Huyo mama ni muongo anajibu kisiasa, wataingiaje wakati hakuna barua ya mwongozo wowote shule zamisingi huko vijijini. Ukienda shuleni mwl anakwambia hatuna taarifa hizo hii ikoje. Aache siasia
Mimi ninawatoto wa 3 ivyo viturushi mlivyoweka vya familia garama ipojuuu Sana 720,000 Kwa mwaka Mimi kipatochangu nidogo akiwezi kumudu kulipa iyoela, maoniyangu mrudishie tuu iyoelfu 50400 kwakila mtoto hapo wengi tutaweza kulipia

Wengine hawasomi private wanasoma st kayumba inakuwaje jaman mbona mnatuumiza
Rudishen utaratibu wa zaman Wazaz wengine vipato vdg
Kuna Shule Azitoi huduma hizo kwa Wanafunzi, na Unakuta huyo Mtoto hana Wazazi afanyeje Ili Apate Bima ya Afya
Kama uyo mtoto ana mzazi angalieni jamani nyinyi wenzetu mnauwakika wa matibabu amuwezi kujali kabisa afya ya watoto. Akumbukwe baba wa watanzania
Kama mtoto anamzazi halafu shule anayosoma aijajiunga na mfumo wa nhif hapo inakuaje, jamani rudisheni tuuu huoutaratibu wa zamani