Babu hapo hutumii service brake- piga truck jerk brake. Babu jerk brake la sivo ukimaliza mteremko umemaliza discs ata hizo trailer brakes and service brakes sote zitalock- kisha zitasababisha fire brake- it can even burn the trailer or the the whole equipment.
Sikupata yote aliyonena Mzee, Kiswahili chenyu tofauti kweli. Lakini anavyosema ni kweli,pale Mai Mahiu mteremko waona nyumba kule chini na trela zilizoanguka. Salgaa palikuwa pabaya sababu ni mlima karibu kilomita ishirini. Trela zapanda polepole nao wezi wazipanda juu wafungua mzigo wa wenyewe. Siku hizi nasikia ni afadhali maafisa wa usalama wako makini pale.

Muombe mungu usiombe mitume, kwanza bilali sio mtume bwege ww
Sikupata yote aliyonena Mzee, Kiswahili chenyu tofauti kweli. Lakini anavyosema ni kweli,pale Mai Mahiu mteremko waona nyumba kule chini na trela zilizoanguka. Salgaa palikuwa pabaya sababu ni mlima karibu kilomita ishirini. Trela zapanda polepole nao wezi wazipanda juu wafungua mzigo wa wenyewe. Siku hizi nasikia ni afadhali maafisa wa usalama wako makini pale.
Dah umetisha sana mzeee wa 113
Dauniii iyo hatare sana😂😂😂
Ah ah ah mzee muhuni kweli
Mzee noma kweli deleva mkongwee
Noma sana
Umetisha wanyangu oryaa wayeee
Akir nyingi
Inatwa maimahiu hio down balaa
113 mombasa hapana 🤣🤣🤣
Mahi mahiu hataree Sanaa
sura ya BABA duh
Nipe namba yake yasim uyo muzee
Cosovo unatisha mchina Kama mchina
haaahhhha
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaaaa