PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 50 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @MkalaNzaka
    @MkalaNzaka 2 дні тому +156

    Wangapi tunakubali Loveness anacheza character yake zaid ya viziri...❤❤❤❤❤

  • @FabriceFabriceAllyhandrew
    @FabriceFabriceAllyhandrew 2 дні тому +221

    Jamani nimefatiliya kutoka episode 1hadi sasa sijapata like zenu jamani nimekuwa wakwanza kutoka burundi 🇧🇮

    • @fatumaselemani3807
      @fatumaselemani3807 День тому

      Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika ❤❤❤❤

  • @GuerchomMangye
    @GuerchomMangye День тому +61

    Kwani mpaka nyinyi mpewe like kwa kazi gani mnayoifanya acheni utoto mpeni donta zote 100%❤❤

  • @spesiozabisansaba6424
    @spesiozabisansaba6424 День тому +399

    Mimi nimekariri wimbo wote,,, moyo poolee,, Ile fumba fumbua namba yangu sifuri vyote vimepotea,, hali yangu majalala, sina pakula pakulala Kila siku ni misala oooh Baba mulika jicho unione NAMI uniponye,, Kila nalofanya kwa UBAYA binadam,,,,,,,,,,,,,,,, NIPEWE LIKES ZANGU😊😊😊😊

  • @Marymariah123
    @Marymariah123 2 дні тому +86

    Msininyime like wa kwanza vile nimekimbia😂😂❤❤❤happy new year wapendwa nawakilisha team kenya

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 2 дні тому +102

    Hery ya mwaka mpya wapendwa 🎉mwaka huu mwenyez Mungu awatimizie ndoto zenu

  • @LauraKhisa-y6r
    @LauraKhisa-y6r 2 дні тому +66

    Leo mnipe like ata moja yawa much love from Kenya

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  2 дні тому +628

    MASIKINI TINA WANGAPI WANAMUONEA HURUMA 😭?

    • @PriscarMbodze
      @PriscarMbodze 2 дні тому +23

      Mimi apa naona kayatimba 😂😂😂

    • @MaryNyemba-w6h
      @MaryNyemba-w6h 2 дні тому +10

      Wew Kelvin 😂

    • @joycemachibya4380
      @joycemachibya4380 2 дні тому +30

      Hakuna anaemuonea huruma kwa kwel 😂love hajafaidi upendo wako mwanzo ulikuwa una hela lkn aliteseka saiv huna hela uko bize na kazi hajapata muda na ww kabisa
      Tina ateseke tu

    • @SimoniMwegalawa
      @SimoniMwegalawa 2 дні тому +3

      Oy kev nambie

    • @MaimunaMhina
      @MaimunaMhina 2 дні тому +5

      Alijisahau mungu anamkumbusha

  • @WardaPorojo-x9r
    @WardaPorojo-x9r 2 дні тому +33

    Kuna watu wako fast San hay nipewe like zangu mambo ndokwanza yanaanza big up san Donta Tv

  • @WilmotCharo-x8g
    @WilmotCharo-x8g 2 дні тому +131

    Kwa Kwanza Kutoka Kenya Mombasa❤❤ wapi likes zangu🎉🎉

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 2 дні тому +23

    Mashallah tabarakallah leo namapema I say nawatakia kila kher nyote mnao tizama DONTA mungu awatangulie na awaongoze pia inshallah yarab❤❤❤

  • @AloyceMasalu
    @AloyceMasalu День тому +11

    Dah jaman 🎉🎉kwa lovess 🎉🎉na nimwanamke wa kuigwa like zenuuu kwangu jaman 😂❤

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 2 дні тому +35

    Wakwanza kabisa kijana ya Ruto,,,habari ya mwaka mpya watu nyote🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 2 дні тому +24

    Wanawake kama loveness ni wachache sanaaaa😍😍😍 hongera sana loveness umepatia sana part yako.

  • @MERCYLINENYAMOITA
    @MERCYLINENYAMOITA 2 дні тому +61

    My fellow Kenyans let's gather here for the love of this loveness na kevvy

  • @masteruvaofficial
    @masteruvaofficial 2 дні тому +171

    Tulio fika nao huu mwaka wa 2025 EBU nipeni subscribers zangu wana familia 😭😭

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 дні тому +2

      Kevi unatupotezea mda na matangazo yako unayo yaweka sasaivi kazi unachelewesha ukitoa matakazo kibao ( eti yalio pita kwani si hatujui kua waliishia wapi walisemaje hadi utuwekee kwatalifa yako huwa hatuangalii tunalushaga mbele unatuchosha movi dk22 dk15 matangazo tu umetuchoka sio)

    • @KhadijaKhadija-cz1yh
      @KhadijaKhadija-cz1yh 2 дні тому +2

      Kvileoumeniwua.lames.nimukemwema.nawapendasana❤❤❤🎉🎉🎉

    • @olicej7837
      @olicej7837 День тому

      ​@@halunimnenwa5224 Bora umeisema hii kitu ambayo ni kama imenitoka mimi😂😂😂

    • @zekhaliy
      @zekhaliy День тому

      😂😂😂​@@halunimnenwa5224

  • @JumaKavula-u5e
    @JumaKavula-u5e 2 дні тому +22

    Nafurahi sana kwa muenendo anaoenda nao bro jarufu, taratibu tu hatimae atapata tu anachokitaka. Namaanisha kumpata sster candy, sema candy tayar kashapata virus apo tu najikuta namhurumia tena bro jarufu, MAPENZI aya yanachanganya sana💞

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l День тому

      Waende hosii wapewe ushauri na doctor wataishi vizuri bila yeye Kua na virusi

  • @asiabakari584
    @asiabakari584 2 дні тому +16

    Kev hii move ninzuri sana tutoleen bas hata vipande vitatu kwa wiki ama vinne nawapenda sana donta kazi zen safi sana mmwaaaaaas

  • @DanielDamusavuli
    @DanielDamusavuli 2 дні тому +34

    Wa kwanza leo Na wakilisha wa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kama wewe nimu kongomani tu juwane hapa

    • @MamySouzana
      @MamySouzana 2 дні тому

      Mimi apa mu Congo marayakwaza na kometi kwajili ya wa Congo🎉🎉🎉

  • @jeffsadat1257
    @jeffsadat1257 День тому +19

    Sijachelewa,,,WA kwanza kutoka embu Kenya,, good job kelvin

  • @ChristopheMufariji-kh3kq
    @ChristopheMufariji-kh3kq 2 дні тому +22

    Nawashukuru sana kwakazi nzuri naimekuja mapema❤❤❤ nikiwa dr Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @huishabitabo9407
    @huishabitabo9407 2 дні тому +20

    Tina bado nataka apate na kansa ya matiti na kibwenye kabisa maana sio kwa roho mbya😂😂😂😂

  • @FelistarNaisiae
    @FelistarNaisiae 2 дні тому +10

    Leo nimekua wa kwanza kukomend

  • @NaomiWanyonyi-fv5tq
    @NaomiWanyonyi-fv5tq 2 дні тому +16

    Wakwanza leo from Kenya team strong 💪 mko wapi like zenu❤❤❤

  • @musahRoba
    @musahRoba 2 дні тому +45

    Mimi wa kwanza leo nipeeni likes

  • @MANGELI_111
    @MANGELI_111 2 дні тому +23

    Wakwanza Leo jamani ATA Mimi munipe like ata Kumi ila Wana kawiya Sana tunaomba mukuwe muna harakisha kama tuko pamoja gonga like

  • @PaschalPius-b6s
    @PaschalPius-b6s 2 дні тому +15

    🎉🎉🎉 Asante sana niligoja kwa ham kwer wanao ikubali mikono

  • @RoseSamwel-s1s
    @RoseSamwel-s1s 2 дні тому +12

    Wa kwanza Leo naomba like zenu

  • @sophiaa2974
    @sophiaa2974 2 дні тому +18

    Wakwanza jaman ❤

  • @agathaKamuya
    @agathaKamuya День тому +11

    Nimefurahi kumwona love na kelv wamikumbatiana ndoa ipo sasa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ZakiaJr
    @ZakiaJr 2 дні тому +25

    😂😂😂😂 yaani huyo mtu wa Tina ananichekesha anavyojikuta mzungu

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve 2 дні тому +20

    Burundi tukowengi 🇧🇮🇧🇮tunakufatilia tunakupenda like❤❤

  • @AnsaB-j2m
    @AnsaB-j2m 2 дні тому +26

    Wa kwanza leo naombeni like ata mbili🎉

  • @HappinessSolomon-t5z
    @HappinessSolomon-t5z 2 дні тому +10

    Walau Leo nimejitahid kidogo na mimi❤❤, nawapenda san mungu aendelee nguvu katk kazi yenu❤❤❤❤🎉

  • @CatherineKiilu-j2l
    @CatherineKiilu-j2l 2 дні тому +61

    Habari za mwaka mpya guys naomba likes

  • @mariaalmaria9513
    @mariaalmaria9513 2 дні тому +36

    Wakwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮 tuungane mkono❤❤

    • @basimisemusafiri4856
      @basimisemusafiri4856 2 дні тому

      Mimi namuoneya urumasana kelvin vumiliyatu kilakitu mutakuwa sawa

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 дні тому

      Kevi unatupotezea mda na matangazo yako unayo yaweka sasaivi kazi unachelewesha ukitoa matakazo kibao ( eti yalio pita kwani si hatujui kua waliishia wapi walisemaje hadi utuwekee kwatalifa yako huwa hatuangalii tunalushaga mbele unatuchosha movi dk22 dk15 matangazo tu umetuchoka sio)

  • @Annabellekerry
    @Annabellekerry 2 дні тому +14

    Finally, Tina amefikiwa ulimuonyesha madharau Kelvin 🎉❤

  • @MkalaNzaka
    @MkalaNzaka 2 дні тому +11

    Weeeh Kev acha utoto,Yan mistari ya Loveness ndo inakuliza.......😂😂😂😂😂

  • @Clintez254
    @Clintez254 2 дні тому +11

    Mungu awafungulie mlango wa baraka huu mwaka

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 2 дні тому +6

    Aaaah Dennis umenifuraish eti hajaweka sumu kweli😂😂😂😂😂😂mi napenda siri zenu wewe n latif kila mtu n siri zake chukueni maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 День тому +4

    Lovenes yupo kama mm uwaga sioni tabu kumsaidia mtoto wa ma mkwe wangu🎉❤❤❤❤

  • @fahilashukuru1476
    @fahilashukuru1476 2 дні тому +16

    Donta TV the best ❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 дні тому +8

    Pole sana kelvin umeliya kwa furaha maneno mazito ya love nes 😢😢😢

  • @MusabmusakotiKoti
    @MusabmusakotiKoti 2 дні тому +81

    Jamn hata kama me wa hamsini naombeni like ata Tano tu

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 дні тому

      😂😂😂😂😂 ww sio wa hamsin ni wa alfu kumi

    • @HajiboAli
      @HajiboAli 2 дні тому

      C mtupe siri y hizi likes jamni tunapitwa😂😂😂

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 дні тому

      Kevi unatupotezea mda na matangazo yako unayo yaweka sasaivi kazi unachelewesha ukitoa matakazo kibao ( eti yalio pita kwani si hatujui kua waliishia wapi walisemaje hadi utuwekee kwatalifa yako huwa hatuangalii tunalushaga mbele unatuchosha movi dk22 dk15 matangazo tu umetuchoka sio)

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 2 дні тому

      Upeleke wp likes 😅😅😅

  • @UmuKuluthumu
    @UmuKuluthumu День тому +10

    Happy new year all the best,,❤🎉🎉🎉🎉 nawapenda wote wanao fatilia hii move, allah atulinde😮😮 nashari pia tuwe nahuruma nasubira🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @ShabaniIbrahim-z2x
    @ShabaniIbrahim-z2x 2 дні тому +12

    Watu wa kaz 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @WardaPorojo-x9r
    @WardaPorojo-x9r 2 дні тому +14

    Mtunzi wa hii kitu jaman uko vizuri sana nawapenda sana ❤️❤️❤️

    • @YOUNGXHUUYOUNGFRUIT
      @YOUNGXHUUYOUNGFRUIT 18 годин тому

      Loveless nakupenda mdogo angu umempaa maneno mazuri sana kevi ya kumtoa nyoka pangoli

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 2 дні тому +87

    LEO SINA USEMI NGOJA NAMIMI NIOMBE LIKE BASI 🎉🎉

    • @MwajombeWitness
      @MwajombeWitness 2 дні тому +1

      Cheusi na uku upo

    • @JacklineImboto
      @JacklineImboto 2 дні тому

      Lahaula cheusi media

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 дні тому +2

      Kevi unatupotezea mda na matangazo yako unayo yaweka sasaivi kazi unachelewesha ukitoa matakazo kibao ( eti yalio pita kwani si hatujui kua waliishia wapi walisemaje hadi utuwekee kwatalifa yako huwa hatuangalii tunalushaga mbele unatuchosha movi dk22 dk15 matangazo tu umetuchoka sio)

    • @DeeDan-sj1mr
      @DeeDan-sj1mr 2 дні тому

      @@Cheusi_media
      Media

    • @KamisaRamdan
      @KamisaRamdan 2 дні тому +1

      Kweli umeomba like

  • @Machokabrian
    @Machokabrian 2 дні тому +19

    The first person from Kenya wapi like zangu

  • @namyamaravin7731
    @namyamaravin7731 День тому +2

    Leo mm n ws mwwisho vipi huku Mungu awape maisha marefu wezangu twawapenda sana majirani🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 2 дні тому +11

    Asante Kelvin ❤team gulf naombeni like zenu nawapenda mkuje tuinjoi 🎉❤

  • @MbonyimanaDathive
    @MbonyimanaDathive 2 дні тому +13

    Wakwanza jameni like za team strong 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @nutaylakitchen7627
    @nutaylakitchen7627 2 дні тому +8

    Leo nimewah 🎉🎉🎉🎉

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 2 дні тому +15

    Nimeme waiyi Leo jamani 🎉🎉

  • @ericktoo976
    @ericktoo976 День тому +4

    Loveness anacheza character yake poa she is a role model in this season I urge all women to follow her and learn alot in this.let subscribe this channel ya Donta Tv

  • @Officialrodhium
    @Officialrodhium 2 дні тому +11

    Nice work donta tv...

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g День тому +4

    Part ya Amina na James iliisha kabisaa, loveness alivyotoka hkoo, alfu jarufu utapata ukimwi kutoka kwa Kendi cheza mbali😂😂😂😂😂😂

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu День тому +2

    Kazi njema Dennis naona untafuta haki y famil yakena kelvin 👏halfu kelvin n loveness cake y harusi yenu nisikose😂❤️❤️

  • @TeddyMwakaniemba
    @TeddyMwakaniemba 2 дні тому +8

    Naombeni like zangu na mimi naipenda sana hii movie ni maisha halisi.ya watu kabisa

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 2 дні тому +11

    Jamani Leo nimewahi kutoka Zanzibar nipeni like zangu hapa kama upo pamoja na dota tv ❤❤❤

  • @edwardrobertsaid
    @edwardrobertsaid 2 дні тому +28

    Wa kwanza jamani leo na mm naomba like ❤️💕

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 2 дні тому +7

    Lov wewe ufaa kua mama bora kwa kelv, nple sijui kelv akiri yake kwa nni haifunguki .

  • @JohnJohn-z4j
    @JohnJohn-z4j 2 дні тому +8

    ❤❤❤❤❤❤ tujuwane kweny lik basi washabiki wa kelvin ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy День тому +2

    Donta TV Sina la kusema kila idara mmekamilika. Kelvin Ni wanawake wachache wajielewa ❤❤❤❤ lavenes pole Tina Sahib ndo mda Wa mavuno Tina, Denis kuwa makini Na huyo mwanamke wako,,

  • @LydieNiyonkuru
    @LydieNiyonkuru 2 дні тому +8

    Leo nimekuwa wakwanza.jameni naomba mauwa yangu🎉🎉🎉

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula 2 дні тому +8

    Xaxa hv mpo chapu 2naitaji kumalza haraka na 2anze Tena mwaka huu move mpya❤❤❤

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 дні тому +71

    Wangap wanatamani kevin na loveness waelewane❤

    • @kladahmad3333
      @kladahmad3333 2 дні тому

      ❤❤❤🎉🎉🎉

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 2 дні тому +2

      Kevi unatupotezea mda na matangazo yako unayo yaweka sasaivi kazi unachelewesha ukitoa matakazo kibao ( eti yalio pita kwani si hatujui kua waliishia wapi walisemaje hadi utuwekee kwatalifa yako huwa hatuangalii tunalushaga mbele unatuchosha movi dk22 dk15 matangazo tu umetuchoka sio)

    • @QwerQwer-p8x
      @QwerQwer-p8x 2 дні тому

      Tunarusha na move inasonga kwani shida iko wapi😂😂

    • @REVINABARTAZARY
      @REVINABARTAZARY 2 дні тому

      Tina pole sana😊😅

    • @MwanaikiSwalehe
      @MwanaikiSwalehe 2 дні тому +1

      Yaani Hawa watu wako na maneno mazuri yakutiana moyo mpk wananifanya nalia na mimi

  • @timothywabwile7928
    @timothywabwile7928 День тому +4

    Loveness.....has a good character 🎉🎉

  • @monicaSamson-mc9ph
    @monicaSamson-mc9ph День тому +3

    Love anamaneno matamu jaman adi yanasisimua kwakweli❤❤❤❤❤❤

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 День тому +2

    Loveness nskupenda❤wewe na Kelvin mko na upendo wa Kweli simchezo❤❤mapenzi si pesa 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JuliasKabula-q4d
    @JuliasKabula-q4d 2 дні тому +8

    Congo wa kwanza

  • @JoyceElias-qh8ol
    @JoyceElias-qh8ol 2 дні тому +8

    jaman dakika 5 tu ndio mmejaa iv 😅😅😅❤🎉🎉

  • @NtemiMasai
    @NtemiMasai 2 дні тому +8

    Hapo ni patàmu🎉🎉

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh День тому +2

    Ongela lovenes kwakuwa mwanmukejasili pole kevi Tina mr gamba kitakuramba namwanaqo Tina kendi pole sana kevi loveless nawapenda sana mwenyezi mungu awasimamiye mumalizezita salama I love you all ❤❤❤❤❤

  • @milkahmachana
    @milkahmachana 2 дні тому +4

    Nawaombea mwaka wenye heri na fanaka mashabiki wote wa donta TV.... much love from Kenya ❤❤❤❤❤

  • @hubalatest8600
    @hubalatest8600 2 дні тому +6

    Nimekuwa wa kwanza leo

  • @Mister_Black26
    @Mister_Black26 2 дні тому +20

    Hongereni saivi mnajitahidi kutuma vipande kwa haraka hongereni ila mjitahidi mwisho usiwe mbaya asee

  • @DavdDBroid-l2b
    @DavdDBroid-l2b 2 дні тому +11

    Nakubli sana donta

  • @AgnesAlistides
    @AgnesAlistides 2 дні тому +7

    Nmewah na mm Leo ❤❤

  • @ericktoo976
    @ericktoo976 День тому +3

    Huu mwaka natimae mtatoa episode haraka
    Nawashukuru Kwa kazi njema ❤❤❤

  • @Phanny-Nyonge
    @Phanny-Nyonge 2 дні тому +5

    Wapenzi wa DONTA TV, Happy New Year🎉🎉🎉

  • @LilianRodrick-k5b
    @LilianRodrick-k5b 2 дні тому +5

    Nimekua wa kwanza leo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Ndihokubwayolucie
    @Ndihokubwayolucie 2 дні тому +7

    Jamani wakwanza gutoka burundi lk

  • @RosenafulaNyongesa-me6xy
    @RosenafulaNyongesa-me6xy 2 дні тому +6

    Wow leo nimepata ikiwa ten mins, Kila mdaa kupata ikiwa some hours

  • @MOISECHRISTIAN-pt3np
    @MOISECHRISTIAN-pt3np День тому +3

    Asante sana DONTA kwakuendeleya kutu burudisha 🙏

  • @ErickMusa-d4f
    @ErickMusa-d4f 2 дні тому +5

    Leo nime kuwa wakwanza ❤

  • @EdvisaFeliciano
    @EdvisaFeliciano 2 дні тому +6

    Wakwanza 🇲🇿❤️

  • @FadhiraAvin
    @FadhiraAvin 2 дні тому +2

    Atimae Tina anaenda kuumbuka jmn na wazazi wake pia 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 2 дні тому +8

    Nikotu zangu huku kazini nakitu huku kimeingia jamani ndonini ihi Sasa sindo uchizi HIV kabisa nawapenda sana tu tuko pamoja kaka Kevin ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l День тому

      Hahaha 🤣🤣🤣 hajui uko HIV Aids

  • @AnnaWaswa
    @AnnaWaswa 2 дні тому +5

    Lakini kevin mbona movie nifupi sana jalibu kurefusha kiasi kaka tuna kupeda sana 🎉🎉🎉

  • @DavidOranges
    @DavidOranges 2 дні тому +21

    Nami Leo wa kwanza nipen maua yangu❤🎉🎉

  • @kiptoo-q5l
    @kiptoo-q5l 2 дні тому +3

    kila ninapojitahidi kuwa wa kwanza napata mmewahi ila hongereni sana kwa kufatilia shows za donta tv🎉🎉🎉

  • @AmriAmri-d3q8o
    @AmriAmri-d3q8o День тому +3

    Nimeipenda sana kam wote tunafatilia hadi mwisho naombeni hata like 30

  • @aminasuleimanmohammed4487
    @aminasuleimanmohammed4487 День тому +1

    Candi msuke love na love akusuke ww

  • @TheoMsenya
    @TheoMsenya 2 дні тому +5

    Asante leo mapemaaa nimewahi

  • @FatumaJuma-s7j
    @FatumaJuma-s7j День тому +2

    Raha sana ilikua namuonea huruma kelvin na love wanavyotesana kwa mapenzi ila ssa roho ❤❤

  • @DavidOranges
    @DavidOranges 2 дні тому +8

    Aman saana kaka shinyanga 1

  • @geoffreynzia17
    @geoffreynzia17 День тому +1

    Waaaaah:loveness wajua mapenzi walai....kupapasa jooh

  • @AhmadMozambican
    @AhmadMozambican 2 дні тому +4

    Mimi wa kwanza ktka Moz🇲🇿 nipeni likes zangu

  • @aminasuleimanmohammed4487
    @aminasuleimanmohammed4487 День тому +2

    Calvin nibora ukawa muwazi Kwa kila Hali uwe unamueleza love kwani ukweli humueka mtu huru