Muswada bima ya afya kwa wote Serikali yafumua masharti saba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Miaka 16 ya mchakato wa maandalizi ya Bima ya Afya (UHC) huenda ukahitimishwa katika Bunge litakaloanza mwishoni mwa mwezi ujao Wizara ya Afya itakaposoma muswada wake kwa mara ya pili.
    Muswada huo utasomwa tena bungeni baada ya kutojadiliwa na kupitishwa katika mkutano wa tisa uliofanyika mwezi uliopita kwa kilichoelezwa kuwa ni kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachouwezesh utaratibu huo kuwa endelevu.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @merymrema420
    @merymrema420 Рік тому +1

    Sasa nakama MTU analea wa toto wasiyo wake

  • @zuhurasajiliwa9655
    @zuhurasajiliwa9655 Рік тому

    Sasa mimi mtu mmoja ninabima ya afya 612000 inaoparesheni kubwa 80 lakini mimi nalazimika kutafuta 2850000 ili nifanyiwe oparesheni ya mgongo.Swali hizi oparesheni 80 kubwa ni zipi?Nisaidie dadaangu nimevurugwa na hili

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 Рік тому

    Kama watumishi ni lazima,mbona wanapo staff bima zao hazifanyi kazi?.waziri na Hilo lifanyiwe kazi wasitafu wanapata shida sana wakati wametumikia nchi hii mpaka ikafika hapa tulipo.