Padre Dkt Kamugisha:"Asiyeweza anadharau"/Kisasi muachie Mungu/Ukitukanwa potezea" Dhamiri inalelewa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mt Yohana Muzeyi Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu 'NENO LA PILI KWA YESU MSALABANI'' hii ni sehemu ya pili ya mafundisho haya.
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

КОМЕНТАРІ • 23

  • @philiponjalika5769
    @philiponjalika5769 Рік тому +3

    Nabarikiwa sana kwa mahubiri yanayoufanya moyo wangu uyawaze yaliyo yakimungu

  • @amanmallya8149
    @amanmallya8149 2 роки тому +2

    Mungu akupe umri mrefu father uzidi kuinjilisha

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Tumsifu yesu kristor milele amina

  • @TitusNiwemugizi
    @TitusNiwemugizi 2 роки тому +3

    Asante kwa tafakari

    • @nicolaussilayo8873
      @nicolaussilayo8873 2 роки тому

      Baba mafundisho yako yanatia nguvu ninapoingia katika magumu ya kukata tamaa naimarishwa na mafundisho yako

    • @nicolaussilayo8873
      @nicolaussilayo8873 2 роки тому

      Karibu jimbo la Moshi parokia ya Lowerere

  • @africabosco5407
    @africabosco5407 2 роки тому +1

    Baba mungu aendee kukubariki sana mafundisho yako yaninigusa sana

  • @kamazimamgara5760
    @kamazimamgara5760 2 роки тому +4

    Mafunzo yako baba Ni dila ya maisha yangu Mungu akuzidishie nguvu uzidi kunifunza🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @MonicaEliud-iy4lu
    @MonicaEliud-iy4lu Рік тому

    Amin

  • @leontinaaugustine4337
    @leontinaaugustine4337 Рік тому

    Amina nimebarikiwa naneno

  • @veronikadurangw9597
    @veronikadurangw9597 Рік тому

    Baba mungu akupe maisha marefu ila matusi mengine yanaumiza hasa mtu akutukanie wazazi wako inauma sana hasa ukiangalia hayupo katika ulimwengu huu

  • @dominicblass4319
    @dominicblass4319 2 роки тому

    Tyk baba,nabarikiwa Sana na mafundisho yako, mungu azidi kukupa maisha marefu na afya njema.dom wa dsm

  • @lilycheruiyot1427
    @lilycheruiyot1427 2 роки тому

    God bless you father 🙏 lhave learn something

  • @edwinerdwardsway3339
    @edwinerdwardsway3339 2 роки тому

    Amina padre

  • @jacquelineshirima4017
    @jacquelineshirima4017 2 роки тому

    Oooh Mungu akubariki padri ninapata faraja kwa mafundisho yako, Damu ya Yesu ikufunike baba!!

  • @vitusmrosso8643
    @vitusmrosso8643 2 роки тому

    Dominka ya 21

  • @prossynakaganda5039
    @prossynakaganda5039 2 роки тому

    Proscovia Patrick nipo napotezea

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Mtumishi tusi linaumiza sijui kams mtu atapotezea na hasa Wanaumia

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Kanisa zuri ila watu bado wako mitaani hawataki kusali kama wazungu wa Marekani na canada

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Рік тому

    Amina

  • @MonicaEliud-iy4lu
    @MonicaEliud-iy4lu Рік тому

    Amina

  • @yuliasamwel9967
    @yuliasamwel9967 Рік тому

    Amina

  • @Irene-qt5zq
    @Irene-qt5zq 2 роки тому

    Amina