UTAPENDA RAIS SAMIA ALIVYOINGIA NA MSAFARA WAKE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 11 місяців тому +4

    Tupunguze gharama zaidi ,naTuangalie Hali halisi ya maisha kwa Watu wa Kawaida.Matumizi ni Makubwa kuliko Uwezo wetu tungeerekeza bajeti zaidi kwenye Vitengo vya Uokoaji na Maafa yatokanayo na Mvuha kubwa za Eli nino.kila mahari ni huzuni na maangaiko ya Maafa.Tujifunze kupunguza gharama tukabiliwapo na Maafa makubwa Kitaifa.😊

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 11 місяців тому +2

    Sherehe ni kubwa sana .je? Majanga ya Maafa yatokanayo na Mvuha za Elinino je? tunachukua tahadhari kwa Gharama za Kuokoa Maafa na kuaribika kwa Miundo mbinu Maafa na Mafuriko yaongezekayo kila siku Tuwape jibu la Haki Wananchi.

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 11 місяців тому +3

    Mama wa taifa 👏

  • @EricMahango
    @EricMahango 10 місяців тому

    Wimbo WA taifa na hyo brass band vimenikosha sana

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 11 місяців тому +1

    Jaman hili swala la wapiga picha waikulu kupiga picha wakati wimbo wa Taifa unapigwa limekaaje🤔

    • @nesmipango8247
      @nesmipango8247 11 місяців тому

      Wako sahihi hamna shida Apo Ni kwa waandishi wa habari wote sio wa ikulu tu

  • @AshaMwamba-f2y
    @AshaMwamba-f2y 11 місяців тому +1

    Maish ya duniani jamaniii rahaaa

  • @FamiliaMatatizo
    @FamiliaMatatizo 11 місяців тому +2

    Allah The Best

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 11 місяців тому +2

    😂😂kuna rais amekataa kutoa mkono hapo kwa mama nakubali sana amesanuka sio fala R I P MAKUFULI 😭

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 11 місяців тому +1

      Hatujali wala nn na ubaguz wako uwoo

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 місяців тому

      Magufuli kashaoza ananuka harufu chafu tuache na Samia wetu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому +1

      ​@@OmerSuley-gl7gohata Samia ataoza tu Wala haishi milele .. na uelewe Kuna ndugu zako kibao waliooza na harufu chafu kabla na baada ya magufuli kufa mbwa mwitu mjaa laana wewe

    • @Mumbere-yk4sg
      @Mumbere-yk4sg 11 місяців тому

      ​@@OmerSuley-gl7go𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫

  • @JamesChamenda
    @JamesChamenda 11 місяців тому

    Kube tunaimba wimbo wa taifa mmoja nikazn zanz wanaimba wakwao😊

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 10 місяців тому

    Wamwmpindua mpemba mohd shante

  • @alextugirimana3577
    @alextugirimana3577 11 місяців тому

    Mama inchini Tanzania mpewe sifa na shangwe na Mungu azidi kuwalinda kbsa!

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 10 місяців тому

    Ivi kwa nini nyimbo ya Taifa inaimbwa ila waandishi wa habari wanatembea tembea tu ina maana hawaheshimu nyimbo

  • @AxelSamba10
    @AxelSamba10 11 місяців тому +2

    The tanzanian anthem is very similar to south African anthem, very funny

    • @ShokaNdogo
      @ShokaNdogo 11 місяців тому +2

      South Africa, Zambia and Tanzania national anthems are based on the hymn Nkosi Sikelel' iAfrika (Xhosa word for Lord Bless Africa) which was composed in 1897 by Enoch Sontoga

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 11 місяців тому +2

    Hapo angekua mwamba ndio ungependa zaidi

    • @muhamedkhatib4913
      @muhamedkhatib4913 11 місяців тому +2

      Kaka kubaliana na Hali kwamna hatukonae tena kubaliana na Hali iliopo tu

    • @nestorymanyama
      @nestorymanyama 11 місяців тому

      Kwel kutukana mnakosea huyo ni kiongozi Mkuu wa nchi

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 місяців тому

      Huku ni Zanzibar huyo Magufuli hajafanya lolote kubwa la kusema ashangiriwe na Wazanzibari
      Rais Samia katufanyia mengi tunampenda hadi munapiga kelele anapendelea kwao
      Acheni chuki na choyo

  • @johnman4619
    @johnman4619 11 місяців тому +2

    Mama msenge sana anafulai wamemua jpm

    • @IbrahimMenjano-lj7df
      @IbrahimMenjano-lj7df 11 місяців тому

      Kua na adabu unae mtukan nimama WA mwenzio nibib wa mwenzio je angetukanwa mam yko jr

    • @ibrahimame9805
      @ibrahimame9805 11 місяців тому

      Kwani jpm sio mungu kifo ni faradh

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 11 місяців тому

      Uko na ushahidi,ama ni porojo tuu

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 11 місяців тому

      Ongea chenye wajua na uwe na ushahidi coz huko ni kutumia mitanzao vibaya

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 місяців тому

      Kwani Magufuli ni nani hadi asife? Acha ukuma ww kijana
      Huku ni Zanzibar huyo Magufuli hajafanya lolote kubwa la kusema ashangiriwe na Wazanzibari
      Rais Samia katufanyia mengi tunampenda hadi munapiga kelele anapendelea kwao
      Acheni chuki na choyo

  • @JacklineMwaleleka
    @JacklineMwaleleka 11 місяців тому +2

    😮

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 11 місяців тому +2

    Sjui tutakuja kupata mtu km JPM jmn yule mwamba akiwa popote ,kwenye tukio lolote waTz mnafurah kwel😂

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 місяців тому

      Huku ni Zanzibar huyo Magufuli hakafanya lolote kubwa la kusema ashangiriwe na Wazanzibari
      Rais Samia katufanyia mengi tunampenda hadi munapiga kelele anapendelea kwao
      Acheni chuki na choyo

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 11 місяців тому +1

      Huku ni Zanzibar huyo Magufuli hajafanya lolote kubwa la kusema ashangiriwe na Wazanzibari
      Rais Samia katufanyia mengi tunampenda hadi munapiga kelele anapendelea kwao
      Acheni chuki na choyo

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      ​@@OmerSuley-gl7gomfyuuu nyoko Kweli wew 😊

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx 11 місяців тому

      @@OmerSuley-gl7go Magufuli asingweza kushangiliwa Z'bar ila anashangiliwa South Africa hcho kijiji cha Zenj hamna haja

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx 11 місяців тому

      @@OmerSuley-gl7go Kwhy hapo huyo Samia ndio ameshangiliwa hvo😅😅😅 ndio maana nasema angekuwa mwamba JPM ndio ungejua vile watu hushangiliwa 😅

  • @MohamediBakari-k4f
    @MohamediBakari-k4f 11 місяців тому

    Hivi ni nn maana ya wimbo wa Taifa nin? Mbona wengne wamefuata sheria na wengnn wanatembea

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 11 місяців тому +1

    Acha kusumbua watu Dada

  • @DouglasMasinde-mp6hx
    @DouglasMasinde-mp6hx 10 місяців тому

    Inasaidia nini

  • @mcdanford5389
    @mcdanford5389 11 місяців тому

    Hivi wapiga picha wao huwa wanaruhusiwa kutembe tembea wakati wimbo unapigwa

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 11 місяців тому

    Mbona mnaponda maendeo nyinyi...hivi kuna nchi gani ulimwenguni isiyokua na sherehe?.
    Hivi hamuangalii huko Nchi za Bara Ulaya, Asia, America na Nchi za Africa.!!??
    Hivi wewe kwako hufurahii na kusherehekea ama?..
    Tuwachieni tusherehekee na kufurahi kwa pmoja wa Tanzania kwani hii amani tu tuliyonayo sio jambo dogo na nchi nyingi zinapaswa kuiga kwetu namna viingozi wetu wanavodumisha na kuilinda amani yq nchi hii.
    Ila pia maendeleo tunayaona alhamdulillah..So tusiwe tunaponda tuuu kila kitu.
    **WE LOVE OUR PRESIDENTS ( TZ & ZNZ)**

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 11 місяців тому

    ✌️👍👊。

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 10 місяців тому

    Nchi imejaa zikki

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 10 місяців тому

    Kumbe

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 10 місяців тому

    Shida tupu kelele tu

  • @mosesmgomba-n6e
    @mosesmgomba-n6e 11 місяців тому

    H😮