Padre Dkt Faustine Kamugisha: "Tatizo sio Muda"/ Sali sala za mishale
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Ni mafundisho ya kioa Juma katika Kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba, Mafundisho yanayoletwa kwako naye Padre Dkt Faustine Kamugisha Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba.Waweza Tazama:Imani Yako Imsaidie Mwingine-Mbebe kwa Yesu
• Imani Yako Imsaidie Mw...
Barikiwa mtumishi wako,Yesu nikumbuke n'a familia n'a inchi yangu
Amina Baba, hata mi Nimejibiwa jibu la Sala.nilimuomba MUNGU mwanangu akimaliza chuo Mzumbe apate kazi.Amepata Selikarin😍🙏🙏🙏
aeant mungu kwa kutupatia mtumishi wako mafundisho yako yamenifungua pakubwa,amen
Yesu nakushukuru kwa ufahamu wa mambo haya, Yesu naomba unikumbuke.
Amina. Baba Mungu akubariki . Mafundisho yako yananibariki na sijasahaulika.
Mungu akubariki sana kwa mafundisho baba
Baba Asante kwakutupa padre kuzi fufua roho zetu Amina
Tyk baba, nakuombea afya njema.
Amina mtumishi umenifungua pakubwa yesu nisaidie
Yesu nikumbuke mimi na uzao wangu
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI NA AKUKUMBUKE KWA UTUME WAKO
Bwana yesu naomba unikumbuke
Ubarikiwe sana baba kwa mafundisho mazuri na nimepata neno LA kusimami asante sana
Asante Sana Mtumishi was Mungu umeniponya Sana ameen
Asante kwa mafundisho
Barikiwa sana baba Kwa kutufundisha maana ya sala ya mshale ni muhimu ktk maisha Yetu.
Very good 👍
Amina baba padiri kw maubili mazuri
Asante Mungu kwa mtumishi wako kuendelea kutupa mafundisho yaliyo sahihi
Nashukuru mungu unikimbuke n Mimi🙏🙏🙏🙏
Amina baba niombee na mimi Yesu anikumbuke katika maisha yangu na mwenzi wangu. Naomba unisaidie kuimba nshamwambia sana Yesu lakin bado hajasikia kilio changu chote. Wito nikionnao ni mzito mno padri niaidie
Yesu nikumbuke
father is good Gog bless you
Padre ubarikiwe sana Kwa mahubiri mazuri amen awe bwana akukumbuke katika huduma Yako 🎉❤
May God bless you father 🙏🙏
Yesu unikumbuke
I wish tungepata father kama huyu uku Kenya...May the almighty God bless you father..u are so encouraging 🙏
May God bless you Father ... You are such a blessing to us.......
Ahsante baba kwa mafundisho mazuri
nashukuru baba faustin kamugisha kwa ujumbe mzuri hakika unatusaidia sana hasa kwa nyakati ngumu katika maisha yetu
Bwana yesu ninajiungamanisha na madhabu takatifu ninaomba nipokee uponyaji was macho kwa jina LA yesu kristo aliye hai kupitia mtakatifu disk ninaomba mungu nipokee uponya was macho nipone kabisa we Yesu nikumbuke
Amen baba padri napenda Sana kusikiliza mahubiri yako
Unikumbuke ee.yesu ktk familia yangu tukujue zaidi.
Amen 🙌 kusema ukweli nmeguzwa na haya mafunzo ewe mwenyezi mungu unikumbuke🙏🙏🙌🙌🙌
asante baba kamugisha omukama akwebembele
God bless you so much father
Amina
Amin ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mwenyezi Mungu akubariki sana mwalimu kamugisha🙏
Nakuelewa sana Parde.
Amina Fr barikiwa
Amina Baba
Amina kwa tafakali
Namshukuru kwa kutulisha neno la mungu
Baba Yuko vzuri sana
Yesu nikumbuke mimi ni sala iliokumbukwa, Aminaa barikiwa sana father
Baba tumsifu Yesu Kritu kwa humilia yako Baba imenigusa kuhus u neno Baba nikumbuke naomba Baba Kama kunauwezekano wa kutembelea Parokea naomba ufanye hivyo Kama itakupendeza haswa kigango Cha Bikiramara Cha Parokia ya Y .M .Mwinjli Tegeta
Tumusifu Yesu kristo Baba , nafurahi sana kila ninapokusikiliza ukiubiri, nakuomba jitahidi uje kenya , you make me happy my fr, am from rubya parish per now am in nairobi kenya in apostles of jesus missionary institute , i beg you prayer my fr while your praying so that i may get the courage of preaching like you my fr
Asante sana padre mafundisho yako yananibariki sana 🙏🏻
Eeh mungu unikumbuke katika maisha yangu yote
Amina. Yesu nikumbuke
Nimebarikiwa amina
God bless you
Aminaaaa Aminaa barikiwa sana father Kamgisha Mungu akutunze
Amina sana baba padre
Amina baba Mungu akubariki
AMEN
Asante sana kwa neno la kujenga
Eh Yesu wa nyakati zote, naomba unikumbuke🙏
Ubarikiwe father
Fr MUNGU wetu azdi kukupa afya njema.
May the Almighty God bless you abundantly.
God bless you Father..🙏🙏
Amina, Amina Baba🙏🙏
Amen!!!!
Mungu nikumbuke ninapokuomba.
Tatizo siyo tatizo si kamgisha
Eeh Yesu nikumbuke utakopoingia katika ufalme wako
Kanyanyaziii..............somo la "vitu vya samani vinafichwa ungelirudia mda ulikuwa mchachee n ombi tu baba
Naomba namba ya father plz,,niko kenya
Naombeni namba ya kamgisha
Namba yangu 0759900122
Yesu nikumbuke
Amina
Amina padre
Ubarikiwe padre
Ubarikiwe sana padre