🔴
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- 🔴#Live: DC MAGOTI ATINGA KUTOA MIFUKO ya SIMENTI MSIKITINI na UJENZI wa NYUMBA - AFUNGUKA MAZITO...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mungu anafanya njia paspokuwa na Njia Inshaa Allah,,
Mashaallah safi kabisa kiongozi
Mashaallah , mkuu upo vzr sana
Dc nimempenda anafuraha hadi na wewe lazima ufurahi 👏🏻👏🏻
Mungu akubarikii Mkuu wetu
Safi sana asaiv wanafanya kazi hadi jamii inaona
DC mnyenyekevu,mcheshi na mchapakazi.Hongereni Wana Kisarawe
DC yupo vema sana natamani ningekuwa karibu na kazi yake
Nakupenda Magoti
Ahmed Hassan dhana mbaya ndugu uwe na hofu ya Mungu
Kisarawe mambo ni moto
Jamanii nimekikipenda kicheko cha Mh Dc...
Maa'shaallah Maa'shaallah hongereni sana Allah awajaze kheri.
Cameraman rudi shule na ma editor wako yaani hujui ht kukata vipande visivyo husu😂😂😂
Ability to recognize and address it's soln
Ila ingependeza kama wale wanafunzi walikuwa wanalala ktk nyumba walipatiwa Elimu angefanya uzuri kama angetowa msaada kuwapatika mabweni
We nae upo wapi kwani hukuona alivyoenda kupeleka mifuko ya cement 150 au bando umepata leo😅😅
@@Official83640 Me nimeona hiii kapeleka miskitini tyuu kule apana
😂😂😂😂😂 msamehe hajaiona @@Official83640
Good boss
2024/25
Sema atinga kukabidhi sio kutoa ..waandishi wa siku hizi tatizo aiseeee.!!
Dini hii inajengew ofisi naselikali kwer aiseee Tanzania kumbe niinchi yakiisramu
Ulikuwa hujui 😂 hamia huku basi serikalini huko uliko unapotea
SIJAELEWA AJENDA YA CHAMA NI KUJENGA NYUMBA ZA IBADA AU MAENDELEO YA NCHI. TUKIANZA KUDIL NA MAMBO YA DINI NA IMANI ZA WATU TUTAJICHANGANYA SANA. NI MTAZAMO WANGU TU ILA MAGOOTI UNAONEKANA KAZINI
Acha Basi ndugu ...watu wanaitafuta Kesho Yao Akhera...Pepo ni Muhimu kuliko Chochote hapa Duniani.
DC wamaana kabisa
wewe muheshimiwa unafaa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Ungekuwa wewe nadhani ule mgogoro wa simu 2000 usingekuwepo,Tunakuombeq uje uwe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Kiongozi makini
Mimi sijafurahi kwani hakuwakamata hao mashekhe Kwa kosa la kuanzisha shule au madrasa bila ya kujenga miundo mbinu na WA hunguzwe kama hawakuwaharibu watoto Kwa Kuwaingilia
Acha kuwadhania watu wa kheri dhana mbaya , sio kila mtu hufanya hayo unayosema
@@omarimasimba4663siyo mtu wa shahada huyo kaka jina geresha tu hilo, hao wanaandika majina feki ili kuchonganisha na kuwasarambatisha watanzania wasishirikiane na wala wasipendane na watofautiane kupitia dini zao.
una hata haya na jina lako la kiislam
We qafir
Huna adabu
Yani hata kilema anawazidi akili na kuwadanganya upumbavu
Kweli nchi yetu watu ni wajinga Sana na wanajali finyu
Ujinga Tu,,,kusapoti dini ya kiarabu,,,kufanya watu wetu watumwa,,,ni usenge Tu na sasa za kipumbavu