Mama anasema anamatelejensia wakuchungunza maandamano hii haikuiyona hapa ndiyo utajua kuwa wananchii waki amua wanaweza Ila siyo kushinikizwa na chadema 😂😂😂😂
Hakika, maana huwezi kufanya Maandamano pasipo kujua tatizo lako litashughulikiwa na nani. Ila hawa akina mama wameandamana kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa hongereni sana naamini Serikali kupitia mkuu wa mkoa kero yenu itatatuliwa
Poleni sana mama zangu na dada zangu kwakweli kwa mfano maandamano ya chadema serikali wanatumia gharama kubwa na kuna watu wanateseka na maji na haohao ndio wanaimba ccm mbele kwa mbele jifunzeni na msituke mapema ccm shida ni kushibisha matumbo na kujiwekea ulinzi wa mapolisi kwa wingi yaan kweli ccm hamna huruma muwahudumie watu maji.
Poleni ndugu zangu,inaumiza sana muda mwingi unatumika kutafuta maji bila mafanikio,na hata huko oljoro bado ni changamoto.Serikali naamini ni sikivu tunaomba changamoto hii itatuliwe
Wee unaakili nyingi sana umewaza mabli kweli magoli yana maana kuliko wananchi kupata maji ? Badala yakuwatua ndoo kinamama anawatua magoli wachezaji kweli sio
Sasahivi Tanzania yetu hakuna bunge . Bunge letu sasahivi Ni la mtu mmoja spika tulia tu wengina hawana wanachofanya Wala kusema hata ukisema mh spika tulia akikataa basi angalieni wabunge walivyoamba kuzungumzia utekaji na mauwaji bungeni mh spika wa bunge c alikataa kazi ya bunge hakuna Ni hewa tupu
Hivi Kwa mfano wilaya ya Ukerewe imezungukwa na ziwa Victoria lakini maji hakuna ivi Hii ni sawa? Ukiweka maji vijijini unaondoa umaskin,watu watafuga,watalima bustani, Maji ni Uhai tuache michezo kweny Maji
Pesa za kuwapa wachezaji mpira zipo wakati wanapokea mishahara mikubwa, lkn huku wananchi wanakosa maji maji yanafuatwa asubuhi mpaka kurudi nyumbani usiku, huu ni msiba ccm pesa za kuvuruga uchaguzi wanazo lkn kuwahudumia wananchi hawana, juzi tu ccm imetumia zaidi ya bilioni 2 kulipa jeshi la polisi kupambana na chadema, lkn wamama wanateseka na maji
Umeonaee wameenda through to the point mwendo Wa haraka wakachukue Maji yaani wewe kiongozi utakaekutwa ofisini itabidi utafute sehemu ucheke Kwanzaa ndo uje ukutane nao
Here we go!! Bado wakulima nao na majembe yao kwenda 'ofisi kuu'. Sijajua kwa upande wa wanafunzi nao maana mwanafunzi wa darasa la tatu ana 'lundo' la daftari 14.Hawa sijui wataelekea ofisi ipi.
Hiii nzuri mbona !Tutayaona mengi watu washachoka wanaonesha kwa vitendo sasa!Km 14 kwa siku kufuata maji sio mchezo na ndoo kichwani watu wakikaaa jukwaani wanalipa na wasaniii wawaimbie wakati kuna watu hawana maji ndani ya mkoa mkubwa kama Arusha 😭!
Niliwahi kusikia mama anatua ndookichwani ,,,alafu Arusha nitajili Yani mererani niarusha utaliimkubwa niarusha mbugaza wanyama niarusha Yani niaibu kusikia taalifa hizi alafuunasikia viongozi wanaenda Korea china malekani ufalansa wanatumia mahela, poshoza wabunge nasikia nimahelamengitu kumbe wananchi wanakosa vitumuhim huku hao washikazamana wapo ,katiba mpya itaondoa haya
Watu huwa wanabeza maandamano yavyama fran sababu yaitakadi yavyama lakini ukwel nikwamba hali nimbaya sana nduguzangu watu wanapoamua kufikisha ujumbe kwaselikaliayao tusiwabeze
Maji hawana miaka kumi,hio breakdown ni ya lini imetokea,mbona kipind cha nyuma hakuna maji.hizo sababu za kusema "nazani leo watapata maji sio kweli", mnalinda kazi zenu tu,hakuna lolote
Usimsingizie Mungu msaada wetu upo mikononi mwetu kuungana na kuamua sasa basi inatosha. Na tukiwa wote na msimamo mmoja raia ana nguvu na maamuzi kuliko viongozi. Sisi tumewaajiri wao tukiamua kwa mamia hakuna atakae nyanyua silaha juu yetu
Kila siku tunaona Rais Dr. Samia akiwa Arusha, akija mnarukaruka kimasai mnasahau swala maji! Juzi tumeona zaidi ya ng'ombe 200 wanachinjwa, Land Rover Festival, maji? Mkuu wa Mkoa wa zamani John Mongela mlikaa kimya
Kiongozi anasema, tatizo ni kwamba wananchi hawalipi gharama za maji! Lakini baada ya kuandamana, anasema Leo watapata maji! Hapo kuna ubabaishaji tu...
Maandamano ya amani hayapingwi. Wamasai ni watu wenye ufahamu mzuri. Niliona ngorongoro, niliona tena kule alikoenda hosea mwaipopo na naona hapa tena. Watanzania tujifunze kwa wamasai.
Mimi naona kuna mabadiliko ya vipaumbele yafanyike, haiwezekani Tanzania iwe na Uhuru wa miaka 60 alafu ukitoka tu tami mita mia kwa baadhi ya mikoa hakuna maji, hii inashangaza sana. Nadhani kiandaliwe kipindi ambacho kitatembelea kata zote Tanzania kuangalia miundombinu ya vijiji na matatizo kuliko kuwa mpaka wachache waumie sana ndio waseme. Nyie waandishi inabidi mchukue ilo jukumu la kufichua izo weakness. Na namsikia mtu uko anasema pesa za kuendesha miundombinu hakuna, ni sawa hakuna hatukatai lakini je mmeshawai ku reason kwanini watu wasipate maji kwakuwa pesa hazitoshi?
Hela za maji zipo na hela ya magoli ipo kumbukeni kila kitu kina idara maalum Tatizo bunge la sasahivi hawana wanachofanya zaidi ya kula hela za wananchi na kujaza matumbo yao hakuna kitu ukweli ndo huo wakishachaguliwa basi kazi yako ni kula tu bila kuangalia wananchi wanateseka na nini. Niwaambie ukweli wamasai wengi wanaipenda c cm sana ila jamani msimu huu uongonzi ni hovyo sana wananchi wamebaki yatima
Hawa ndio wanajua maandamano tz nzima❤❤❤❤❤❤
Mama anasema anamatelejensia wakuchungunza maandamano hii haikuiyona hapa ndiyo utajua kuwa wananchii waki amua wanaweza Ila siyo kushinikizwa na chadema 😂😂😂😂
@@deogratiusyudatadei5658 kabsa yni akuna kumuogopa adi aombe pooio😃🤩🤩🤩
Hakika, maana huwezi kufanya Maandamano pasipo kujua tatizo lako litashughulikiwa na nani. Ila hawa akina mama wameandamana kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa hongereni sana naamini Serikali kupitia mkuu wa mkoa kero yenu itatatuliwa
Nikweli
Bila hta taarifa na bila hta escort ya polisi 😂😂
ULIPO SEMA MAMA SAMIA NDO UMEKOSEA KABISA YEYE ANA PESA ZA MAGOLI YA SIMBA NA YANGA
Hii ndio Chuga mzee akina Mama pia hawana utani🙌🔥🔥
Poleni sana mama zangu na dada zangu kwakweli kwa mfano maandamano ya chadema serikali wanatumia gharama kubwa na kuna watu wanateseka na maji na haohao ndio wanaimba ccm mbele kwa mbele jifunzeni na msituke mapema ccm shida ni kushibisha matumbo na kujiwekea ulinzi wa mapolisi kwa wingi yaan kweli ccm hamna huruma muwahudumie watu maji.
Mimi naiyona Tanzania ikivurugika tunaumia sana tunavowaona mama zetu wakiteseka hivi wakati viongozi wanayatetea matumbo Yao
Poleni ndugu zangu,inaumiza sana muda mwingi unatumika kutafuta maji bila mafanikio,na hata huko oljoro bado ni changamoto.Serikali naamini ni sikivu tunaomba changamoto hii itatuliwe
Yaani goli moja million tano! Leo hakuna maji, mbunge yupo! CCM OYEEEEEEEE
Ni ajabu sana
Wee unaakili nyingi sana umewaza mabli kweli magoli yana maana kuliko wananchi kupata maji ? Badala yakuwatua ndoo kinamama anawatua magoli wachezaji kweli sio
Huwa wanaomba kulaaaaa
Sasahivi Tanzania yetu hakuna bunge . Bunge letu sasahivi Ni la mtu mmoja spika tulia tu wengina hawana wanachofanya Wala kusema hata ukisema mh spika tulia akikataa basi angalieni wabunge walivyoamba kuzungumzia utekaji na mauwaji bungeni mh spika wa bunge c alikataa kazi ya bunge hakuna Ni hewa tupu
Iyo pesa ya kulipia goli moja wangetumia kuwahudumia wanainchi kupata maji ambayo ndiyo uhai wa binadamu wote 😢😢?
😂😂😂 hao ndiyo wamama wa chuga 😂😂 lazima maandamano yao yafike
Chadema waige huu mfumo, fanyen maanadamano bila kutoa taarifa washangae tu barabara zimefurika..😢 maana hii nchi sasa imekuwa shamba la bibi Abduli
Kwani wanachotaka kuandamana hao chadema si kishajulikana ujumbe umeshawa fikia wahusika hizo unazotaka ww ujingatu kutakakuchafua nchi tu. Ushindwe ww.mjinga
😂😂😂😂
Ukiandamana bila taarifa ni kosa
Ya hii Safi kuonyesha madudu ya viongozi
Acha mihemuko ya kusiasa we kingiridishi😂😂😂@@HanifaOman-oo4pl
Hongera sana Watu wa Arusha.
Tatizo la maji ni tatizo sugu Tanzania
Hivi walikuwa na kibali 😮
Bibi Samia unafeli Hela ulizozitoa za magoli ya mpira ungewachimbia japo kisima SI ungefanya la mana%
Harafu rais Yuko bze na kununua magori yaan basi ila kwa kuwa aliingia kwenye urais bahati mbaya
Hawa watu walikuwa wanachukuliwaga poa sana..
Waliowachukulia poa hawawajui
Tanganyika kitaeleweka
Hivi Kwa mfano wilaya ya Ukerewe imezungukwa na ziwa Victoria lakini maji hakuna ivi Hii ni sawa? Ukiweka maji vijijini unaondoa umaskin,watu watafuga,watalima bustani, Maji ni Uhai tuache michezo kweny Maji
Ivi goli la mama ni xhingap wadau?
Laki tano
Nyinyi munadai sanaa na michezo
Mdomo kam mkundu wa lema
Baba wanaokutukana hawajitambui, n wanufaika wa upumbavu wa Samia wale wasikudisspoint..😢 ukwel uwa n mchungu
😂😂😂😂😂
Misafara ya viongozi inakua na magari ya million 500 kama hamsini hivi ila wananchi hawapati maji hata ya kunywa😢
Magari na maji yanaingilianeje hapo? Ulitaka msafara wa Rais uwe na gari ya milioni 10? Acha utoto
@@EliasPaul-qs2ib utoto Gani ambao wewe unaejiona umekua unaouzingumzia???
Kwani lazima 500? Ibrahim Traore anatumia ya sh ngp? Yy siyo rais?@@EliasPaul-qs2ib
Poleni Sana
Maandamano ya wananchi ni mazuri zaidi kuliko ya kichama .
Aisee poleni sana
Yaani nikiona hii clip machozi yananitoka,wananchi tusifanye makosa muda ukiwadia,maji imekuwa mwiba mpaka hapa nilipo
Hata mimi hadi machozi 😢😢
dar poleni sana
Wamasai nimewapenda❤
Poleni sana Wana mama
Pesa za kuwapa wachezaji mpira zipo wakati wanapokea mishahara mikubwa, lkn huku wananchi wanakosa maji maji yanafuatwa asubuhi mpaka kurudi nyumbani usiku, huu ni msiba ccm pesa za kuvuruga uchaguzi wanazo lkn kuwahudumia wananchi hawana, juzi tu ccm imetumia zaidi ya bilioni 2 kulipa jeshi la polisi kupambana na chadema, lkn wamama wanateseka na maji
MBONA WANASEMA SERIKALI ISHATUA MAMA NDOA KICHWANI😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 Hii nimeelewa wangeenda hata nyumbani kwake
Umeonaee wameenda through to the point mwendo Wa haraka wakachukue Maji yaani wewe kiongozi utakaekutwa ofisini itabidi utafute sehemu ucheke Kwanzaa ndo uje ukutane nao
Here we go!! Bado wakulima nao na majembe yao kwenda 'ofisi kuu'. Sijajua kwa upande wa wanafunzi nao maana mwanafunzi wa darasa la tatu ana 'lundo' la daftari 14.Hawa sijui wataelekea ofisi ipi.
Pole akina mama nahiyo shida ya maji serkali iangarie
Wakati hali ya nchi iko hivi tz,,kuna viongozi wanakula Bata mpak kuku wanaona aibu,,chai Nairobi,, lunch south Africa
Tuliambiwa tuchague kijani wapinzani wanatuchelewesha vip Tena
Nasikitika sana nchi yangu Tz hinamatatizo mengi sana 🙏
Hii ndo tz mpya poleni sana mamazetu
Hiii nzuri mbona !Tutayaona mengi watu washachoka wanaonesha kwa vitendo sasa!Km 14 kwa siku kufuata maji sio mchezo na ndoo kichwani watu wakikaaa jukwaani wanalipa na wasaniii wawaimbie wakati kuna watu hawana maji ndani ya mkoa mkubwa kama Arusha 😭!
Umoja ukitumika tutafika tu
Kasomeni kitabu cha Mfalme Juha by Farouk M . Topan
Kwa kweli hawa waonwe Jamani, kwanza wameenda tu kwa wema, shida ya maji kukosekana inakera sana.
Niliwahi kusikia mama anatua ndookichwani ,,,alafu Arusha nitajili Yani mererani niarusha utaliimkubwa niarusha mbugaza wanyama niarusha Yani niaibu kusikia taalifa hizi alafuunasikia viongozi wanaenda Korea china malekani ufalansa wanatumia mahela, poshoza wabunge nasikia nimahelamengitu kumbe wananchi wanakosa vitumuhim huku hao washikazamana wapo ,katiba mpya itaondoa haya
Big up kina mama mmekuwa wabunifu😅😅😅
Watu huwa wanabeza maandamano yavyama fran sababu yaitakadi yavyama lakini ukwel nikwamba hali nimbaya sana nduguzangu watu wanapoamua kufikisha ujumbe kwaselikaliayao tusiwabeze
Safi sana haya ndio maandamano
Jmn miaka kumi. Et leo wata pat maji😢😢😢
Acha mwanetu nawewe umemsikia huyujamaa alivyojibu kilahisi😢😢😢
Tanzania🇹🇿 nchi Yangu 😢😢viongozi tusimamie haki na maslah ya wananchi wetu na hii ndio maana ya uzalendo
Najutaaa kuzaliwa Tanzania ndoo ya maji elfu moja goli Moja million Tano
😂❤❤❤kimeumana good 🔥🔥🔥🔥
So sad😢
Muda nimwalimu mzuri sana jambo lolote zuri limefichwa kwenye muda mudaa utaamua
Maji hawana miaka kumi,hio breakdown ni ya lini imetokea,mbona kipind cha nyuma hakuna maji.hizo sababu za kusema "nazani leo watapata maji sio kweli", mnalinda kazi zenu tu,hakuna lolote
Wanafiki tu
Wamaasai wameamka safi sana
Samia must go
Mambo ya ajabu sana mpaka muwaone wakiingia maofsini kwa maandamano wakitaka huduma? Ni haibu kubwa sana.
Kila mahali ni maandamano shikamoo tanzania
Hii nchi wamasai wana muamko kuliko wa Tz
kwani wamasai sio watz
@@OmmyConscioushapo sasa Bora umemuuliza
Jaman huko si kwa makonda
Alafu mama enu ananunua magoli kwa mamilion kweli nchi ngumu sana watu wanateseka
Mimi nimesoma moita bwawani sec school 2004 hali ya maji sio tatizo leo haza upande wa maji wabomba ni changamoto kubwa sana
Yaani hapo Maji lazima ,mnatangaza maandamano kila mtu aondoke na shida yake apeleke sehemu husika tuijenge Tanzania yetu
Ccm kazi mnayo
Mungu ndio msaada wetu na kimbilio letu.
Usimsingizie Mungu msaada wetu upo mikononi mwetu kuungana na kuamua sasa basi inatosha. Na tukiwa wote na msimamo mmoja raia ana nguvu na maamuzi kuliko viongozi. Sisi tumewaajiri wao tukiamua kwa mamia hakuna atakae nyanyua silaha juu yetu
Hii nimeipenda sanaaa 😅😅😅😅😅safi sanaaa
Haya Tanzania yetu hiyo poleni wamama usimwamini mwanasiasa
Duuh wapo vinzur hOo wakiamuua paa
Hivi Goli la Mama ni shingapi wadau?
Kila siku tunaona Rais Dr. Samia akiwa Arusha, akija mnarukaruka kimasai mnasahau swala maji! Juzi tumeona zaidi ya ng'ombe 200 wanachinjwa, Land Rover Festival, maji? Mkuu wa Mkoa wa zamani John Mongela mlikaa kimya
❤️❤️❤️❤️❤️
Mama anaupiga mwingi
Daaaaah! miaka 60 + maji tu ni shida aise
Ad watu waandamane ndio viongozi wakumbuke wajibu wao?
Shirika hili la maji ni shirika linalowanyanyasa sana watanzania ni ovyoo sana
🤣🤣🤣🤣leo hajatuma police aibu naona mimi
Hii nayo Kali
Majuzi yanga nasimba wamevuna mapesa. Huku watu wanateseka. Niujinga. Ambao hata muvutaji wa bangi hawezi fanya ivo.
Najisikia vibaya ,wanawafanya wamasai Kama sio watu
Wananchi Hawa wasikilizwe maana maji ni lazima na si anasa CCM hili lipo ndani ya uwezo wa Chama tu Wala si bajeti ya serikali
Nawapongeza sana sana
Mbona hawa wanaandamana hawazuiwi na police?
Mmmh si naskia serikari ishaamtua mama wa kitanzania ndoo mda mrefu tuu
Kiongozi anasema, tatizo ni kwamba wananchi hawalipi gharama za maji! Lakini baada ya kuandamana, anasema Leo watapata maji! Hapo kuna ubabaishaji tu...
Maandamano ya amani hayapingwi. Wamasai ni watu wenye ufahamu mzuri. Niliona ngorongoro, niliona tena kule alikoenda hosea mwaipopo na naona hapa tena. Watanzania tujifunze kwa wamasai.
Alipoend hosea panaitwa simanjiro
@@RajabNgome-b3z
Ok shukrani kwa kukamiliasha sentensi yangu.
Mlikubali kudanganywa hata huku hakuna maji lakini kuna unafuu ndoo sh miatano
Mitano tena, bado hamjasema mpaka mseme
Sasa huyo mkuu wa mkoa ninyi mmemchagua?
Miaka 61 ya uhuru sehemu zingine hazina maji Safi Na salama CCM imewafelisha
Hawa ndio wa mama wanaojua kuandamana bila makelele wa vitisho chadema wakajifunze hapo
Poleeni
Bi Chura 🐸 kiziwi anajua tu kununua magoli ya Simba na Yanga. Ama kwel kichwa kisichokua na akili n mzigo kwa shingo
Pamesha Anza kuchangamkaa mama Samia anaupiga mwingi jamani !!mama anatekeleza !!uwii nani kama mama ,mama anatimiza na tunamaliza nae Hadi 2035
Kichaa mkubwa kwelii.huna akili,shetani kabisa
Maandamano ya maji yanaruhusiwa?
😂😂😂😂 wamewaotea
Chihangu tumewekewa tu mabomba na hakuna maji kwa kweli😢😢😢
Gori Moja la Simba linanunuliwa shingap
Dodoma ni pia ni shida ya maji sijui Kwa nini, lkn wale wenye magari ya maji wanauziwa Kila siku sasa cjui nimiradi ya wakubwa
Pesa mnazowapea akina Mwijaku pelekeni kwenye visima bwanaa
Wavunjifu wa amani hawa polisi wako wapi??
Mimi naona kuna mabadiliko ya vipaumbele yafanyike, haiwezekani Tanzania iwe na Uhuru wa miaka 60 alafu ukitoka tu tami mita mia kwa baadhi ya mikoa hakuna maji, hii inashangaza sana. Nadhani kiandaliwe kipindi ambacho kitatembelea kata zote Tanzania kuangalia miundombinu ya vijiji na matatizo kuliko kuwa mpaka wachache waumie sana ndio waseme. Nyie waandishi inabidi mchukue ilo jukumu la kufichua izo weakness. Na namsikia mtu uko anasema pesa za kuendesha miundombinu hakuna, ni sawa hakuna hatukatai lakini je mmeshawai ku reason kwanini watu wasipate maji kwakuwa pesa hazitoshi?
Hapo anayehusika ni mbunge pamoja na waziri Aweso
Msiombe msaada wakati mnalipa kodi ni haki yenu kuletewa huduma za jamii
Daaah muda mwingin nataman kuchek ila ni uzuni sna
Hela za maji zipo na hela ya magoli ipo kumbukeni kila kitu kina idara maalum Tatizo bunge la sasahivi hawana wanachofanya zaidi ya kula hela za wananchi na kujaza matumbo yao hakuna kitu ukweli ndo huo wakishachaguliwa basi kazi yako ni kula tu bila kuangalia wananchi wanateseka na nini. Niwaambie ukweli wamasai wengi wanaipenda c cm sana ila jamani msimu huu uongonzi ni hovyo sana wananchi wamebaki yatima
Angekuwa Mbowe wangesema siasa anavuruga nchi haya Leo MAMA anasemaje?
CCM hao miaka 10 hii kali
Ilawamasai shikamooni😂😂😂😂