Eden choir Moravian Arusha - Amenivusha (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Amenivusha ni wimbo wa ushuhuda unaoishi Kwa mtu mmoja mmoja na kwaya Kwa ujumla. Kama wanadamu tunapita katika changamoto mbalimbali. Hata hivyo, Mungu mtenda miujiza yupo na anatuvusha Kwa namna isiyo fikirika na tunavuka vizingiti vya ibilisi Kwa neema tu. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu Kwani ametuvusha katika mambo mengi. Wimbo huu ukafanyike baraka na kwako, Mungu akakuvushe katika Kila gumu unalopitia.
    Credits:
    Song writter: Michael kakale
    Leader: Jordan Godson
    Vocal arranger: Godwin Mlambo
    Music director: Amos Phillipo
    Main keys: Inocent thadeo
    Second keys: Frank Kidanha
    Aux: Amos Phillipo
    Bass guitar: David Bass
    Lead guital: James solo
    Drums: sheddy Joseph
    Audio: Mobby Production
    Backline Tumaini shangilieni + maksudi
    Video: Rehoboth studio
    Lights and stage loy
    Decor: Titus Wambali
    Production manager: Daniel Mwamwile
    #music #gospel #Amenivusha #trending #edenchoir

КОМЕНТАРІ • 189