Kiukweli bima naomba mjitafakari upya bado sijapenda utoaji wenu wa huduma bcz kwanza kujisajili tu ni shidaa sana kila mtu anaongea lake pia malipo kwa hosp za prvt nichangamoto kubwa shirikisheni wadau mbali mbali ili muweze kupata mawazo mazurii.
Ishaurini serikali itenge chanzo cha uhakika cha mapato ili kiweze kusaidia hizo gharama zinazo wazidi kwamfano mapato yoote ya mbuga kama ya serengeti yasingeguswa ili yaingie kwenye huu mfuko ili karibia kila m tz apate huduma nzurii.
Iko very shallow, mambo mengi hamjaeleza.hizo gharama za vifurushi za 250000 ni kwa mtu mmoja au kwa alio ambatana nao (najali) .gharama ya hivyo vingine hamjaeleza ,mko kama mna tuzugazuga tu, jipangeni mtuelimishe vizuri...
Pia ukikata bima ya mtoto pekee kadi inapatikana baada ya mda gani mana inahitajika kwaajiri ya shuleni mtoto anakaa bwenini hivyo anapaswa kuwa na bima ya afya, so je ikikatwa kadi inapatikana ndani ya mda gani ama mnatoa kitu gani cha kuonyesha itapatikana ndani ya siku kadhaa
@@marylusinde6717huwa inalipiwa kwa mwaka , yaani kila mwaka unahuisha uanachama wako, lakini pia unaweza kupiga namba ya kituo cha huduma kwa wateja 199 bure kwa maelezo zaidi.
@@zuwenasalim2794 hapa unachagua kifurushi kati ya najali afya, wekeza afya au timiza afya, lakini pia unaangalia na upo katika umri gani kwa sababu virushi vimegawanywa kwa umri kuanzia miaka 18 -35, miaka 36-59 na miaka 60 nakuendelea.
Unaweza kufika katika ofisi za mwenyekiti wa mtaa kujaza taarifa zako, na kupata utaratibu wa kupatiwa kitambulisho au namba ya NIDA baada ya kusajiliwa.
Je muhusika alifariki inakuwaje?
Habari.
Nashauri kungekua na kifurushi cha familia inayoishi bila ndoa.
Kwakweli
ufafanuzi mzuri sana Hongera sana NHIF
Kwenye TV naongea vema lakini ikifika utoaji huduma mnakuwa very complicated hakuna siku mmenikera Kama leo
Wapedwa naomba kujuwa kifurushi cha mama na mtoto Kwa mwaka kinagarimu kiasi gani please
Kiukweli bima naomba mjitafakari upya bado sijapenda utoaji wenu wa huduma bcz kwanza kujisajili tu ni shidaa sana kila mtu anaongea lake pia malipo kwa hosp za prvt nichangamoto kubwa shirikisheni wadau mbali mbali ili muweze kupata mawazo mazurii.
Bei yakifurush chatt moja bei gan
Asante NHIF nataka kujua ya familia shngap
piga 199 bure kwa maelezo zaidi
Jmn mtuwekee n namb tujue tunapataj hiz bima
mimi ni mstafu nataka bima bira ndoa naomba maelekezo
Namba ya huduma kwa wateja haipatikani
Tusaidien ss wazaz tulokua njee tunataka kujui bei zavifurush zawatt
Je watoto azia miaka 0 . Hadi 17 nisaidie
Mimi nipo Pemba office yenu Iko wapi?
Ishaurini serikali itenge chanzo cha uhakika cha mapato ili kiweze kusaidia hizo gharama zinazo wazidi kwamfano mapato yoote ya mbuga kama ya serengeti yasingeguswa ili yaingie kwenye huu mfuko ili karibia kila m tz apate huduma nzurii.
Vip kuhusu bima ya kikund
Nataka kifurishi mnapatikana wapi nipeni namba
Huo uchangiaji ni kila mwezi au kwa mwaka. Na pia mbona hamnaweka sehemu ya mtoto tu!maana kunawatoto wengine hawana wazazi inakuaje
Bima ya mtoto inapatikanaje na bei gani
Kwa nini mmeondoa bima ya watoto wachanga miaka 0-5?
Mimi nahitaji kujua ikiwa nahitaji bima ya mtu mmoja kuanzia miaka 40 maelekezo
Iko very shallow, mambo mengi hamjaeleza.hizo gharama za vifurushi za 250000 ni kwa mtu mmoja au kwa alio ambatana nao (najali) .gharama ya hivyo vingine hamjaeleza ,mko kama mna tuzugazuga tu, jipangeni mtuelimishe vizuri...
Unapokuwa na bima ya afya ukaugua na kulanzwa nakuongezewa damu inabindi uchangie tena damu
Nmeona kwenye website mmeandika kwamba mtu anaweza kulipa kwa kudunduliza kupitia benki washirika, hapa malipo yanagawanywa vipi?
Hapa unapewa kipindi cha mwaka mmoja na unaweza kulipa kwa kipindi cha miezi mitatu mitatu.
Je mtu mwenye bima akishindwa kuilipa iyo gerama inakuaje
Pia ukikata bima ya mtoto pekee kadi inapatikana baada ya mda gani mana inahitajika kwaajiri ya shuleni mtoto anakaa bwenini hivyo anapaswa kuwa na bima ya afya, so je ikikatwa kadi inapatikana ndani ya mda gani ama mnatoa kitu gani cha kuonyesha itapatikana ndani ya siku kadhaa
Inapatikana ndani ya siku 90, utapata ujumbe kwenye simu yako ya mkononi
Leo nimeenda kupima damu naambiwa vipimo vingine havipo ktk bima
Mna patikana wap naitaji bima
Jaman naulzia nikishakata bima huwa naweza kutumia baada ya muda gan???
Ukishakata bima unaweza anza kutumia baada ya mwezi mmoja,
Naomba vingezo vya bima ya afya
Unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa NIDA
Naomba kufahamu kama nikijiunga, bima yangu inaanza kufanya kazi kwa muda gani?
Vifurushi inaanza kufanya kazi baada ya siku 30 toka umefanya malipo, na kwa Toto Afya kadi inafanya kazi baada ya siku 90 toka siku uliyofanya malipo
Mnapatikana wapi
tuna ofisi kwenye Mikoa yote Tanzania bara na zanzibar, piga namba 199 kwa msaada zaidi
Mueke na namba
piga namba ya 199 kituo cha huduma kwa wateja, namba hii ni bure
Je kwa wilaya ya ubungo ofisi zenu zinapatikana wapi
PSSSF tower opposite na Mlimani City
Samahani kifurushi cha timiz afya.beigani
Shida yangu kulipia bima ya mwanangu muda umefika nafanyaje
Unaweza fika kwenye Ofisi zilizo karibu nawe au ukapiga *152*00# na kufuata malekezo ya namna ya kulipia
Utapata control namba utakayoilipia ili upate uhakika wa matibabu
Vp bima ya miaka kumi ni bei gani??
karibu, unaamanisha bima ya mtu mwenye umri wa miaka kumi au kipindi cha miaka kumi, naomba ufafanue
@@nhifonlinetv5525 na maanisha kipindi cha miaka kumi inakuwaje gharama zake kwa mtu mmoja
@@marylusinde6717huwa inalipiwa kwa mwaka , yaani kila mwaka unahuisha uanachama wako, lakini pia unaweza kupiga namba ya kituo cha huduma kwa wateja 199 bure kwa maelezo zaidi.
Vifulushi vya Voda nitavipateje
mnakera mko very complicated
Je ukikata bima tayar inatumika Kwa miaka mingap
kila mwaka unalipia kulingana na kiwango cha kifurushi ulichochagua
Hbr naomba maelekezo ya kifushi cha laki2
karibu, piga namba 199 bure kwa ufafanuzi zaidi
Naomba kuuliza bima kubwa ambayo naweza kuingia Agakani,TMJ, bila ya rufaa nikifuurush gn na Cha bei gn?
huduma za Bima ya Afya/ vifurushi vya bima zinaanzia ngazi ya chini kwenda juu, mfano unaanzia kituo cha afya au hospitali ya wilaya na kadhalika.
@@nhifonlinetv5525 mm naitaji kubwa niipi
@@zuwenasalim2794 hapa unachagua kifurushi kati ya najali afya, wekeza afya au timiza afya, lakini pia unaangalia na upo katika umri gani kwa sababu virushi vimegawanywa kwa umri kuanzia miaka 18 -35, miaka 36-59 na miaka 60 nakuendelea.
@@zuwenasalim2794pia utaangalia kama ni wewe na mtoto au mweza . Utachagua humo
Natamani namie nijue garama yake kama nitaweza nikipate ili nikamuone doc wa meno
Tunataka mawasilionoo ilii tujuwe tunajiungaje tunahitaji
Piga 199 bure, karibu
Dada ang anataka bima ya afya
karibu, piga 199 kwa maelezo zaidi.
?????????
Na kama huna kitambulisho cha nida inakuwajee
Unaweza kufika katika ofisi za mwenyekiti wa mtaa kujaza taarifa zako, na kupata utaratibu wa kupatiwa kitambulisho au namba ya NIDA baada ya kusajiliwa.
Mambo ya rufaa ndo yananichoshaaaa
Kama mzazi anataka kumlipia bima mtoto wa miaka 7 peke yake utaratibu upoje
gharama yake ni 50,400 kwa mwaka,
passport size 1
kitambulisho cha kuzaliwa
kadi itakua tayari kwa matumizi baada ya siku 90
NIDA ya mzazi
Kumlipia bima mtoto wa miaka 13 ni sh ngapi?.
Bima ya mmoja mtu mzima ya miaka kumi inakuwaje na gharama zake???
fafanua swali, kwa maelezo zaidi piga 199 bure
Jaman naulzia tu ukikata bima hyo ya NHIF inakaa muda gan kutumika
bima hii inatumika kwa muda wa mwaka mmoja, na mwanachama anahuisha uanachama wake kila mwaka
@@nhifonlinetv5525 Kwa mwaka kuhuwisha ni sh.ngapi?
Kuhuisha inategemea na aina ya kifurushi ulichochagua kujiunga nacho
@@nhifonlinetv5525 Sory.Unaweza nipa hata mfano.Ili kuinuliwa ndani ya Moyo wangu.Tafadhali.
@@saimonijonas1471 gharama za kujiunga kwa mwaka ni kuanzia 192,000 kwa mwaka
Nahitaji Bima Ya Mtu Mmoja Wa Miaka 60
piga 199 kwa maelezo zaidi au fika katika ofisi za Mfuko za mkoa uliopo.
Mimi ni kuanzia miaka 36 adi 59 naomba kujua Bei yangu nmjasiliamali mdogo
Unachagua kifurushi kati ya Najali 240,000 kwa mtu mmoja, Wekeza Afya 444,000 na Timiza afya 612,000 kwa mwaka.
Je mtu akiwa na bima tyr na akashindwa kulipa iyo garama mnamfanyaje
Mnapatikana wapi mtu akitka kujiunga
tunapatikana kwenye Mikoa yote Tanzania Bara naZanzibar, au piga simu ya bure 199 kwa msaada zaidi. karibu