MAJUMUISHO.. sehemu ya tano. ASKOFU HAMZA HOJA NZITO ZA SHAFI DIWANI NA KIMWERI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 365

  • @mrishokambanzi8744
    @mrishokambanzi8744 6 років тому +2

    Subhanallah.Amza kweli iskitikiye nafsi yako ju siku umauti utakukuta weye na kikosi chako itakuwa mtihani kwako mbele ya Allah. Na kama unamalipo una pewa ju yayote ayo unaongeya Basi kumbuka umauti. na yote utayaacha

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 5 років тому +1

    Sheikh hamssa nuru ya mungu na ikuonekanie,,,,mwenyekiti,,,hata miye mfuatiliaji nimeelewa haraka chenye hamssa amelenga kumaanisha,,ulimi kuteleza hapa ndo waslamu hukosea zaidi bila kuelewa mwenzako na kusamehe ,,,alikufa msalabani kwa hizo unazosema

  • @mtotompole1040
    @mtotompole1040 3 роки тому +2

    Mashaallah wallahi Mnafanya Kazi Ngumu Sana Allah Akulipeni Kila LA Kheriii Inshaallah

  • @mwaswa1899
    @mwaswa1899 5 років тому +6

    Hamza uko vizuri unaongea kwa uhakika neno lisilo na unafiki inabidi tukubali

    • @hassaniddi1862
      @hassaniddi1862 4 роки тому +1

      Ndio anaongea vzur mna kasema yesu Ni muislam

  • @abdisalammohamed2944
    @abdisalammohamed2944 4 роки тому +1

    Sheikh shaffi mungu akupee nguvu y kupambana n wakafiri

  • @sharcksharckhassan256
    @sharcksharckhassan256 6 років тому +5

    Wallah huyo hamz na watuwake woote ni makafiri walio wazi

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 7 місяців тому

    Mwenyekiti vp yupo sawa kwer

  • @LUCASCHOBIKEKA
    @LUCASCHOBIKEKA Рік тому

    Hamza mnyenyekevu wa kweli husema kweli endelea kusema kweli na Roho wa mungu akuongoze, hao wamejaa chuki na kujitukuxa kupotosha ndiyo maana chuki yao kwa waisrael na upotoshaji wao dhidi ya mpango wa mungu kwa Ibrahim kipigo kinawaandama na hawajui kama wao ni chanzo

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 роки тому +4

    Akili za Hamz na wachungaji sawa sawa kuchanganya tafsiri na akili zao wanadhani maandiko ya vitabu nya Mungu ni sawa na gazeti

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 роки тому

    Duuuu laha sana kumbe Yusuf Diwan nimekuelewa😁😁😁

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 3 місяці тому

    Mwenye kiti anaitwa Ibrahim Bakozi..kidume😅😅

  • @kalambaedwardcharles5737
    @kalambaedwardcharles5737 6 місяців тому

    Kwani Kila mnyenyekevu ni dini ya kiislamu hapa mnapotosha uislamu ni imani na misingi yake sio kuwalazimisha kwamba wakristo ni waislamu hiyo ni fikra potofu hata mchawi anaweza kuwa mnyenyekevu,ukristo ni imani na misingi yake ya kumwamini yesu kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wetu

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 Рік тому

    Hamza ndio mpango mzima👍

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 3 роки тому +1

    Allahu Akbar, mashaallah tabaraka llah kwenu

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 роки тому

      Uko. Tamta. Ndokafundisha. Ivooo. Ww. Umuwezi. Shafi. Naugekuwa. Wafahamu. Usingejiita. Asikofu

  • @ustadhihamisi1081
    @ustadhihamisi1081 6 років тому +5

    Mwenyekiti uko vizuri sana

    • @HamiduChamboko
      @HamiduChamboko 4 роки тому

      Nop.kameza makaratasi. hajaielewa quraan.ndio shida

    • @alliabdullah6180
      @alliabdullah6180 4 роки тому

      @@HamiduChamboko so hao wengine ndio wanaelewa Qur'an?

  • @zuhulas1036
    @zuhulas1036 4 роки тому

    Mashehe.wetu.mungu.awazidishie.hamza.ajilekepishe.mana.anako.erekea.atamkosea.allah

  • @joshuatanzanite5871
    @joshuatanzanite5871 2 роки тому

    Wanao simamia seria hawajawahi kumuamini anayeabudu katika roho hata mkikesha hapo nikuchemsha mawe ndo mtaambulia mi nawaangalia tuuu Yesu alishugurika na Roho siyo mambo hayooo Yakale yamepita tazama sasa yamekuwa mapyaaa

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому

    Mwenyekiti ni dhahiri ana upande

  • @MosesKubo
    @MosesKubo Місяць тому

    alaaaa sasa hivi wameamua kubishana wnyw kwa wnyw

  • @clynarsugar3730
    @clynarsugar3730 4 роки тому

    Sheikh Hamza mungu aendele kuku funulia Mambo mengine na hapo unaongea na watu ulio wazidi sanaaa yani hao hawajui alafu hawajui Kama hawajui

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 5 років тому +1

    Hamza Yesu siyo Muislamu.

  • @agoogleuser1141
    @agoogleuser1141 6 років тому +4

    Huyo Askofu mnamlea sana.

  • @ammarruwehy
    @ammarruwehy 6 років тому +4

    Tuvuteni Subra, kipande kisichonasauti soon kitatumwa tena!! Shukran kwa support yenu

    • @omarymkuyawa7739
      @omarymkuyawa7739 6 років тому +1

      AMMARFARU . Mbona kimya sana kuhusu kipande kisichokuwa na sauti?

    • @ammarruwehy
      @ammarruwehy 6 років тому

      omary mkuyawa mpaka muda huu kinanishinda, hakikubali kuimgia na Sauti. Samahanini sana!

    • @omarymkuyawa7739
      @omarymkuyawa7739 6 років тому

      AMMARFARU. Haya ndugu

    • @ains1122
      @ains1122 5 років тому

      Mbona haikutumwa tena

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 роки тому +1

    mwenyekiti nimekukubali sana

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 2 роки тому

    Watu mliopotea mnalazimisha Wakristo kumwamini Muhammad aliyeishi maisha machafu,alilogwa,eti Hamza amekuwa askofu

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 7 місяців тому

    Mwenyekiti anaupande hafai

  • @leonardabrahamh6906
    @leonardabrahamh6906 4 роки тому

    WAKRISTO ni wachamungu na ninyi munapo bisha zidisheni ukafiri kwakuwapinga wakristo watu wa Mungu

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 4 роки тому

    Ukitaka. Kujua ivyo vitabu soma vyote kama hamza waislaam wote wanasoma kimoja tu hamza uko vizuri

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 роки тому

    Mm cjasoma Kabisa lakin uyo amza duuuu. Aeleweki

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 5 років тому

    Masheikh tangazieni watu juu ya yesu,,alikufa kwa ajili yako msabalani,,,oooleee wenu waislamu,,,roho ya mungu na iwaongoze iwape mwanga,,,,alilia akasema wasamehe hawajui watendao,,,kumbe nyie mnaomgeuka mungu,,,poleni,,ni mda wa kihama kka/ dda zangu

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 3 роки тому

    Mashaallah mashekh uliyo waliopo Wana kutosha

  • @dullahdullah5217
    @dullahdullah5217 3 роки тому

    Mmmh mbna anapindisha

  • @annkoside3547
    @annkoside3547 6 років тому +4

    sauti hamna na sisi hatuna elimu ya kujua kinachoongelewa kwa kuangalia midomo

  • @bestRasta-
    @bestRasta- 4 місяці тому

    Amza Yuko sahihi sema tu hamwelewi pole jifunze zayidi MTA elewa

  • @aloycekayanja1756
    @aloycekayanja1756 8 місяців тому

    HUYO mwenyekiti hafai KUWA mwenyekiti anegemea upa de WA watu wake ndiko anashereheshs sana

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 7 місяців тому

    Mwenyekiti sio muislam mana sio mnyenyekevu

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 5 років тому

    Mwenyekiti akumbke mjadala ni juu ya muumba wa bingu na dunia,,,,ooolee wenu mnaozidisha kwa issa,,,,

  • @abdallahmapila5395
    @abdallahmapila5395 4 роки тому

    Allahu Akbar wakifa haliyakua wakristo mungu hatowaridhia

  • @ChamaKchama
    @ChamaKchama 3 роки тому

    Mwenyekiti upo Bias, umefeli.

  • @sultanhamis8604
    @sultanhamis8604 4 роки тому

    Mwenyekiti bado ayupo sawa

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 4 роки тому

    Huyu Hamza anaejiita askofu ametokea wapi tena haijulikani yuko kwenye dini gani haswa hujui ni Muislamu ama ni mkristo wa dhehebu gani hata haifai kuketi nayeye kufanya mjadala wowote kwa sababu hana elimu yoyote Kazi yake kugeuza mambo juu na chini mungu amsaidie na amsamehe

  • @shahiduraashidi9194
    @shahiduraashidi9194 6 років тому +2

    wallah ningekua karibu nahuyu hamza ninge mpiga makofi

  • @eliudimsey5122
    @eliudimsey5122 Рік тому

    No. 1 Hapa hakuna Mwenyekiti
    2. Hakuna Debate.... Kuna Mtu wanampendelea Na Mwingine wanamuonea.

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 2 роки тому

    Mwenyekiti hustaili kuwa mwenyekiti.

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 Рік тому

    Kanzu ni kivazi tu sheh diwani,wape vigongo wasirudi tena ao,innalilah wainailahirajiun.

  • @omarymasoudykisondo389
    @omarymasoudykisondo389 6 років тому

    Sauti sheikh mjadala unanifurahisha juu ya awo makafili akina hamza tunaomba muendelezo inshaallah

    • @ayshausman5898
      @ayshausman5898 3 роки тому

      Majibu. Sahihi. Hao. Maasikofu. Wabishi

  • @thegoldeneagleexucativelod5427
    @thegoldeneagleexucativelod5427 3 роки тому

    Hamza mbabeeee💪💪💪💪

  • @leonardabrahamh6906
    @leonardabrahamh6906 4 роки тому

    Wewe hamza ni mwelekezo sabithi wa JAMI nzima duniani maneno yako unaongoza kabisa vizuri wote ni waisilam ila unapo tu darasisha TUNA elewa vizuri na tarehe zako nikweli

  • @joshuatanzanite5871
    @joshuatanzanite5871 2 роки тому

    Mk kasimama upande wa piliii huyuuu hadi anaboaa anaonyesha yupo upande gani hata kama ujui ndo walivyo hawa wana masikio ta utafiti hadi wanakuwa sitaki nataka kwajinsi hii wanapoteza wengi

  • @dullahdullah5217
    @dullahdullah5217 3 роки тому

    Toa maandiko shekh

  • @pierremanirambona5450
    @pierremanirambona5450 3 роки тому

    Jameni wa kristo awahitaji Mouhamadi kwamaana wanaye Yesu ambaye ndiye masiya

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Na isa yesu hakuhitaji ww wala walio leta ukristo ataawafata muhamad saw kwa kua ni ndugu yake. Kutokana na ibrahim alie jenga uislam ktk mji wa saudia leo mamia na mamilioni ya watu wanaenda kuhiji ajajenga kwa wazungu na ndiomana isa atawaruka anamuabudu mmungu mmoja Allah tu na ninmitume wake na muhammd alimtabiri atakuja ilahujui soma

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 роки тому

    Mwenyezimungu hakulazimisha yakwamba nilazima mtu awe anajuwa kila kitu kinacho endeyakila mtu anaelimu yakiwango alicho jaliwa wewenimuanzishaji wamgogoro

  • @simonjohn7276
    @simonjohn7276 6 років тому +1

    Proud to be Christian.

  • @dullahdullah5217
    @dullahdullah5217 3 роки тому +1

    Shekh hamza mungu akutie nguvu maana quran inawaambia hata uwaonye hawatasikia

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 6 років тому +3

    Mwkiti anatumia nguvu kutetea upande mmoja kifupi uenyekiti umemshinda,Hamza kawaweka moto chini

    • @silaswilliammakashi3227
      @silaswilliammakashi3227 6 років тому +1

      Hahahahahaaaaa mwenyekiti kaamua kuonyesha hulka yake sasa kaamua kuuvua uenyekiti duh

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +1

      Hamza amekili kwamba Yesu ni MUISLAM na amefundisha hivyo kanisani na wakristo mmekubali

    • @chuinbonden8734
      @chuinbonden8734 4 роки тому

      akutiboy Solomon yooooohow hana lake ndio mana hamza kwao

  • @mustayoo
    @mustayoo 6 років тому +4

    Mwenye kuamini yesu kafa msalabani yy ni mkristo

  • @shirikaniyonkuru6560
    @shirikaniyonkuru6560 5 років тому +2

    Wewe mwenye kiti hivyo si kwema kabisa! Uli egemea kwa upande mmoja!

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 років тому +1

    yaaaan angekuw Jran bas ningemuua

  • @mbudemalouda6407
    @mbudemalouda6407 4 роки тому

    Sawasawa sheikh

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 5 років тому +1

    Mwenyekiti usijibu acha wajibu

  • @anselmoonolius8362
    @anselmoonolius8362 5 років тому +1

    Ila Hamza uko vzr aisee barikiwa

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 5 років тому

    Mwenyekiti una ubaguzi mahali lakini damu yake ilimaliza yote,,,wacha nuru ya mungu iwape mwelekeo

  • @nzengamwamulima7724
    @nzengamwamulima7724 6 років тому +1

    Kikao kizuri sana hicho

  • @imranihussen5764
    @imranihussen5764 Рік тому

    Haya na sauti mkatoa😂

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому

    Najivunia kua muislam

  • @mfaumeaman9430
    @mfaumeaman9430 6 років тому +2

    Hamza anachekesha sana
    kafiri hamza , mbona wauliza maswali ya kitoto Elimu ndogo hahahaha

  • @mumygkajela1741
    @mumygkajela1741 Рік тому

    MUNGU hayupo ktk mabishano imeandikwa.

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 роки тому

    Dini gani hao lakini hata hawajielewi

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj 6 років тому +1

    Kwanza hajui kua kuitakidi kua Allah ni mungu na mungu ni Allah huyo ni kafiri.sura ya saba aya ya 180.tena ukome kuwafundisha watu kua kwakua Allah nikiarabu basi useme mungu kwa lungha yako nikosa kubwa ktk Aqidah yakiislam.

    • @vermillion5725
      @vermillion5725 6 років тому

      naaam sisi Waislam ukisema ALLAH ni Mungu utakuwa umepoteza mantiki ingawa wasio wasioelewa watona sawa ila ALLAH tafsiri ni MWENYEZI MUNGU ........................na ukiangalia akdah za Lugha utagungua Mwenyezi Mungu haina wingi ILa mUNGU ina wingi Miungu

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 роки тому

    Askofu a nasoma qur an mashallah, katengenezwa maalum lakini anababaisha Tu, anacheza na Watu akili zao na elimu yake uchwara

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 8 місяців тому

    Huyo hana lolote kwa anae mshabikia hajui lolote hamza ni mnafiki anasema kitu na ana kataa kwanza ana jiita nabii nabii gani hajui vitabu vya mungu na hapo hapo ana kubali yesu ni muislamu wakati hao wakristo wenyewe wanao mshabikia hawa amini yesu ni muislam

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 2 роки тому

    Nimeamini kwari shetani anakuja kwa mfano wa binadamu huyu amza sheteni tena anafanana na filauni

  • @ccmmbweawajangwani3505
    @ccmmbweawajangwani3505 4 роки тому

    Unajuwa majukumu ya mwenykt kweli mbona umekuwa muongeaji hapo mwekt ni ziro

  • @mbaroukmohamedomar4329
    @mbaroukmohamedomar4329 6 років тому +1

    bado tunaomba Mada ya pili haikutoa sauti kabisa tunaomba murekebisha ili tupate kunufaika inshaalah

  • @zuenaahmad3995
    @zuenaahmad3995 5 років тому +1

    weehamza.siomuislam.sionduguyetuwee.kafilituuu

  • @venancegaspatv1961
    @venancegaspatv1961 3 роки тому

    Mwenye kiti anawenge

  • @tumaininestory7998
    @tumaininestory7998 5 років тому +1

    Gwao HUFAI KUWA MWENYEKITI...JIREKEBISHE HUPASWI KUEGEMEA UPANDE WOWOTE..

  • @robertwilliamkingsn4418
    @robertwilliamkingsn4418 6 років тому +6

    Katika mdaharo huu...Hamza pekee ndo ana akili na ufunuo wa ajabu kutoka kwa Mungu

    • @vermillion5725
      @vermillion5725 6 років тому

      hahhaa kumbe vipofu mpooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    • @fettyomy6402
      @fettyomy6402 5 років тому

      Robert umerogwa we sio bure hahahaaaa

    • @bidafumbuka855
      @bidafumbuka855 5 років тому

      Hamjui elimu ya roho ninyi fetty omy ndo maana mnapenda makutukana na mnajaribu kuitetea ninyi wenyewe kwa nguvu zenu ndio maana ukristo unazidi kuwa juu kila siku maana hatuupiganii sisi ila mungu mwenyewe anatenda kazi katika ukristo na ndo maana unazidi kuwa juu na utaendelea.

  • @ammonyalistides6638
    @ammonyalistides6638 6 років тому

    Mwenyekiti huyu wawapi yan anachekesha hahahaha ucpaniki mwenyekiti

    • @daudimwizarubi6654
      @daudimwizarubi6654 5 років тому

      Hajuw maana ya umwenyekiti yan linaonekana kabsa limeegemea upande mmoja

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 4 роки тому

    Daaah!! Nitapataje sehemu ya 1,2,3,na 4.

  • @andanesalimoandanesalimo1785
    @andanesalimoandanesalimo1785 4 роки тому

    Masheik wangu mpeni darsa kijana

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 5 років тому +2

    huyo mwenyekiti mbona Kama hana akili vile? kwanini anaegemea upande huyo mmfyuuu!!!

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 4 роки тому

    Liba zilianza kabla ya kristo na yesu aliyakemea na ndio wapinga kristo. Wanaangaika mambo yao yaendelee

  • @ibrahimzancom
    @ibrahimzancom 6 років тому +5

    Mbona iyo mada ya pili haitoi sauti

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 роки тому

    HAMZA NJAA IKO KICHWANI.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 Рік тому

    Mbona mmetowa sauti ktk mada amza kuhusu kula pasaka

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 років тому +2

    Hamza kinachokusumbua ni njaa na hakika Allah atakudhalilisha

  • @daudisimwinga1324
    @daudisimwinga1324 6 років тому +2

    Mwenyekiti Mbona Kama anajiingiza kwenye mjadala wakati yeye ni middle man

  • @abdulrahmanngaluma3768
    @abdulrahmanngaluma3768 5 років тому

    Jamani huyo hamza Issa ni kichaa

  • @PoulMaker-rg9oj
    @PoulMaker-rg9oj Рік тому

    Akuna mwenye kiti hapo

  • @pierremanirambona5450
    @pierremanirambona5450 3 роки тому

    Jameni mimi uku ninako ishi yani apa Ufaransa waisilam awapingi kifo ca Yesu tena ni warabu wenye elimu yadini eaidi yenu

    • @achanifumos1093
      @achanifumos1093 3 роки тому +1

      Mashaekhe hawo ni km huyu hamza kafiri anaopoteza umma...mola atamtosha na hao mashekhe wenu

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 7 місяців тому

    Hatutaki mwenyekiti waupande wenu mana nyinyi niwakolofi naniwatu wamili sio waloho ndiomana mnamtetea muhamadi Kwa mabomu

  • @samwelmhindi3113
    @samwelmhindi3113 6 років тому +2

    mwenyekit ni shida

  • @eunicebukokhe8983
    @eunicebukokhe8983 2 роки тому

    Nyinyi na mafundisho yenu ya majini

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 років тому

    Qur'an kusoma Qur'an hajui

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +1

    Hamza anawapasha ukweli

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 3 роки тому

    Nabii Yahya nae aliambiwa kuwa ghulamu zakiya

  • @Shawadh1
    @Shawadh1 6 років тому

    Jamaani hamuaoni kwamba mna chezewa akil HUYO HAMZA SIO MUISLAM ILA KAVAA KISLAAM HUYU HUYU MARA MTUME MARA MKIRISTO MARA, HUYO NI KATI YA MADAJAL.

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 4 роки тому

    Awo ndio walioangusha islamic state kwa kutoelewa kwao

  • @michaelkarisa5270
    @michaelkarisa5270 11 місяців тому

    Mbona mlizima sauti wakati mnajadili habari za yesu kufa?