Pr. Semba, Mungu akubariki Sana, nafarijika Sana nikipata mafundisho yako. Ila nataman Sana Mungu anipe angalau kidogo namna ya kufundisha hvyo, ili injili iwafikie mataifa wengi.
Mungu atusaidie kuelewa tunayofundishwa na kuelekezwa Utaalam na uduni visitufanye kupata viburi na kujiona tukiwafurahisha wanadam na kusahau kua vyote ni kwa utukufu wa Mungu......Barikiwa saana pastor tunyooshe zaidi...☺️
Thanks pastor. For the truth about music both young and old we are under captivity of the lord of this world thank you and thank you. May the Lord God open inner ears of listeners to understand the truth about music
@@paulsemba_TV PASTA BWANA AKUBARIKI ULISEMA KUNA MASOMO YA MZIKI HAYAKUREKODIWA KAMA MANNE JE GHARAMA YAKE INAWEZA KUWA SH; NGAPI ILI TUZITAFUTE ILI UKIPATA NAFASI UYARUDIE.
I sincerely thank God for this truth... May God help me to be a blessing to others even in music... I will share and do my honest part.... Help me on God of all mercy!!!!
Suala la Muziki na falsafa ya muziki wa kiadventista ndio muhimu Sana kuzingatiwa, inaonekana Kuna ugumu kwa kwaya nyjngi za makanisa na wengi wamekuwa wakidai kuwa wanasumbuliwa, Mungu atusaidie kuwa na njozi ya kurejesha muziki wa Mungu, tukiweza kuwa handle vijana na kwaya zao tukawapatia elimu ya kutosha baaade tutaona matokeo makubwa na mabadiliko ya kutia moyo kwenye nyumba zetu za ibada. Maana inafikia hatua hata washiriki wa kanisa wanalalamikia wachungaji kuwa ohohoh "mnatuletea kwaya zinatuimbia nyimbo za kristo"?. Wengine wanasema hii kwaya haichangamshi ni uasi mkubwa unalikabili kabisa la Bwana. MUNGU ATUSAIDIE SANA KWA MAANA HUU NDIO WAKATI AMBAO ROHO WA MUNGU ANATOWEKA NA HUU HUU WENGINE WANAJAZWA NA HUYO ROHO.
Samahani pastor nimekua nikifufuatilia siku nyingi kwa mafundisho yako Ukikemea mambo mbalimbali yanayo fanywa na waumini kinyume na neno la Mungu kama kusuka nywele, kuva milegezo, kunyoa denge. Pia leo umeguzia mziki Lkn mbona haya mambo yanaendelea ndani ya makanisa? Mimi naona kama hakuna kinachobadilika? Samahani pastor usinielewe vibaya swali langu Mimi nazani pengine shida ipo, mwachungaji mliangalie kiundanj
Wakati nasikiliza hii speech nilianza kwa kuzunika mno, lakini baadae nilijikuta nacheka!!! YESU PONYA NAFSI ZETU KWENYE MZIKI. Nilikuwa najiuliza sasa tuimbe vipi???? YESU tufundishe jinsi ya kufanya ibada ya muziki
Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yanayotubariki. Mwenye masikio asikie.
Amen Yesu kristo atuongoze vema
Ungetoa mfano kadha pia wa nyimbo nzuri ya kisabato
Pr. Semba, Mungu akubariki Sana, nafarijika Sana nikipata mafundisho yako. Ila nataman Sana Mungu anipe angalau kidogo namna ya kufundisha hvyo, ili injili iwafikie mataifa wengi.
AMINA
Hakika Nami nafarijika sana sana Mungu akutumie zaidi Pastor PR.samba Ila nataman sana kupata namba yako
Mungu atusaidie kuelewa tunayofundishwa na kuelekezwa Utaalam na uduni visitufanye kupata viburi na kujiona tukiwafurahisha wanadam na kusahau kua vyote ni kwa utukufu wa Mungu......Barikiwa saana pastor tunyooshe zaidi...☺️
Thanks pastor. For the truth about music both young and old we are under captivity of the lord of this world thank you and thank you. May the Lord God open inner ears of listeners to understand the truth about music
AMEN
@@paulsemba_TV PASTA BWANA AKUBARIKI ULISEMA KUNA MASOMO YA MZIKI HAYAKUREKODIWA KAMA MANNE JE GHARAMA YAKE INAWEZA KUWA SH; NGAPI ILI TUZITAFUTE ILI UKIPATA NAFASI UYARUDIE.
Asante sana kwa somo nimelingojra kwa hamu kubwa Mungu awabariki.
AMINA
Kanisa linahitaji haya maarifa sana, ahsante pr
Dah! God bless you abundantly pastor Semba,
Amina 🇨🇩
MUNGU akubariki sana mtu wa MUNGU
AMINA
Nimetokea kumshukuru sana Mungu kwa ajili ya Pr. Paul Semba
I sincerely thank God for this truth... May God help me to be a blessing to others even in music... I will share and do my honest part.... Help me on God of all mercy!!!!
AMEN
Kituo cha mabibo UDSM pia tuna barikiwa sana na mahubiri haya
Barikiwa sana pastors haya mafundisho nitayanakiri na mm nikayafundishe .. nipo Nairobi kenya
AMINA, BWANA AKUTANGULIE
Hey there I m felling the blessings
😂😂😂😂 pastor kumbe hata kuimba unajua kwenye hiyo tafuta utakatifu 😂😂
Wakati umefika sasa tujue upi mziki wa kisabato na wachungaji watuelekeze
The LORD IS MY SONG
Suala la Muziki na falsafa ya muziki wa kiadventista ndio muhimu Sana kuzingatiwa, inaonekana Kuna ugumu kwa kwaya nyjngi za makanisa na wengi wamekuwa wakidai kuwa wanasumbuliwa, Mungu atusaidie kuwa na njozi ya kurejesha muziki wa Mungu, tukiweza kuwa handle vijana na kwaya zao tukawapatia elimu ya kutosha baaade tutaona matokeo makubwa na mabadiliko ya kutia moyo kwenye nyumba zetu za ibada.
Maana inafikia hatua hata washiriki wa kanisa wanalalamikia wachungaji kuwa ohohoh "mnatuletea kwaya zinatuimbia nyimbo za kristo"?.
Wengine wanasema hii kwaya haichangamshi ni uasi mkubwa unalikabili kabisa la Bwana.
MUNGU ATUSAIDIE SANA KWA MAANA HUU NDIO WAKATI AMBAO ROHO WA MUNGU ANATOWEKA NA HUU HUU WENGINE WANAJAZWA NA HUYO ROHO.
Nimejifunza baadhi ya mambo nilikuwa sijui. Mungu azidi kukutumia
AMINA
M/kiti Zabron Singers nimekuelewa
BWANA ATUJALIE SOTE KUISHI MAPENZI YAKE
Sasa mchungaji nyimbo zichezwe na style ipi sasa yenye mamlaka ya bingu
Pr, mbona hili hubiri haikubali kudownload.
Mchungaji masomo yote ya mziki tunaomba yawekwe kwa mtandao.
KWA SABABU ZISIZO NDANI YA UWEZO WANGU, MASOMO MANNE HAYAKUREKODIWA. MATANO YA MWISHO YATAKUWA HEWANI JUMA HILI
@@paulsemba_TV Amen mtumishi ubarikiwe
this TRuTH has to go everywhere🙏🙏
AMEN
Samahani pastor nimekua nikifufuatilia siku nyingi kwa mafundisho yako
Ukikemea mambo mbalimbali yanayo fanywa na waumini kinyume na neno la Mungu kama kusuka nywele, kuva milegezo, kunyoa denge. Pia leo umeguzia mziki
Lkn mbona haya mambo yanaendelea ndani ya makanisa?
Mimi naona kama hakuna kinachobadilika?
Samahani pastor usinielewe vibaya swali langu
Mimi nazani pengine shida ipo, mwachungaji mliangalie kiundanj
kumbe ndio maana Shetani anafwatilia walio na vya kwake
Kishindo cha wakoma kumbe Ni legae, hahahaha, tumekwisha. Mungu akubariki pr kwa mafundisho haya
✋
Asante tena pr
TUNAOMBA MTUWEKEE VIDEO KWENYE MP4 ILI ITULAHISISHIE KUPLAY POPOTE
Je wimbo wa jazz unahesabiwa wapi
Thanks Pr
Pr Asante kwa somo
But Naomba hayo masomo ya ngewekwa kwenye flash ili tununue tubaki nayo Tuendelee kujifunza
AHASANTE
Pastor hizi nyimbo mbili kishindo na mkono wa Bwana si nyimbo zetu lkn sie Sda?? Na vile ni nyimbo zinazopendwa kumbe mziki uliotumka haufai!
@geraldmwangira.4978 ni Kweli hizo nyimbo zinapendwa, Je, hao wanaozipenda wanaongolewa au wanaburudishwa tu na kubaki kama walivyo?
Wakati nasikiliza hii speech nilianza kwa kuzunika mno, lakini baadae nilijikuta nacheka!!! YESU PONYA NAFSI ZETU KWENYE MZIKI. Nilikuwa najiuliza sasa tuimbe vipi???? YESU tufundishe jinsi ya kufanya ibada ya muziki
😂😂😂 nikweli hata Mimi nilijiuliza ivyo Bwana atusaidie sana 🙏