TIZI LIMEKOLEA CHINI YA KOCHA FADLU DAVIDS JASHO LINAMWAGIKA/HAKUNA KUPOA MAZOEZI MWANZO MWISHO
Вставка
- Опубліковано 10 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Jamaan eeehhh simba atacheza round ya 2 kati ya mshind uhamiaji fc ya Zanzibar na Libya 1 ya Libya weka like nying sanaaa kama unaamini simba bingwa kombe la shirikisho
To me nasemajeeeeeh nasemajeeeeeh THE RETURNS OF CHAPIONS simba nguvu moja 💪💪💪💪💪
Hii ndio simba. Simba iliopita wachezaji walikuwa wanategea maxoezi. Ufadha ulikuwa mwingi sana.
Siyo walikuwa wanategea, no kwamba uzee uliingia mifupa ilikomaa, ona hawa vijana
Ya Rahman walinde wachezaji wetu wote wape nguvu ya kuitumikia clab kujituma katika mazoez wape upeo wa kumuelewa mwalimu na kufanyia kaz mbinu za mwalimu wa ondolee mabaraha yote na uwarinde na majeraha amen 🤲🤲
Simba Yangu team Yang niipendayo Duniani
♥♥️♥️♥️♥️♥️♥️
naiombea wakati mwema ktk mashndano yote,
Naipenda simba mapaka naumwa nafulaha sana ninapo ona wanapambana kwa ajir yetu
Tumuombe mungu awaepushe hawa watoto dhidi ya mashetani wa tz
This year we are winning the local league and African Confederation cup and this project will bring the African Champions league cup in the future
Kila la khery mnyama Simba sports club katika maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Ndugu yangu hayo ni mazoezi ya kawaida sana ambayo Kila team inayafanya ,hutaweza kuona mazoezi ya tactical hata siku moja
simba's my life❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chamou karaboue 💥💥💥💥💥💥💥 simba family
Unyama ni mwingi sisi tuko pamoja tunaendelea kuweka bundle ili kuwaunga mkono ❤❤
Mungu ubalikii simbaa❤
We're back to the top......#Nguvu_moja
❤❤❤❤❤❤❤ we are the champion Simba nguvu moja
Kuna kim haitaingiz wachezaj uwanjanii,,🙌🙌🙌♥️
Naipenda simba mpk bc
Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🤜🤛
Tena mkali mno
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
I love you simbaaaaaaa
Aamiin itakua bingwa Inshalla.
Kombe la shirikisho Africa
Simba nguvu moja 🎉🎉🎉
Simba nguvu moja 🙏🙏🦁💪🇹🇿
Kila la kheri timu yangu simba❤❤
Simba ye tu laaaaahaaaa
❤❤Mungu atatusimamia msimu huu nguvu moja
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ni noma Sana simba 🎉🎉
🎉 Simba nguvu moj
Mungu ibaliki simba yangu iwe imara zaidi
Simba nguvu moja ❤❤
Kwa simba hii itakua moto
Simba ❤
Simba nguvu moja litakufa jitu msim ujao
My life Time club❤
Simba nguvu moja 🔥🔥🔥🔥🔥
Vigood chama langu la simba
SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤
Tizi njema mnyama
Nguvu moja
Simba nguvu moja
Eee mungu nilindie simba yangu
Nguvu moja ❤
Mnyama mawindoni🫡🫡
😊Sisi ndiyo mabingwa wa shirikisho msimu ujao
Inshaallah
Huyu teacher wa fitness hatari sana❤❤❤
Unyamaniiiiiiiiiiii
Here we goooo
Naona ata ile nguvu imerudi viva simba tunataraji mengi tuanze nashirikisho kwanza hii tulete nyumban ili kombe
Ok unyamaa ❤❤❤
Nguvu moja 🎉
Naiyona Simba itafanya vizur San coz naona usajili wachezaji umri mdog naiyona Simba itakuwa tishio sana tuwe pamoja na timu yetu Simba nguvu moja
Nguvu moja 😊
Nawakubali sana wapambanaji wetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nguvu Moja simba
It's good but sio Kila kitu kioneshwe mitandaon mbinu na mifumo ni siri kwani simba ni timu kubwa na inafuatiliwa na wengi be careful
Sahihi kabisaa
Sijaona mazeozi ya kimbinu mbna
Ila sidhan kama mmeona mbinu hayo yanayopostiwa ni.mazoez ya kawaida kila tim inafanya na tungepostiwa kila kitu kisingekua kifupi kivideo ivii
Kweli kabisa, haitakiw kupost kila kitu, hasa haya mavideo
Ni sahihi kabisa
Nasoma coment zen vijana wang😂 ila Simba nguvu mojaa daim mbelale nyuma mwikoo❤❤❤❤❤❤
Si vizuri Siri ya kambi kuweka wazi.jitahidini baadhi ya vitu kuficha.Yanga si wazuri kwetu,wanaroga sana wachezaji wetu.
Wachezaji wetu tusipodharau walim wetu tunaimani watafanya vizur ila Kuna baadhi nawaona kama wapo slow sana sijui wanajiamini kuwa wanaujua mpira? Au laaa
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Ayoub apge tizi sna mana kanenepa sana
Nice
Kramo firstelven bro inshallah
Always 🦁🦁red and white flag🔥🔥
Chama langu naliamini msimu ujao tutapiga mtu mvua za kutosha
Simba mwaka huu wa PINZANI wataisoma namba
Simba nguvu Moja pigeni tizi kwa moyo mmoja
❤
🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Simba mwaka huu haishikiki. Mwendo wa UBAYA ubwela2
I can see sharpness ya vijana
SIMBA NGUVU MOJAA
Simba ni maisha yetu hatuwezi kuikimbia
Kabisa kabisa kaka
Nice mwanzo mzur chama langu kila la kheri
❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu Moja....
Kocha inaonekana ni mzuri mazoezi kwelikweli yule Benchika mazoezi yake ilikua kukata viuno kwenye magogo ila muhimu ficheni mbinu maadui wanaona huo muziki
❤🎉
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
sikukosea kushabikia hi tim naipenda mpaka nashindwa ata kula
🎉🎉
Haya mazoezi ndio maana chiba Chama alikimbia maana asingeweza😂😂😂
🦁🦁🦁🦁🦁
Hakunasababu ya simba kuonyesha mitandaon kilawanalolifanya😂😂😂
Kila la heri timu yetu pendwa💪💪💪
#Nguvu moja🦁
Unyama mwingi,❤❤
Jamani Hawa Timu NSSF na mashabiki zao hawatutkii MEMA kwenye SIMBA yetu Chonde Tuwarinde wachezaji wetu watawachoma misumari
Nice content ila tunaomba muongeze hata background track (beat tu) ili video zikae poa zaidi.#Nguvumoja
MAVAMBO ☄☄☄
Wewe unaye tusi huna hata hofu ya mungu
Simba nguvu Moja pigeni tizi mpaka kieleweke wapinzani tiwafunge midomo
Viongoz si mseme tu ukwel kuwa kibu hayupo
Sio kila kitu kiwekwe hadharani hususani mazoezi na mbinu
Mleteni MPANZU jamani 🙏
Fukuzeni hao kunguru wanao sikika wanapiga kelele sana😂😂
Kibu yupo wapi? Au na yeye amekuwa star!!?