Kweli mtumishi tusipigane kimwili bali tumwite Mungu atupiganie. " Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Waefeso 6:10-12
Kwa kweli mama mungu akubariki kupitiya wimbo uyu Nanina imana kupitiya wimbo uyu mungu ata nisaidiya
Nyimbo nzur barikiwa mtu wa mungu kazi nzuri
Mungu akone maman avec cette chamson
Barikiwa sana mama yetu. Kazi yako ni njema
Hongera sana mama askofu Mungu akuinue zaidi
mungu akubariki Na nyimbo hii
That is an important message very very good song god bless you m'y sister
Kweli mtumishi tusipigane kimwili bali tumwite Mungu atupiganie.
" Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Waefeso 6:10-12
Real life experience. God fight our battles.
Mungu akibariki sana❤️❤️♥️
Barikiwa dada la Dina Dia yesu.
Maman que mon Dieu vous bénisse, nous attendons une autre ❤❤❤❤
Nakupenda mtumishi dadaangu mzuri. Niombee nami niinuliwe.
1
Ubarikiwe nzuri sana
🇹🇬i really liked the song, even though i didn't understand anything in it. can someone explain it to me please 🙏🏾🇹🇬🇹🇬🇹🇬🇹🇬🙏🏾
Wimbo mzuri Sana 💕💕
Hongera sana Mama Askofu SEHABA! Wimbo mzuri sana, wenye ujumbe unaoendana na nyakati tulizo nazo! Barikiwa sana Mama ❤
@@FloranceMachicho AMEN MPENDWA WANGU UBARIKIWE SANA
Nkwer mnguata msaidia
Wimbo una utukufu sana
Ubarikiwe sana 🙏
Hongera sana Mama Askofu. Wimbo mzuri Mungu akubariki sana
Ni kweli msaada wa mwanadamu una mwisho. Barikiwa
Mama askofu hongeraaa Kaz nzuriii
Wimbo mzuri sana! Be blessed woman of God.
Ubalikiwe sana
Bravo🎉🎉🎉
Wimbo mzuri kabisa... NIMEPOKEA 🙏😰
😇😇😇😇😇😇😇
Aksanti maman kwa wimbo mzuri mungu akubariki kabisa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sisters
Ubalikiwe kwa wimbo mzuri sana 🙏🏼🙏🏼
Haleluyaaa
Kimya NIMENYAMAZA
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Gloire à Jésus-Christ.
Haleluya
Aaaa.safi.my.frend.wamimi👍🥀ujumbe.freshi⭐🙏
Haleluya.ilove.you.👍T.njole.wellcome.tutiane.moyo.mwaaaa
Kweli.adui.hatoki.mbali.ilayesu.nimshindi.atatushindia.mfrend.yeye.nimwaminifu
Ameereeeeeeernnnnn👌👌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤❤