Mungu tu peke oko nasaidiya mumangumu wimbo uhu ulinisahidiya sanamukipande yavita nilikuwanayo iko wimbo wa ekima sana bilakunyamaza kimya kimia kukombana na nguvu yetu nihuwongo na ni atahari kwa kuwa mushidadji Mungu wangu a kubarikisana Mungu wa heliya,Ndanyeli mushimoya simba, chadrack,Mechac,habundenego Mungu wa Habram🙏
merci pour cette chanson consolentrice 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 actuellement je suis dans le même problème que je suis entrain de suivre dans cette chanson et je suis vraiment soulagée merci beaucoup que Dieu vous donne plus d'inspirations
Alléluia ame 🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana kesho mshana mtapa video ya wimbo huu Mungu awabariki
Asante kwa nyimbo inanitiya ngufu
Kweli kabisa,yeye mwenyewe atusaidie,ubarikiwe dada kwa hii wimbo😊
Asati kabisa Mami kwa wimbo huu ,kila wakati n'a isiliza ukonatia nguvu dani ya roho ya wangu, mungu, abariki tena zawadi iliyeka dani yenu❤️💖💝🙏🏼🇨🇩
Amen God fight for me for you know how to fight at the right times with my enemies 🙏🙏
Je beaucoup chercher ça en fin j trouver ça trop console ma soeur merci beaucoup, Dieu es en toi
Très belle chanson mon Dieu te bénisse
Asanté sana dada ngu kwanyimbo tamu Amina mungu yéyé atakusadia
You right you can't fight your is only God who can fight for you
Dada yangu nasema Mungu wa mbingu akusaidiye saana utoshe mimbo yakutufariji Sana mu Imani.!!!
Vraiment mungu ni mwema sa na
Amen la chanson ma fortifie
Amina dada Mungu pekeyake atusaidiye
Nice my sister👏
I dedicate it to all are hurting. The battle belongs to God. Jesus said, come to all are weary and burdened, and I will give you rest
Mungu akubariki sisi wangu.Iyi muibo iko muzuri saana.
Wimbo mzuli.mama askofu sehaba.naomba kujua albam yako ya mwisho video imetoka au aijatoka
Nikweli vita ni ya mungu na mwatshiya tu🙏🙏🙏🙏
Thanks sz for this song blesses me so much 🙌🙌🙌🙌
TikTok clip imenileta🙏
Glory to Jesus !!!Fantastic song , so beautiful Melodiy, a true Blessing !!! Keep up the Good work Beloved Sister!! Blessings!!!
Mungu tu peke oko nasaidiya mumangumu wimbo uhu ulinisahidiya sanamukipande yavita nilikuwanayo iko wimbo wa ekima sana bilakunyamaza kimya kimia kukombana na nguvu yetu nihuwongo na ni atahari kwa kuwa mushidadji Mungu wangu a kubarikisana Mungu wa heliya,Ndanyeli mushimoya simba, chadrack,Mechac,habundenego Mungu wa Habram🙏
Hubarikiwe Kwa kazi nzuri
Mungu asifiwe...ni me barikiwa
Iyo kweli dada mungu akubariki sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Merci bcp ma soeur. Cette chanson est d' un grand réconfort. Que mon Dieu vous bénisse.
Hongera winbo mzuri ❤❤❤
Une belle chanson ma soeur que Dieu t'ajoute encore l'onction mungu akubariki kabisa tokea RDC Congo
Dada umepewa maono ya huu wimbo Mungu kapenda upitie kwako kifika kwetu barikiwa saaaaan
Hii nyimbo tamu yanifariji sana good work dear
Que Dieu vous bénisse dada pour cette belle chanson, depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Barikiwa sana,inafariji mpendwa
Wimbo mzuli mama mungu akubariki popote upo❤
Am Hellen, from,. Kenya be blessed lets God be our shield Amen.
Nyimbo nzuri sana dada yangu hongera kwa kazi nzuri na pia kwa kueneza injiri
uu wimbo uwa unanibariki san sijui nyie wadau
Amen nime farijika sana kupitiya huu wimbo.
Asifiwe mungu❤🇨🇩🙏🙏🙏✌️🥁
Mungu akubariki kwa kazi.
Whaouh, bénédictions sur bénédictions. Juste avoir les paroles complètes. Amen 🙏
Mungu atakupiganiya,dada wewe keti kimya tu. Nyimbo iyi ni ushuhuda wa kila mwanadamu chini ya juwa,ubarikiwe na Mungu akuongezeye tena...
Amen 🙏
Nyimbo nzuri kabisa.
Tunashukuru kwa kazi. Mungu awazidishiye.
Mungu akuimarishe zaid
Mungu akaufanikishe saaan
merci pour cette chanson consolentrice 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 actuellement je suis dans le même problème que je suis entrain de suivre dans cette chanson et je suis vraiment soulagée merci beaucoup que Dieu vous donne plus d'inspirations
Mungu akubarikie saaaana !!!
My every morning song have seen God fighting for me
Courage dada cool c bien
Vraiment une bonne leçon pour un chrétien pour ne pas tomber dans le piège de nos adversaires je t'aime fort pour m'edifiee
Ame
Amina mungu pekeyake atusaidie amen
The battle belongs to the Almighty God 😭😭😭😭
God is everything for sure, nothing impossible when you have him.
Ameni.mungu.ndiye.anayenipigania.haleluya
Mungu azidi kuinuwa huduma yako ya uwimbaji barikiwa sana dada tumaini njole
Une belle chanson vraiment tout est possible chez Dieu 🙏🙏
Amen, que Dieu t'accompagne dans ce métier noble et que tu prospère à tous égars.
Wimbo mzuri sana dada
Une chanson très édifiante 🇦🇴🇦🇴🇦🇴❤❤❤
Bwana akubariki
This song is so powerful, I love listening to it, the message is deep.. God is everything
J'aime beaucoup la chanson
Amen Balikiwa sana dada 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Nikweri Mungu nimweza yote
Un chant qui me fortifie, un chef d'oeuvre Asanti sana Dada Tumaini mungu akubariki sana. Tokeya DR Congo juin 2022
Ameen hongera Sana Dada Tumaini Mungu akuinue zaidi huduma yako
Que cet chanson me fait révoqué l'éternel
Que Dieu vous bénisse 🙏
Wimbo nzuri kweli.
Amen Amen acha Mungu akupikaniye mwnyewe 👏👏👏👏🙌🙌🙌
Dieu est au dessus des toutes choses merci beaucoup
tumebarikiwa vya kutosha na wimbo huu mzuri. Vyovyote iwavyo, pewa nuru jinsi Mungu alivyokuchagua wewe!
Amen hii nyimbo inabariki Sana
Umenibaliki dada yangu
Muzuri sana nyimba
Amazing and fantastic song. congratulation to the singer
Que DIEU tout puissant te bénisse
Asante sana kwa wimbonzuri sana Mungu atanisaindia.
Dada Mungu akubariki kwa Wimborne wenye kuinua jaman
Gloire au seigneur Jésus Christ notre maître
Amen amen.
Wimboo mzur sanaaaaa❤❤❤❤
Good message I like the song, thanks
Nikwli.umuite.yesu.akupinganie
Lazima yimbo zuri
Be blessed. For sure I can’t get tired to listen to this beautiful melody
Napenda sana iyi wimbo,yani yanifariji sana 🙏💪
Kweli wachamungu anipiga nie😭😭😭
Great work
Amen barikiwa sana mama wimbo umefanyika baraka Sana kwangu
Amen amen🙏🙏🙏
Am really down😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu naomba unipiganie🙏
Nabarikiwa na huu wimbo sana
Je comprends pas les mots mais je sais que ça dit beaucoup du Seigneur Jésus Christ 🙏🙏
Sisi mu Congo mani tu n'a m
Que Dieu te bénisse richement maman.
Mh Mungu akubariki sana
Never leave to listen 👂 👂 this song, it's very very listenable...... comfortable song....🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana