Kenya kuwakilishwa na wanariadha 35 katika michezo ya olimpiki itakayokuwa jijini Paris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2024
  • Kenya itawakilishwa na wanariadha 35 katika michezo ya olimpiki itakayokuwa jijini Paris nchini ufaransa kuanzia mwezi ujao. Timu ya hiyo ya riadha imetangazwa leo baada ya kukamilika kwa mchujo wa kitaifa uwanjani nyayo, jijini Nairobi.

КОМЕНТАРІ •