MTOTO KAKUA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 385

  • @salimsamadanga6722
    @salimsamadanga6722 3 роки тому +37

    Anakuambua tulia weee tulia mtoto Nini tuliaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 joti mwehu sana

  • @joshuamassawe2474
    @joshuamassawe2474 3 роки тому +37

    Hii ndio clip ya kwanza ya Joti kanichekesha kwa sauti mbele ya watu. Siyo ustaarabu kabisa kaka. Kamaliza vizuri 🤣😂👏👏👏👏👏👏

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 2 роки тому +2

    Mia kwa 100% uje na nje za nchi ur the best of the best joti.. In tz umechukua nafasi ya king Majuto

  • @Scottfuraha
    @Scottfuraha 2 роки тому +2

    Joti Pale mwishoni Turiaaaaaaa💥💥💥💥we Mtoto😂😂😂😂😂💥💯

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 3 роки тому +17

    Joti yaani amepita kwenye levo za uchekeshaji amekua profesa Sasa wa comedy

  • @cedricmaina4523
    @cedricmaina4523 3 роки тому +17

    Tulia mtoto, unanini wewe... Tulia mtotooo 🤣😂🤣

    • @veronicachakubuta2017
      @veronicachakubuta2017 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😅😅

    • @cedricmaina4523
      @cedricmaina4523 3 роки тому

      That's how we handle you, see how her nerves got calmed... @@veronicachakubuta2017 😂 🤣 😂

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +15

    Kweli mtoto kakua ,ila sio kwa mibao iyo ya ukweli😂😂🤣🤣kha!

  • @mtumbili
    @mtumbili 3 роки тому +6

    Kwa kweli hii inatesa na mafunzo🤝🤝🤝🤝wazazi husherekea wakijuwe wanawe wa kiume Ni beberu....
    #breezescomedy

  • @don2629
    @don2629 3 роки тому +2

    Mtoto mchicha mwiba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wabongo na lugha zenu hunibamba sana

  • @vincentmboya
    @vincentmboya 3 роки тому +9

    Mwaka umeisha na kicheko😂😂😂😂😂

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 роки тому +2

    Pole Chesco Msafi kwa kupoteza muigizaji mzuri

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 2 роки тому +1

    Hahahahahha eti mwishoni anamtuliza… TULIA WE MTOTO😆😆😆😆

  • @Jeanpoleofficial
    @Jeanpoleofficial 3 роки тому +21

    The legend of comedy in African joti you got talents bro keep doing your things

  • @mohammed.alghurabaa9266
    @mohammed.alghurabaa9266 3 роки тому +17

    Walioko USA 🇺🇸 tujuwane kwenye like 👍 📜zetu 😃😃

  • @noordndmn2443
    @noordndmn2443 3 роки тому +9

    😂😂😂😂😂holáaa buenos días 🌄 jaja pero el bebé está grande ya ..ehhhh.😂😂😘saludos joty y equipo muy buen cómico 🇹🇿🇹🇿

  • @ayubuchristian7356
    @ayubuchristian7356 3 роки тому +1

    Aisee joti n master wa comedy africa mashariki

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +17

    Lililililili mbona mchicha mwiba🤣🤣🤣🤣

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 3 роки тому +28

    Joti mshenzi sana tulia wewe, mtoto tulia weeweee!!😂

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 8 місяців тому

    😂😂 joti kafanya finishing nzuri sana eti tulia weee mtotoo weee

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 роки тому +10

    big up sana kwa bi mkubwa 🗽

  • @veraniinnocent7624
    @veraniinnocent7624 3 роки тому +4

    Mzee kageuza kibao tulia mtoto🤣🤣🤣🤣

  • @allykibope5598
    @allykibope5598 3 роки тому +1

    King umeua sana hapo mwishoni "tulia mtoto tulia wewe tulia mtoto nini" 😂😂

  • @juzelujo2169
    @juzelujo2169 3 роки тому +5

    Tulia mtoto weweeee....🤣🤣🤣🤣

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 3 роки тому +3

    Joti unajuwa ungemaliziaje hapo mwisho Mwanangu, hapo uliposema ‘ tulia weee Mtoto eenh!.” Ungesema tulia weee Mtoto basi twende ndani na sisi tukasome halafu mnaongozana huyu mnaingia ndani. 🤣😂🤣
    Ingetisha zaidi still umetisha Mwana. 🔥🔥🔥

  • @mohamedithabiti4476
    @mohamedithabiti4476 3 роки тому

    Daaaaa........we noma mwambaaa👊👊👊👊👊

  • @ramadhanimlowezi4754
    @ramadhanimlowezi4754 3 роки тому +2

    😂😂😂😂mchicha mwiba #team fisi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @binloufy454
    @binloufy454 3 роки тому

    We msenge kenge kweli eti tuliaa mtoto🤣🤣🤣🤣🤣

  • @farhanixhaka2840
    @farhanixhaka2840 3 роки тому +4

    😂😂😂😂😂tulia mtt ww

  • @bamumarc7012
    @bamumarc7012 3 роки тому

    Tunakufata bien sana DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi , tunakupenda sana

  • @dennistv2538
    @dennistv2538 3 роки тому +13

    😂😂😂😂😂😂tulia we mtoto tuliaaaaa

  • @anthonylugoya211
    @anthonylugoya211 3 роки тому +1

    Ilivoishia sasa ndo imenoga balaaaaaaa😁😁

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 роки тому +4

    😂😂😂😂😂 *Nilijua mtoto mchicha mwiba* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kmmk khaaaaaaa

  • @minnafute959
    @minnafute959 2 роки тому +1

    Safiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 3 роки тому +1

    hahahahahahahahahahaaaaaa eti baba kamgeuka mama, nini wewe mtotoooo tuliaaa hahahahahaha

  • @othamankaboss1734
    @othamankaboss1734 3 роки тому +3

    Tena atuliee😀😀😀😀

  • @ruuspicyasmr1694
    @ruuspicyasmr1694 3 роки тому +3

    Joti sahii 806k subscriber anaenda 1m soon good job from Jamaica

  • @Julina9099
    @Julina9099 3 роки тому

    Babu ukamtuliza mzee mwenzako mwishoni atulie mzee mwenzako

  • @sophieponera3136
    @sophieponera3136 3 роки тому

    Ww ni hatr, unajua joti...keep moving

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 3 роки тому +2

    Huyu mama mbona kama anapiga mabao ya kweli kweli😅😅😅

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 3 роки тому +1

    Daaah mwishoni mmeuwaaaaaa unyama mwingi 🤣🤣🤣🤣🤣💪

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 3 роки тому

    Dume wangu kiboko hii Kali😂😂

  • @eliascherehani2905
    @eliascherehani2905 3 роки тому

    Kaziii ipooo vizuriii tuliaaa ww

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 3 роки тому +1

    Kazi nzuri jitahidi quality ya video camera haioneshi vizuri

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 3 роки тому +3

    🤣 😆 Babu anatka kumaliza mama 🤣🤣

  • @KingKing-uy9hq
    @KingKing-uy9hq 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂 hapo mwishoni

  • @newmanmbise2184
    @newmanmbise2184 2 роки тому

    Tulia mtoto wewe tulia nini weweee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @blackdevil.5576
    @blackdevil.5576 3 роки тому +1

    Tuliaaa we Mtoto wewe😳😳😂😂😂😳

  • @johnnabie5445
    @johnnabie5445 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂,,, Kumaliza mwaka kwa furaha 🙏... Tupatane mwaka ujao

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 3 роки тому +2

    Aaah mjinga sana alealeee

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 роки тому

    Joti hii ni sawa na ile MIMBA YA SOPA , tofaut ni wahusika tu ila nawe uliekti hvo hvo Mzee

  • @budakhairun9285
    @budakhairun9285 3 роки тому

    'Tuliaa wee mtoto nini wewee'😂😂😂jotii umeshindikanaa

  • @rachelsanga5228
    @rachelsanga5228 3 роки тому

    Hahahaaaaaa nmecheka jmn.. Ya leo kali😂😂😂😂😂

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 3 роки тому +2

    Hapo mwishoni Joti umenichekesha kifara hahahaaaa

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 3 роки тому +5

    Nimefurahi Sana kumuona babu maana ndo character wa joti ninae mkubali Sana 😂😂😂 nimecheka mpaka mbavu zinauma aise

  • @japhetkambale1759
    @japhetkambale1759 3 роки тому +4

    😂😂😂 najua na akili hauna

  • @patrickvove
    @patrickvove 3 роки тому +30

    I didn’t expect the end 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 роки тому +1

      I know right 👌😁😁😁😁😁😁😁

  • @veronicachakubuta2017
    @veronicachakubuta2017 3 роки тому +6

    The end had me dead😂😂😂😅😅

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому

    Daaa Joti noma anamtuliza bonge la mama eti tulia mtoto tulia mtoto eeh kimahaba 😀😀😀😀

  • @inocentgalinoma9544
    @inocentgalinoma9544 3 роки тому

    Nini...ww turia mtoto ww turiaa...😅😅😅😅😅❤🔥

  • @fratenmassawe2644
    @fratenmassawe2644 3 роки тому +1

    nice bro, more talented

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 3 роки тому +1

    Asa mbona mchicha mwiba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdumalikmohamed5747
    @abdumalikmohamed5747 3 роки тому +12

    Leo ni watano nipeni likes 😂😂

  • @deluhdenis6499
    @deluhdenis6499 3 роки тому

    😀😀tulia we mtoto,nin we mtoto tulia wewe..ila joti we kibokooo😁😁

  • @dullahjoseph7527
    @dullahjoseph7527 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂TULIAAA we MTOTO WEWE

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯🤝waaaaaah hiyo part ya mwisho iko wagwani sana Joti Hatari

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 babu nini

  • @edmundrutahiwa
    @edmundrutahiwa 3 роки тому

    Joti umeanzaaa wa moto sanaa

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 3 роки тому +1

    😂😂😂mzee wa hvyohvyo

  • @besteva7113
    @besteva7113 3 роки тому +1

    Eti mulele njohuku kidume wangu kiboko ndomimi nakuitA🤣🤣🤣🤣

  • @notime4love345
    @notime4love345 3 роки тому +3

    😂😂eti najua akili hauna

  • @ibrahimadam8623
    @ibrahimadam8623 3 роки тому +8

    Thank you Joti, all the best in 2022, continue to provide high-end comedy, you have been the best

  • @mugozibabel4343
    @mugozibabel4343 3 роки тому

    😂🤣😂🤣👌🤣😂🤣😂🤣👌🤣😂🤣 Joti sio mzima kabsaa😂🤣😂🤣

  • @abuukamanda.s.mkenga6687
    @abuukamanda.s.mkenga6687 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣. Eti mti mmoja lazimauinue turubal

  • @eliascherehani2905
    @eliascherehani2905 3 роки тому +1

    Nimeielewaaaaa joti fundi

  • @lbprince5902
    @lbprince5902 3 роки тому +5

    hahahhahha kazi nzuri

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому +1

    Joti akili yake eti tuliaaa mtoto wewe,. .. nenden ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤭

  • @alimanukato7209
    @alimanukato7209 3 роки тому

    Hapo mwisho ndio kabisa😂😂😂😂😂

  • @saharasheekh5073
    @saharasheekh5073 3 роки тому +1

    Hahaha mbona kimiya kimiya mimi sisikii 🙄😃😃😃😃😃❤

  • @simonandrew1489
    @simonandrew1489 3 роки тому

    Nice sana mr joti kaz kaz

  • @GraceJaJackson-jd9cy
    @GraceJaJackson-jd9cy Рік тому

    😂😂😂😂😂 tulia mtoto wewe jmn nimecheka kwa sauti

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 3 роки тому

    Babu unamtaka mama unaonesha😂😂😂😂😂😂

  • @dreezytvonline5150
    @dreezytvonline5150 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌daaah aisee joti

  • @nasrimwinyimanga9646
    @nasrimwinyimanga9646 3 роки тому

    Uku mwishoni eti tuliaaaa🤣🤣🤣🤣

  • @nurifalsafa
    @nurifalsafa 2 роки тому

    Tulia we mtoto...na Joti kamtuliza eti😂😂

  • @ferdinandmdee1285
    @ferdinandmdee1285 3 роки тому

    mwishon sas😄😄🤣🤣🙌🙌

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 3 роки тому +6

    Mtoto kakua 😂😂😂😂

  • @chiefbebe3001
    @chiefbebe3001 3 роки тому

    Hahahahaha tuliaa mtt tuliaa w nini hahahahahahahahahahahaha

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 3 роки тому +1

    😂😂😂😂 tulia we mtoto weee 🤣🤣🤣

  • @GabrielWallace-sp9vm
    @GabrielWallace-sp9vm 3 місяці тому

    😂😂😂😂tulia mtoto wew

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 роки тому

    😂😂😂😂😂 ety tulia we mtoto...

  • @abubakarmboko
    @abubakarmboko Рік тому

    Yani joti umeniua apo mwisho mwisho apo umeamua kumtuliza na bimkubwa 😂 kiutu uzima ufai kaka we ndo king kwene commed tz

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 роки тому +1

    Aisee nimecheka tulia tuliaa we mtoto tulia aatulia wewe....🤣🤣🤣

  • @isaacservacius586
    @isaacservacius586 3 роки тому +1

    Tulia mtoto weweee 😂😂😂

  • @nsengiyumvajules2637
    @nsengiyumvajules2637 3 роки тому

    Hhhhh mbavu zangu jamani from Burundi tujuwane

  • @esrommakono9213
    @esrommakono9213 3 роки тому

    Hahaha daaah we mshenzi unaweza

  • @frankmanyesela6147
    @frankmanyesela6147 3 роки тому +2

    Hapo mwisho🤣🤣🤣

  • @2116-n
    @2116-n 3 роки тому

    TULIA WEEE MTOTO😂😂😂, JOTI PROFESSIONAL, KUKU NA MAYAI YAKE YANALIWA

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 роки тому

    Jogoo akiona mtetea anamuacha?🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌zuu wewe

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 3 роки тому +1

    Mzee kaamua abebe nayeye kuku mwenyewe

  • @kibwanakhamisi5604
    @kibwanakhamisi5604 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣Tulia we mtoto wewe🤣🤣🤣🤣🤣