Vikosi vya Zanzibar pia vipo kwa vikosi vya pamoja yaan muungano ni vitatu tu JWTZ, Jeshi la Polisi, Jeshi la Anga Vilivyobaki ni vikosi vya Zanzibar mfano Jeshi la Kujenga Uchumi JKU, Kikosi cha kuzuia magendo KMKM ambalo ni Jeshi la majini na ndio linalinda mipaka yote ya bahari ya Zanzibar, KVZ Kikosi cha Valentia Zanzibar, JZU Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Hapo wamepita pia Askari wa utalii amblo ni Jeshi jipya kwa Zanzibar limeanzishwa na Rais Hussein Mwinyi Kwa kifupi hku si Tanganyika hilo ni Jeshi la Zanzibar lililochanganyika na Jeshi la Muungano (Jeshi la Pamoja)
Vikosi vya Zanzibar pia vipo kwa vikosi vya pamoja yaan muungano ni vitatu tu JWTZ, Jeshi la Polisi, Jeshi la Anga Vilivyobaki ni vikosi vya Zanzibar mfano Jeshi la Kujenga Uchumi JKU, Kikosi cha kuzuia magendo KMKM ambalo ni Jeshi la majini na ndio linalinda mipaka yote ya bahari ya Zanzibar, KVZ Kikosi cha Valentia Zanzibar, JZU Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Hapo wamepita pia Askari wa utalii amblo ni Jeshi jipya kwa Zanzibar limeanzishwa na Rais Hussein Mwinyi Kwa kifupi hku si Tanganyika hilo ni Jeshi la Zanzibar lililochanganyika na Jeshi la Muungano (Jeshi la Pamoja)b
Wako vizuri sana
Mpo sawa lakini
Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania❤❤
Vikosi vya Zanzibar pia vipo kwa vikosi vya pamoja yaan muungano ni vitatu tu JWTZ, Jeshi la Polisi, Jeshi la Anga
Vilivyobaki ni vikosi vya Zanzibar mfano Jeshi la Kujenga Uchumi JKU, Kikosi cha kuzuia magendo KMKM ambalo ni Jeshi la majini na ndio linalinda mipaka yote ya bahari ya Zanzibar, KVZ Kikosi cha Valentia Zanzibar, JZU Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Hapo wamepita pia Askari wa utalii amblo ni Jeshi jipya kwa Zanzibar limeanzishwa na Rais Hussein Mwinyi
Kwa kifupi hku si Tanganyika hilo ni Jeshi la Zanzibar lililochanganyika na Jeshi la Muungano (Jeshi la Pamoja)
Akuna namna
Hivyo siyo vikosi vya Zanzibar Ila vikosi vya Tanzania
Vikosi vya Zanzibar pia vipo kwa vikosi vya pamoja yaan muungano ni vitatu tu JWTZ, Jeshi la Polisi, Jeshi la Anga
Vilivyobaki ni vikosi vya Zanzibar mfano Jeshi la Kujenga Uchumi JKU, Kikosi cha kuzuia magendo KMKM ambalo ni Jeshi la majini na ndio linalinda mipaka yote ya bahari ya Zanzibar, KVZ Kikosi cha Valentia Zanzibar, JZU Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Hapo wamepita pia Askari wa utalii amblo ni Jeshi jipya kwa Zanzibar limeanzishwa na Rais Hussein Mwinyi
Kwa kifupi hku si Tanganyika hilo ni Jeshi la Zanzibar lililochanganyika na Jeshi la Muungano (Jeshi la Pamoja)b
Mpo sawa lakini