Tunao angalia taarifa hii Mungu wa Mbinguni akukumbuke wew na familia yako na ndugu zako ATUPE mwisho mwema na wa kusudi lake maana shetani uweza weka mtego mwisho ukawa ni mauti ila ni Mungu tu awezaye kushika maisha yetu Amen.
Poleni pia waliokataa kutoa msaada awajielewi kwani mwenzao waliofariki kwenye ajali nao walikuwa na malengo kama wao na uwezi jua mbele utakutana na nn maisha ni safari
Huko kutoa msaada sio utamaduni wao mwaka 1991 tulisaidia baba mmoja njiani muda wa mchana amepata shida asubuhi mpaka mchana mida ya saa nane gari zimepita nyingi hawakumchukua ameomba msaada mpaka sauti imeisha. Ukanda huo watu wana roho ngumu sana
nilisafiri na fundi kwenda manyara kununua gari kufika fundi wangu akaenda test na mmiliki walivorudi fundi akaisifia sana tukaondoka na gari kurudi kwetu toka tumefika ikaharibika hadi waleo sijui fundi alipewa nini asee badilikeni mafundi
kwa kweli mtanzania ni mtu mwoga mwoga siku zote na wengi wamejawa na dharau kwa kuona yeye anacho kitu.Akisha miliki kagari basi anaona dunia yote ni yake.Tujifunze kusaidia panapotokea matatizo jamani.hebu tafakar hili tukio kwa makin utaona daah
SASA UWEKE KUBWA ZAIDI NA AJALI IWE KUBWA ZAIDI. HAYA MATUTA NI HATARI ZAIDI KTK BARABARA KUU. KOSA KUBWA NI HALMASHAURI NA MIPANGO MIJI YAKE. HILI ENEO LILIKUWA WAZI, KUKAMILIKA BARABARA, NA WATU WAMEJENGA PEMBEZONI BILA KUFATA SHERIA. HII ILIPASWA KUJENGWA VIVUKO KWA JUU AMA CHINI YAKE.
Wanadai vibao vilikuwepo, inasemekana vimeibiwa, mimi ushauri wangu sheria iwe na meno makali, hususan mkoa Arusha, maana uharibifu wa miundo mbinu imekithiri sana. Poleni kwa ndugu zetu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo, mungu azilaze roho zao mahali pema! 🙏🙏
Tunao angalia taarifa hii Mungu wa Mbinguni akukumbuke wew na familia yako na ndugu zako ATUPE mwisho mwema na wa kusudi lake maana shetani uweza weka mtego mwisho ukawa ni mauti ila ni Mungu tu awezaye kushika maisha yetu
Amen.
Amen
Ameen
Amen 🙌🏽✝️🙏🏽
Amina
Amen Amen.
Poleni sana,Ila jamani naomba tupendane ukimkuta mwenzako amepatwa na tatizo msaidie
Mungu awasaidie Sana hao waliotoa msaada..Awazidishie
Innalillah wainan lillah rajoun, allah awape kauli dhabit
Poleni pia waliokataa kutoa msaada awajielewi kwani mwenzao waliofariki kwenye ajali nao walikuwa na malengo kama wao na uwezi jua mbele utakutana na nn maisha ni safari
Huko kutoa msaada sio utamaduni wao mwaka 1991 tulisaidia baba mmoja njiani muda wa mchana amepata shida asubuhi mpaka mchana mida ya saa nane gari zimepita nyingi hawakumchukua ameomba msaada mpaka sauti imeisha. Ukanda huo watu wana roho ngumu sana
@@annamariamakula3853 yaani watu tunajisahulisha sana
Huu mwaka na nunua gari niwape rifuti ameeen🎶
nilisafiri na fundi kwenda manyara kununua gari kufika fundi wangu akaenda test na mmiliki walivorudi fundi akaisifia sana tukaondoka na gari kurudi kwetu toka tumefika ikaharibika hadi waleo sijui fundi alipewa nini asee badilikeni mafundi
R.I.p robby nimeumia sana jamni😢😢
da siku ya balaa nibalaa
Sema wanajeshi wengi uendeshaji wao sio mzuri kulingana ya dhamana waliopewa
Suala sio uanajeshi hapo issue ni ugeni wa njia lkn pia mwanajeshi hana dhamana ya uendeshaji mbaya wa gari barabarani
Ooo jamani. Mungu amsaidie mwenye gari Sasa nani atamlipa..na awalaze marehemu mahala pema peponi
✝️🙏🏽🙌🏽
Familia ya marehemu
Kwani hawakuambiwa Haina vipengele
Kesi ishakuwa ngumu.....
Hy ilipangwa wafe pamoja
Hela yako inakuua ase 😢😢😢
Hiyo ni shida ya arusha roho mbaya sana
Mmh my Arusha 😢
kwa kweli mtanzania ni mtu mwoga mwoga siku zote na wengi wamejawa na dharau kwa kuona yeye anacho kitu.Akisha miliki kagari basi anaona dunia yote ni yake.Tujifunze kusaidia panapotokea matatizo jamani.hebu tafakar hili tukio kwa makin utaona daah
Rip😭😭😭🙏
Hilo ndio kosa kubwa kutokuwepo kwa alama balabalani
Mnunuzi alikuwa na wenge,,sasa alienda na fundi wa nini??fundi ndio akuwa afanyie test hiyo gari.
Alitaka kuuza kaingia hasara . Alietaka kununua kafa . Fundi kiaaminio kafa hapo ndio sasa unachoka
Atalipwa na Bima
hapo mueke daraja kama manzese funga kazi
Hawa jamaa niliwakuta hapo hiyo siku. Balaa tupu hawakutumia akili hata kidogo
Innalillah waina illah rajiun
Inalilah wainalilah rajuuni
Arusha ni watu wa ajabu sana huwa hawana tabia ya kusaidiana
sawa wewe mwenye nayo
Hapana suala la kusaidia sio la kimkoa bali ni imani ya mtu husika katika kulikabili tukio
Ingekuwa rahisi ungewaita polisi wangewahishwa hospitali
Polisi enyewe ukiwaita ni masaa mawili ndio wanakuja
Polisi huwa wanaokoa roho za watu
SUBHANALLAH
ujui kupeleka waji fanya dereva
SASA UWEKE KUBWA ZAIDI NA AJALI IWE KUBWA ZAIDI.
HAYA MATUTA NI HATARI ZAIDI KTK BARABARA KUU.
KOSA KUBWA NI HALMASHAURI NA MIPANGO MIJI YAKE.
HILI ENEO LILIKUWA WAZI, KUKAMILIKA BARABARA, NA WATU WAMEJENGA PEMBEZONI BILA KUFATA SHERIA.
HII ILIPASWA KUJENGWA VIVUKO KWA JUU AMA CHINI YAKE.
Hiyo bara2 wekeni vibao vya mwendo mdogo
Mh Arusha nayo siku hizi😢😢
Mmh jmniii kifoo hchi. Uwii
Tumia akiri kaka yangu
Eeh sasa ndo Nini,atumie akili kivip
Naomba waweke vibao kabla ya km moja kwa maelekezo ya mt kadhaa.
Wanadai vibao vilikuwepo, inasemekana vimeibiwa, mimi ushauri wangu sheria iwe na meno makali, hususan mkoa Arusha, maana uharibifu wa miundo mbinu imekithiri sana. Poleni kwa ndugu zetu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo, mungu azilaze roho zao mahali pema! 🙏🙏
Poleni ni bahati mbaya asidai
Sasa atamdai nani? Na mnunuzi amefariki?!
Daah R I p
R.I.P poleni sana 😭
Nawlekea mahamani... Bams zotee zitolewe mabarabarani..... Zinatuharibia magani...
Kama tu kuandika hujui vp how about the car 😅
@@seleshaban48 kajifunze kwanza kuandika alfu uje tuongee lugha moja😂😏
Ili mtugonge vzr na vigari vyenu
Kwahiyo marehemu atadaiwa ile 11m?
Hujasikia mwenye gari analalamika
Daaah
🙄🙄🙄🙄🙄
Arusha kunanii
Unatest mbio
Poleni sana huko Arusha
Sasa Fundi kazi yake ilikuwa nini?
Fundi kazi yke nikukagua gari
Tumia akili wewe
Uko sahihi , umemleta fundi halafu unataka wewe ndo uendeshe
Ukitaka kununua chombi cha moto kama gari kama huna uzoefu wagari unamchukua fundi akusaidie kusikilizia gari kama zima
Namaanisha alichukua nafasi ya mkaguzi wa chombo, alipoona yeye ana pesa kuliko fundi basi akahisi na udereva kamzidi bora angeenda peke yake tu
Maskini 😢Mungu awape pumziki la milele. Pengine huyu aliyekuwa anaendesha hakuwa na uzoefu😢