EXCLUSIVE: HAKIKA RUBENI KAFUNGUKA, ANAMILIKI SHULE NA NYUMBA SITA "NISHAENDA KWA WAGANGA SANA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 658

  • @michaelmaige6879
    @michaelmaige6879 4 роки тому +47

    Jamaa yupo open sana juu ya maisha yake. God bless you bro. Watu kama hawa wanahitaji upendo na faraja ya watu. Kwasababu wamepitia maumivu mengi sana katika hii dunia.

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @mwanaidimunga9099
    @mwanaidimunga9099 3 роки тому +5

    Ni first time leo namuona huyu mtu yuko serious congratulations bro

  • @hedsonyothambaynit8310
    @hedsonyothambaynit8310 4 роки тому +17

    Nimeipenda statement yako kuwa juu ni Mungu wala siyo management

  • @angelholsey2484
    @angelholsey2484 4 роки тому +7

    Yani nimeamini kwel usimdharau mtu usiye mjuwa 🙌🙌

  • @razackmwakibolwa8395
    @razackmwakibolwa8395 4 роки тому +28

    personally nimejifunza kumwachia MUNGU kìla kitu...kusud la MUNGU litatimia no matter what🙏

  • @neemagerald3170
    @neemagerald3170 3 роки тому +2

    Wether people like or not nitaimba tuu...I do like it... blessed beyond the target

  • @eletricalservices986
    @eletricalservices986 4 роки тому +238

    Kama unamkubali gonga like

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому +1

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @mariamdaud7489
      @mariamdaud7489 4 роки тому +2

      Dah! Kaka Ruben Mungu azidi kukubariki

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 роки тому +5

    Nimekubali sana kwa habari ya Mungu,simama na Mungu hivohivooooooooooooo

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 4 роки тому +74

    Nampenda sana mm una mashabiki wengi🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ata video zake zijaa kwa cmu status ndo usiulize kanishinda tabia huyu kumbe nimtu na shuhuli zake

  • @nasmatenga483
    @nasmatenga483 4 роки тому +9

    😁😁😁🤝 Msema kweli kipenz cha mungu nimeku penda Bure.... Ilonifurahisha zaidi kulogana ili upendo ubaki kwake nilichojifunza ni kwamba penzi LA miti shamba haidumu

  • @jacksonwambura1982
    @jacksonwambura1982 4 роки тому +31

    Mstaarabu, una busara na hekima! Mungu akuongoze

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @chrismbukwa8092
    @chrismbukwa8092 4 роки тому +18

    Nani anamkubali the way anavyopangilia manenio

  • @nickomlimbila217
    @nickomlimbila217 4 роки тому +11

    Kama na wewe una muelewa kama ninavyo muelewa mimi basi gonga like twende sawa

  • @olivermkanga3023
    @olivermkanga3023 4 роки тому +16

    😂😂😂😂Nmekubal sana Huyu Mkuu anakwmbia hakuna kitu anakiogopa kama Mungu akikukataa Nmeipenda sana

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 4 роки тому +6

    Hakika nakupenda kwa vichekesho vyako,uko vizuri na pia nimekufurahia kwa vipaji vyako,na uko na Akili nzuri ,na pia usikose au kumsahau mungu kwa dini yako

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 4 роки тому +3

    Jamni naenjoy sana interview yako kwakweli Mungu Akubariki sana

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 3 місяці тому

    Jamna we kaka noma😊

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 4 роки тому +32

    Huyu jamaa ni tajiri kinoumer

  • @ednasway8368
    @ednasway8368 4 роки тому +1

    Single njoooo

  • @shanelkomba1887
    @shanelkomba1887 10 місяців тому +1

    Safi sana..."nataka kumuona mtoto"😃😃😃

  • @devidydevidy2301
    @devidydevidy2301 4 роки тому +5

    Njooo unioe mimi nakupenda millard mfikishieni ujumbe hakika😎

  • @maryamfaraji2364
    @maryamfaraji2364 4 роки тому +12

    Wallah nimeipenda huuu interview 😍😍😍😍nimecheka saanaa kwa furahaa😍😍😍😍😍😭🤣🤣🤣😭😭😭🤣🤣♥️♥️♥️♥️

  • @onefingermusc3011
    @onefingermusc3011 3 роки тому

    Hongela sana kska

  • @ninakambua5522
    @ninakambua5522 4 роки тому +12

    Yani this guy makes my days kwenye IG, love from Kenya

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 Рік тому +1

    Kukaaa Kenya au Uganda mbona nimekaaa sanaaaaa lakini kiswahili changu kipo cha kawaida cha watanzania au unajifanyisha rafudhi uwe kama wakenya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 4 роки тому +1

    Aiseeee jaman unanichekesha Rubeni

  • @youtub8320
    @youtub8320 4 роки тому +14

    Jamaa anajifanya kama shoga ila sio shoga ni bonge moja la genius

  • @irenesimya4929
    @irenesimya4929 4 роки тому +8

    Interview ya Kwanza hakika anajibu seriously 😂😂😂

  • @shanikhalidi8415
    @shanikhalidi8415 3 роки тому +1

    Yaani huwa nikikuangaliaga tu nacheka unanifurahisha Sana👌

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +4

    Talented

  • @elimlimsarah5569
    @elimlimsarah5569 3 роки тому

    You really speak sense

  • @mcmisagomcmisago4413
    @mcmisagomcmisago4413 4 роки тому +18

    Jamani msimtolee macho anamzazi mwenzake uyooo

  • @amaniyasini6690
    @amaniyasini6690 4 роки тому +11

    😂😂😂😂 sema nn uyu Jamaa ana sense of humor kubwa Sana 😂😂😂😂

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @kicmarthawa6659
    @kicmarthawa6659 2 роки тому +1

    Mungu ananjia nyingi kabisa

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 роки тому +1

    Jaman....nakuomba ajira ya kufundisha Niko na uzoefu wa kufundisha zaid ya miaka 5.🙏

  • @mariammsangilwa4754
    @mariammsangilwa4754 4 роки тому +4

    Uwiiii mbavu zangu hakika ruben

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 3 місяці тому

    Safi San hakika

  • @carolinejohn3660
    @carolinejohn3660 3 роки тому

    Umetisha

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 роки тому +11

    Tujipendanie yetu , maana hata mm sipendi fujo, 🥺😄😀

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 роки тому +9

    God is good all the time

  • @East_baby-i1z
    @East_baby-i1z 3 місяці тому +1

    Yani Hakika Reuben hakuangi mkenya😂😂😂😂...im disappointed

  • @honestyerasto
    @honestyerasto 4 роки тому +27

    swala la management ni kweli kabisa unaweza ukawa na management kubwa na isikusaidie hilo tunaliona kwa Lava Lava.

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 4 роки тому

      Ahahahhahaha lava lava na queen bure kabisaaaaa wameraraaaa

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @Agatee01
      @Agatee01 4 роки тому

      Jamaa🤣🤣🤣had umtaje, duh, yan ulkua unamtafutia nafas iv, paaah🤣🤣🤣

    • @Agatee01
      @Agatee01 4 роки тому +1

      Jamaa🤣🤣🤣had umtaje, duh, yan ulkua unamtafutia nafas iv, paaah🤣🤣🤣

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 роки тому +26

    I love you ruben uliniahidi kunioa jamanii hlf siku hzi unanichunia hivi umepeta demu mwingine si ndioooo!!!!

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 4 роки тому +1

      Zuley Vendor ok achana nae m ntakuoa

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 4 роки тому +5

      Mloge tu hakuna namna 🙆🙆

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 4 роки тому +2

      erick laura nataka majina matatu tuh nwe nae saiv hapa

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 4 роки тому +1

      @@kingnicky2568 😂😂 omg umedhamiria sana 🙆🙆🙆 duu

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 4 роки тому +1

      ni mtaalamu huyu angalia zongo lako lisije kwama asee 🙆🗣🗣

  • @kitingikitingi8974
    @kitingikitingi8974 4 роки тому +3

    Hakika kweli Mungu anatenda!

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 роки тому

    Nampenda sana😃🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @elinahjoseph3085
    @elinahjoseph3085 4 роки тому +5

    Sijawai ona mwanaume mkwel ivi uwiiiiiii mungu akupe mwanamke aliye sahihi jmn

  • @fabianmbilinyi2705
    @fabianmbilinyi2705 4 роки тому +1

    Ty 😃😃😃

  • @happyshayo8291
    @happyshayo8291 4 роки тому +14

    Huyu Kaka hapo anaongea siriac Ila mm nacheka jaman😂😂😂😂

  • @jameskitingati6766
    @jameskitingati6766 4 роки тому +1

    The guy is fun sana

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 4 роки тому +8

    Uwiiiiii Melancholy Tunashida

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @biletwaalex3420
    @biletwaalex3420 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema sana

  • @eddymangwe8025
    @eddymangwe8025 4 роки тому +6

    Hahaha nimependa Sana wacha wakuone vile wanakuona ila Mungu akuone kwa mtazamo mzur inatosha

  • @tanashadona7671
    @tanashadona7671 4 роки тому +1

    Namwelewa Sana Kama huuj

  • @asianamnyope2220
    @asianamnyope2220 4 роки тому +8

    Nakupenda wew Kak napenda vichekesho vyako

  • @mjelwajackson2346
    @mjelwajackson2346 4 роки тому +11

    Nasoma coments nimegundua wanawake wanapenda sana mtu ambae yuko kwenye nafas

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Yeah ndivyo walivyo hivyo

  • @katemajr9374
    @katemajr9374 4 роки тому +2

    GENIUS

  • @blancapius3808
    @blancapius3808 4 роки тому +4

    Nimecheka mno, et mausiano yamekua concord.... Hehehe uwiiiiiiii

  • @Ms.Mulambe
    @Ms.Mulambe 4 роки тому +15

    Waiting

  • @fredricknemes305
    @fredricknemes305 4 роки тому +4

    Daaah Mwamba anaitwa na Mungu anamsubirisha kidogo😂😂😂

  • @sittashadya6351
    @sittashadya6351 4 роки тому +14

    Hakika ruben unanifurahshaga xana

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @angelzighe4254
    @angelzighe4254 4 роки тому +9

    Cha kwanza ninacho kupendea hautuliagi 😂😂😂

  • @costantinedraxler3629
    @costantinedraxler3629 4 роки тому +21

    Mahusiano ya kurogana😂😂🔥

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @happyirenefridahilda4871
    @happyirenefridahilda4871 4 роки тому +1

    Wooow ....Ruben uki turn back kuimba tapenda niimbe na wew

  • @wilfredroberttv841
    @wilfredroberttv841 3 роки тому +1

    Namkubali Sana

  • @barakavedasitus3913
    @barakavedasitus3913 4 роки тому +7

    Sema yuko sawa sana

  • @priscajohn6090
    @priscajohn6090 3 роки тому

    Hongera sana

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 4 роки тому +1

    Nakupendabur

  • @modestussanga5413
    @modestussanga5413 4 роки тому +2

    Very genius

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 3 роки тому

    Hongera zako

  • @salomeoberd2949
    @salomeoberd2949 4 роки тому +3

    Nampenda sana uyu mjinga

  • @perpetualrock2256
    @perpetualrock2256 Рік тому

    Etii Mungu ametokea kunieewa sanaaaaa

  • @harunamroboto3251
    @harunamroboto3251 3 роки тому

    Good saana mwamba

  • @neemagamala6963
    @neemagamala6963 4 роки тому +2

    Naomba kaz na mm ya kufundisha hapo shulen

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 4 роки тому +2

    Eti Mungu aniita njooo, nikasema bado kuna vitu sijavijua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani huyu 🙌🙌

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 4 роки тому +14

    Wewe utajuaje😂😂😉😂😉😂I love this guy

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @simonivisenti6341
    @simonivisenti6341 4 роки тому +2

    Napenda kazi zako bro unanifanyaga nacheka sana

  • @felisteredward6319
    @felisteredward6319 4 роки тому +8

    Imba Kaka utabarikiwa Sana.... Nishirikishe pia na Mimi nna haja na kuimba gospel

  • @nasonibrahim
    @nasonibrahim 4 роки тому +13

    nice interview

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 4 роки тому +11

    Jamaa ni nouma

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 4 роки тому

      Haipingwi. Bonyeza link hii kaitazame hii video kisha ujionee
      ua-cam.com/video/_vGu4l1MoMw/v-deo.html

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +4

    Anavyopanga panga vitu akichamba sijui yy hupanga nn🤣🤣🤣🤣🤣I like him...darasani kunakalika kweli

  • @ednasalehe3365
    @ednasalehe3365 2 роки тому

    Big up bro.... building statements

  • @ashahenry5631
    @ashahenry5631 4 роки тому +9

    Keep up rebeun 😘😘😘😘. I love your videos from Kenya . Thank u

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 3 роки тому

    Yes, Mungu ana njia nyingi za kumwinua mtu.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 роки тому +1

    Good mtani wangu

  • @smyahtv2781
    @smyahtv2781 4 роки тому +4

    Jamaaa yuko poaaa

  • @felisiahyera2320
    @felisiahyera2320 4 роки тому +1

    Bee! Mwagito. Umenichekesha sana

  • @florencekichindaflorenceki3564
    @florencekichindaflorenceki3564 4 роки тому +2

    Hahaaa my crushhhhhhh hakika my ticktok lover😘😘😘😘😘 flo sanchez tiktok love frome 🇰🇪

  • @tz5454
    @tz5454 3 роки тому +2

    Mungu kanielewa sana ha ha haaaaa

  • @teddykomba3885
    @teddykomba3885 4 роки тому +34

    Yani kila kitu naona utani Kwa kweli

  • @lusseraymond5449
    @lusseraymond5449 4 роки тому +4

    Mabwens ok twende sawa

  • @mariamnziku113
    @mariamnziku113 4 роки тому +3

    Imba kaka watu wasiposikiza Mungu atakusikiza

  • @pendoluoga2023
    @pendoluoga2023 4 роки тому +3

    Suala la kuinuliwa juu ni la Mungu mwenyewe!

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 4 роки тому +10

    MABWENS mmmhhh

  • @jolizonex9161
    @jolizonex9161 4 роки тому +5

    Nakupenda bure shine your talents bro♥️♥️

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 4 роки тому +3

    Sasa sisi tutajuajeee... Haki ya kwelii💃💃😜😜

  • @teddykomba3885
    @teddykomba3885 4 роки тому +7

    Woooooooooooooooh utakuwa MC kweny shuhul yang

  • @nadiafahadi7666
    @nadiafahadi7666 4 роки тому +4

    Eti nimekua kahaba mda mrefu ,single father 🤣🤣🤣
    Nakupenda sn na vituko vyako

  • @hildakibona5202
    @hildakibona5202 4 роки тому +1

    Duuh hongera wa kidato

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 4 роки тому +2

    Jamaa hd kwa interview

  • @lukasanga685
    @lukasanga685 4 роки тому +2

    Huyu jamaa mkwel 💪💪💪