INAUMIZA! MABAUNSA 20+ WABOMOA NYUMBA KESI IKIWA MAHAKAMANI - MAMA AMWAGA MACHOZI AKIELEZEA...
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- INAUMIZA! MABAUNSA 20+ WABOMOA NYUMBA KESI IKIWA MAHAKAMANI - MAMA AMWAGA MACHOZI AKIELEZEA...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Polee dada. Ushauri wangu achana nyumba wakuzulum. / Wageukie watanzania. Wakusaidie naamini kwa umoja watanzania wanaweza. Kukupatia kiwanja na ukajengewa. Utaishi maisha mazuri ukasahauyotee
Mpumbavu mmoja akubali kudhulumiwa alafu awe omba omba shenzi
@Zanzibar0001 sawa
Pole Mwanamke Mwenzangu Mwenyezi MUNGU Akufanyie Wepesi,Utashimda tu kwa uwezo wa MUNGU
Amyn😢
Hawa ndio wenyekiti waliopitashwa na wananchi bila kupigwa🤔
Wajumbe watu wabaya wanajua Kila kitu .rushwa tu
kabisa,Mtu wa kwanza kutumika ni mjumbe Mungu anawaona kwa jicho lake lisilolala😔😔😔
@hadijaismail3619 tatizo njaa
Naumia sana naumia mno hii nchi ni kama kuna laana amani amani ndo hii viongozi daily,wanaona haya matukio dhulma tu,mola utusaidie tusidhulumiwe
we acha tu 😭😭😭😭
Serikali za mitaa ndio hao hao nani😂 aliyewachaguwa?
Serikali hiyo ya Mtaa inaonyesha imehusika na hujuma hiyo. Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ameshindwa kumlinda raia yake.
Yaani siku izi chako kinakumaliza😢
Pole Sana Dada angu Allah akupe subra na wapangaji wako wote
Yaani uyo mwenyekti ingekua nyumba yangu iyo ningeanza na yy alafu aliyo nunua
Mmh M'kiti 🙌🙌🙌
Jerry silaa,ndie mkombozi wa Masikini hakuna mwingine
Nilisikitika sana alipomuondoa kwenye hii wizara
Maskini ukiwa hauna kitu jamani me nikikumbuka umauti nachukia dunia nyumba yangu niliacha mamangu kile aliongea Alhamdulilllah ya Allah mpe mume wangu nguvu ya kuniangalia me mke wake lakini we hii dunia ya sasa bala usiamini mtu yoyote 😢😢😢😢
Sasa nyumba Yako ume iwacha kivip
hamna rais kwenye nchi ndio maana majizi yanaumiza watu na kumdhulum watu mchana kweupe kama walivosema nchi haina sheria wallah magu angekuepo wangeijenga hiyo nyumba hao walivunja na walio watuma mwenyezi Mungu 2025 ndio hiyo yatoe mafisad yote tanzania umueke rais anae jali wananchi tunakuomba mwenyezi Mungu tupokelee day zetu in sha allah na ijumaa hi 🤲🤲toka kashika nchi huyu mama watu wanadhulumiwa sana na hakuna msaada kwa sababu wanao dhulumiwa hawana pesa za rushwa tunakuomba Mungu wetu mtukufu safisha mafisad yanayotawala sasahivi tanzania na nchi zingine wanadhulumu wananchi wao in sha allah
Huyu Mama analia kwa uchungu Hadi naogopa 💔 binadamu si waoga uwiiiii
Haya yalimkuta mama yangu ctaki hata kusikia ñaumiaga mnoo nikiona hivi😭😭😭😭 nguvu ya pesa ilitumika kuanzia ngazi ya chini mahakamani mpaka juu! Ninachoamini haki yako ukiikosa hapa duniani utaikuta kesho kwa Mungu ,
Subhanallah jamani tumuogopeni Allah
Janja janja wamezimaje simu wote . Hapo kuna kitu
Dada usilie sana mshitakie mungu huyo mwenye pesa kama pua imeangalia juu basi ameshinda kama imeangalia chini mungu atakujibu
Mtanzania mnyonge 😢
Kazi ipo
Hiyo siku ya mwisho ndio itajulikana mbele ya mungu kua kiongozi anatakiwa aweje na watu wakidhulumiwa aliakua viongozi mpo alafu hakuna kauli za kumtetea ane dhulumiwa hongereri viongozi dunia niyenu fanyeni mnavyo weza ila sisi tunangoja malipo siku yamwisho kutoka kwenu na mungu anayaona yote mnayo tufanyia
Kwa iyo tusubilie hadi siku ya mwisho?
@@funliving-so9vz ndio maana yake mama yangu yamemkuta hayo keshatangulia mbele ya haki,Mungu atamlipia huko,pesa za kuhonga apate haki yake hakua nazo😔😔😔
Mie kwa mtazamo wangu huyo kiongozi wa mtaa anajua kabisa. Ye mwenyewe muhuni tu na hilo licheni lake
Inna lillahi wa inna ilayhi rajuun......pole sana Dada yetu.....hizi mali hizi.....ukiwa nayo shida na ukikosa pia shida!!!! Ni afadhali kuwa nayo au kukosa???
Ndugu yangu hata cjui bora nn🤔🤔🤔🤔
Wanyonge hawana haki
Mkti hafai kabisa ,silaha arudi hii Hali ingekoma
Wamebeba vitu vyako tena uwende police kutoa maelezo uwiiiii hozo hasiraa kwanini vitu visiwekwe apo nje kila mtu achague chake kwa usitarabu 😭
Pole mama maskini
kma una hatiiii original mama oneshaaaaa
Yani Mimi naumiyaaa sana ninapoona uonevu
Poleni
Mama Samia mitano Tena ccm hoyeee😢😢😢😢😢😢😢😢
Pole da halima
Hii ndotanzania yaccm 😂I 😂😂😂 inchi hainashelia mbeleyapesa
Mtihani
Ila unaumiza jmn kwann binadamu mnakuwa hivi kwanini binadamu mnakosa utu,hivi vitawafukisha wapi dhulma hiii jmn.Hivi ndio mwenye pesa apate masikini akose,.Magufuli fufuka jmn.Kwani Kodi zinatolewa nawenye hla tu jmn.Mama Samia uko wapi kuona hya yawananchi wako.Mpka wanaadhirika jmn.
lazma waseme nchi haina sheria maana maviongozi yote yanawaza stareh tu hayajali machafu yanayoendelea miaka 4 hi mwenyezi Mungu awalaani kwanzia viongozi wa awam hi na majambazi yao wanayoyachekea yanaumiza raiya wema in sha allah yarab 🤲🤲
Yaaan hii nchi inatia hasira khaaa uongoz unafany nn mamb km haya😢😢😢munga imalize ty hii dunia uonevuu umekua haki roho inaniuma saana saan kuona mtu ananyang'anywa haki yake nataman mungu aisambaratishe tu hii dunia ukija gaza ukija kongo ukija tz yan tafran tyuu khaa😢😢
Walah nikimiliki myumba lazima nimiliki mguu wa kuku
Mama samia kumtoa salha wana nchi tunapata tabu sana🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭
sijuh mama anawazaga nini yaani kumtoa silah amekosea sana
Silaa
Ccm oyeee..mitano tena
ila uyo kaka doctor 🤣🤣🤣au muhayaaaaaaaaaaa jmn kasemaaa professional zake daaaah
😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Na mm sijamuelewa aisee
Yaan yeye anasema alipotoka nje akaona kuna fujo and then akaenda nje kaacha even laptop ambayo iko kitandan 🙆♀️
Taku kururu mpo wapi jamani masikini wana teseka, Mama Samia upo wapi mwanamke mwenzio ana lia, Ehee Allah ebu pokea kilio cha mama huyu
Mama samia uko wapi Mama watu wana kuitaji mama
Inamana mama samia Alioni hili Tatizo Aki Ifanyike 😢
Mama sisi kwetu tanga huwa tunawaambia wasubiri jua lizame
Hivi kweli nchi haina sheria mbele ya pesa , ila serikali za mitaa ccm wanapokea rushwa kwa kunyanya wananchi
Subuhanallah😭😭😭
Huyu mjumbe mmemuelewa kweli?!
Afisa mtendaji ndio huwa anaenda ofisini mara mbili kwa wiki
Hata kama kuna sababu ya kuvunja, kweli hii ni haki kwa wapangaji? Mali za urithi hazifai kabisa kutumia zilivyo ni kuuza tu ni kuuza tuu.
Nchi inaongozwa na wahuni, CCM hoyeee 5 tena Samia Hasan suluhuu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Haki yamungu mungu mungu anawaona
Uyo mwenyekiti kumamake piga mapanga hadi afe
Mjumbe shikamoo
Pole sana mama 😢
Mom hati original ndy kila kitu mom kama hiyo huna hapo pole tena Jikatae tu
Viongozii wote wapo Dodoma ila hii nchi ngumu sanaaa
😢😢😢Kawalog. Wot😢😢
Ccm hoyeeeee wenyeviti wa mtaaa oyeeeee.
Sisi wajumbe na wenyekiti oyeee wala Rushwa oyeee wenyekiti ccm oyeee wajumbe oyeee wezi wakubwa oyeee pumbavu zenu
Muulize kamanda muriro kama ipo sawa kisheria
Aise,jamn mbn watu wana roho mbaya ivii !!
Majaji mnasikia kwakuwa wanayaona yanayo endelea hadi watu wanasema nchi haina sheria😢😢😢😢😢 sasa watu wakichukuwa hatuwa mkononi mcwalaumu mana hakuna haki mbele ya pesa😢😢😢😢
Dah! Huyo mwenye pesa zake kama wanavyojisifu kwa kipato alichomjaalia Allah(S.W.T) anawatoa wenzie ndani pasipo kujali mali zao wala uhai wao, huyo ni fir jahannam moja kwa moja. Kwani angewapa muda hadi kesi imalizike wangepungukiwa kitu gani labda! Acheni mabavu sote tutakufa na kila kitu kitabakia. Allah atujaalie tuyatende mema siku zote na tuwe wenye huruma na upendo kwa binadam na wanyama pia.
Nyumba hadi inauzwa mama ulikuepo wapi !!??
Ninashaka na huyo mjumbe na mwenye kiti wanabomoa nyumba bila kibali 😡😡😡😡😡
Mtihani kweli
Unaingia Galama ya kujenga wenye kujua kujenga wanakunja kiubabe na kuvunja hivyo ndo maana Watu wanapanga siyo kwamba hawawezi kujenga lakini Ukatili kama huu Bora kutumia pesa yako mana siku izi wanaoishi kwa Amani ni Makatili💪🤔
Wenye fedha wote nchi hii ndio wenye kununua nyumba za Kurithiwa kidhulma yaani hayo yapo nchi nzima. Na kesi zikienda Mahakamani kesi zinapigwa danadana.Hata kufoji Hati ni jinai lakini pia likienda Polisi nao ni danadana tupu .Nchi ngumu hii haki kwa mnyonge ni shida tupu
Kwaiyo ndugu ndo wamemuuzia??
@@tinajohn6296mama wa kuffikia ndo alofanya.
Very painfull this unfair gvnt😢😢
Haya mambo sasa hivi yamezidi sana,wenye viti na mabalozi ni changamoto.
Huwo ni mtihani mkubwa sana poleni sana
Maswali mengine bwana hayafai kama una ya kuuliza kama kimya
Yote tisa pole mom Allah akutie nguvu ila hapo kwa mjumbe sjamuelewa maelezo yake kama mjumbe utasemaje hujui toa maelezo yaeleweke cm unapiga hazipokelewi tinga office hawana serikaki si zipo watingie ofisini sio kila kitu hujui na unatabasam bhana uongozi mnapewaga na nani kwanza kama kazi hamuiwezi
Nchi aina haki hii walai😢😢
Mitano tena 🤚
Dah 😢😢😢
He kesi ssa imitoka kwenye mikono ya majaji imipandishwa kwa mungu ndo mkubwa wa mjaji
Mambo haya inakuwaje jamanii mtihani mkubwa
Duuu poreni sana 😢😢😢
Nchi haifuati sheria watu wanafanya wanavyotaka, Serikzli ooi wapi?
Hiyo ndio Tanzania yetu tuliyoichagua mabadiliko ni lazima laasiivyo tutazulumiana kama wakubwa wafanyavyo
Wenye mamlaka msikilizeni mwanamke huyu analia kwa kukosa msaada hata wa kisheria haki ipo wapi inaumiza sana
Nchi ngumu hii
Kwann ww kama mwenyekiti hukusogea kwenye tukio. Huna ulizi wote.
Angekuwa magufuli yupo sheria ingekuwepo lakini kwa sasa hakuna sheria wala amani ya nchi 😢😢😢sasa mtu anasema nchi haina sheria kama una hela si anajiamini huzuni sana
mwenyekiti anajizonga tu anazunguka t haeleweki na mjumbe nae haeleweki mjumbe baharia
Tunaomba wananchi watanzania .pamoja na raisi wetu wa tanzania angalie haki ya huyu mama alie bomolewa nyumba ipatikane jamani.huu ni uonevu kabisa
Tatizo mnachagua wachawi kuwafanya wenyekiti wajumbe ndomaana yanatokea.
Nchi yangu Tanzania. Wanyonge hatuna haki
Tunapoelekea watu watakuja kuchinjana jamani. Hii ni hatari sasa
Huyo doctor uchwara mbona muongo 😅😅😅😅😅😅
Itakua na ww ni mmoja wa wabomoaji mbwa ww
😢😢😢😢😢😢
Hiyo yote ni RUSHWA, aliyesema Rushwa ni adui wa haki, tunajionea wenyewe. Jamani tupege vita RUSHWA.
Tumwogope Allah jaman hii zurma ya alzi sinzuri itakuja tokea watu puwani
Kipindi cha mzee baba JPM haya mambo yalipungua,lakini sasa hivi yako kwenye Kasi mpya na ari mpya duuuh nchi ngumu sana hii🇹🇿😳🤔
Tutamkupuka sana
Apo mjumbe buree na anajua yote keshapewa pesa.
Hawa wajumbe wasiojua ata utaratibu ni matatizo
Serekali ya Mama hoyee
JAMANI UKO TUNAPOKWE NI PABAYA NCHIHI MAMA KAUPIGA SANA
Huyumimi sijamuelewa
Kwenye Uchaguzi Ccm wanafanya wanavyotaka, na mtaani watu wanafanya wanavyotaka hawafuati sheria wala KATIBA ya nchi.
Rest in peace 😢 Magufuli. So sad to see this 😢 ungekuwa wepo
Aya mambo kwa magufuli yalikuwa ayapo wanaogopa saivi imekuaje
Wana kibali cha mahakama na ocd?