutie nguvu kipindi kigumu unachopitia
Pole Sana waumini na wa tanzania kwa ujumla 😭😭😭🙏🙏🙏
His wife is in his heart, may God give him strength in this difficult time, along with his entire family 😭😭😭🙏🤲
Pole Sana mtume wetu
Apumzike tu kwa Aman pastor Jonathan
Pumzika kwa Aman 💔🙏🫡
Mungu awatie nguvu katika hili
Poleni sana watu wa mungu yeye mbele sisi nyuma yake
Mungu akutie nguvu baba yetu
Poleni sana ndugu zangu
Mwamposa mungu akupe ujasili,
Ukweli utabaki kuishi, weka mafuta, lakini kifo kinawasubiri. Be careful believe in God.
Kafariki kwa kansa ila mtume anaombea watu wanapona hiyo kansa. Watu hawapendani Sana.
Kuna wakati ukisoma maandiko mwanafunzi mmoja wa yesu alimwambia yesu mwalimu niache niende nikamzike baba yangu yesu akamjibu waache wafu wawa zike wafu wenzao lakini angeweza kusema afufuke huko aliko ingewezekana lakini ni siku tu ikifika haipingiki so nisafari yetu lazima tupite
Wakati wa Bwana ni wakati sahii ukumbuke YESU alimfufua Lazaro ila Bado tena Lazaro alikufa tena ,Dorcasi pia alifufuliwa na akafa tena hivyo hainamana Watu wakiwa watumishi wa Mungu wazuia kifo moja kwa moja ila Mapenzi ya Mungu hayazuiliki
Mungu amuraze mahari pema
I love you dady mwamposa
Polen Sana Mtumishi mwamposa
Poleni Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Poleni sana
Mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu
Daktari Mungu tu
Huyu naye ni freemason kwa level fulani hiyo suit na Gold
Poreni sana Mungu awatie nguvu naujasiri
Pole sana mtumishi wetu mwamposa
Kafala ya Mwamposa
Mungu awatie nguvu
Uyu Baba mwamposa Amelia bas tu ni mtumishi
mzee anapenda sadaka huyu loo
😅😅😅😅😅😅😅😅
Jamaniiiiii hata mimi nilikuwa nadhani kafariki huyo aliyeongea hapo wanafanana kumbe sio. Mmefanya vyema kutuelewesha. Wanafanan kwakweli
Amen
Ameeeeeeeeeee
Ameen
Nimesoma koment zenu . Hakika kuna kitu nimegundua
Kwa nini walimpeleka mgonjwa hospitali !? Walio mahospitalini wanakimbilia kwa mitume na mitume wakipata kuugua wanakimbilia Hospitali ...
We. Nae ndo kwenda wazim aliyekwmabbia ntume Anapona cancer ni Nani
Mungu
apuzike kwa amani
Yani hata. Mimi nilikuwa niwewe mmefanana kweli
Ameagiwa kawe kumbe?
India na Uganga duh!
Jonathan aliumwa nini? Mbona hamsemi?
Kwanini Mwamposa asimfufue?
Yaani nimeumia pia mc kanifanya nicheke nilijua na Mimi ni sekalala kazi ya bwana haina makosa
Chaopa bwana😅
Hali gani hiyo ambayo Jonathan alipitia? Ni Ugonjwa gani huo?
😢
Mwamposa huwa hasahau sadaka hapo ananifurahishaga😂
Mzungu endelea kuwatia nguvu
Mwangawamilele ukuangazie,
mwaposa.kombo.familia
Kwa nyie wenye hela mhimbili pamekuwa pazuri
Kafara hiyo mwamposa kashamtoa😢.
Katoe na wewe kama rahisi ,mkifiwa nyie mmefiwa ila akifiwa mwamposa kafara si ndio acha msiba uwe msiba,mwenye uhai ni Mungu na mwenye kutoa ni Mungu
Punguza maneno, tafuta ela. Waliofariki kwenu uliwatoa wewe?
Kila nafsi itaonja mauti.Na wkt wa Mungu ukifika huwa umefika
Ndo ukweli huo kaka😂😂
Amufufuwe kama nani?kifo nikawaida hata ye mwenyewe atakufa
Hironnaroritapita
Eti mpo msibani mnacheka cheka tu,kama sio kafara,ni nini hyo???
Kwetu kuishi ni kristo,kufa ni faida.kwenu msio na kristo ndio msiba ss ni kusherehekea maisha yake aliye lala ktk bwana
Amfufue basi si anasema yeye mtume😂😂😂😂
Akili yako ndogo sana
Ukikosa Cha kufanya uwe unalala tuu
Du inawezekana anaota anayoyatamka ,na yamfuate
Acha wehu we ndg zako wamefufuka
@julianajeremiah4353 nani mwehu mimi au wafufuwaji sikumfufua tu kazi kaisha hahahahay
Mungu awatie nguvu
😢