ASKOFU MWANAMAPINDUZI AMVAA KATIBU MKUU WA CCM EMMANUEL NCHIMBI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 80

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 22 дні тому +11

    Pigeni kazi watu wa Mungu, na Mungu atakubariki

  • @user-ii3xo5jw9y
    @user-ii3xo5jw9y 21 день тому +6

    Mchungaji Ubarikiwe. Jua kuwa wakati wakuu wa majambazi walipo mtaka kumsurubisha Yesu, walisema amejiita mwana wa Mungu. Na Chimbi na Mamluki Binti wa kizimkazi wanatangatanga, Watayafanya yote HAKI ITABAKI KUITWA HAKI
    USIOGOPE.

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 21 день тому

      Amina,umeongea vyema mchungaji unaejitambua.Mungu azidi kukulinda kila hatua ya maisha yako mpaka Tanganyika ikombolewe! Wachungaji wengine msiwe machawa na vibaraka wa shetani ccm! Igeni mfano wa huyu mchungaji Maximillian. Wachungaji wengine nao amkeni mtetee Taifa na haki kwa wananchi ili tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Msipokemea uovu kwa Tamaa zenu za kuhongwa vipande vya fedha mnaacha Taifa linauzwa na rasilimali zinauzwa, mtalaaniwa ninyi na huduma zenu za uchungaji Mungu ataziua!

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 22 дні тому +3

    Askofu uko vizuri, endelea kupiga spana hawana uwezo wa kampeni hawa

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 21 день тому +3

    Amina baba askofu tuliona kitambo

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 20 днів тому +2

    Watu wa Mungu Msirudi Nyuma Endeleeni Kupiga Spana Mpaka CCM Waelewe Wajue Hawajui na Hawafai"

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 21 день тому +3

    Nilikuwa sijui,kumbe watu wa kulipigania Taifa wapo tu.Hawa mbwa wa ccm mwaka huu watachamba wima.

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 20 днів тому +1

    Safi sana ...nchi hii ccm iwe mwisho kwanza huyo samia aipend Tanganyika maana ule mkataba wa bandari haufai..kwann zanzibar aipo

  • @charlesmahuna
    @charlesmahuna 19 днів тому

    Et CCM mh Chama cha maajabu

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 22 дні тому +4

    Mungu wa mbinguni awabariki wote wanachadema wapiganji,hii nchi ni ya usawa wote!!!,si ya Ccm peke yake wala si ya chadema peke yake,ila kwa Sasa kunatabaka sn maana wakiongea Ccm wanaona km wenyewe wk sahihi kufanya lolote,bali wakiongea wa chadema Ccm wanaona hawako sahihi wanachadema kuongea,km wote ni watoto wa baba mmoja hizo tabaka Wana Ccm ni za nini?ni kwa nini tusiijenge nchi yetu na kuwa ni wamoja,na mkaagaria wapi mlikosea Wana Ccm,kuliko hivi ilivyo Sasa tunakoelekea sivyo!!!yasikilizeni mawazo ya wananchi wt myafanyiye kazi msiyapuuze,sisi watanganyika ni wa pole sn lakini tunakoelekea?

  • @JAMESSIKIMAI
    @JAMESSIKIMAI 19 днів тому

    Huyu si mtumishi wa mungu bali kanunuliwa tyu hamna chochote mungu akusaidie ufahamu kusudi lake duniani CCM milele Mama mlezi wa wana yuko kazini 2025 mitano tena kwake

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 21 день тому +2

    Sema pasta wamezoea kudandia ccm

  • @user-pz7zi2bf1w
    @user-pz7zi2bf1w 22 дні тому +4

    Asikofu imara

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 21 день тому +2

    Hata hivyo Mh, Asikofu Nchi imekuwa ya ovyo hasa makodi Rukuki lakini bado Hali yatu ndiyo inazidi kuwa mbaya zaidi

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 22 дні тому +4

    Pigieni kazi hawana lolote Hawa CCM

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 22 дні тому +2

    Asante Askofu

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 19 днів тому

    BARIKIWA

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 22 дні тому +4

    Huyu mwamba mwenye mkofia ndio muandishi wa habari nini?mbona haandiki kama anachora

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi 21 день тому

    Ahaahaa! Nimecheka sana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 дні тому +1

    👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 21 день тому

    Pastor 🙏

  • @timothchidebwe
    @timothchidebwe 20 днів тому

    Ccm .wajibu. .hoja la .sivyo
    Matokeo .mttayaona

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 22 дні тому +1

    Acha hiyo 😂😂

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 22 дні тому +1

    ✌️✌️✌️✌️

  • @daudingungu802
    @daudingungu802 19 днів тому

    Duuuh huyu kaongea na lisu akajua mungu

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 19 днів тому

    Et asikofu unajua maana ya asikofu vua kwanda anza siasa huna sera ya mtu mwenye akili akakuelewa makolo ndio wanakuelewa

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 20 днів тому

    Asante

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 22 дні тому +1

    Sisi tuliisha chochewa na matendo Yao waache woga

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 20 днів тому

    Watatuangamiza hawa ni wa baguzi wa dini.hii haikjbaliki kabisa. Hatutaki ibaguzi katika nchi yetu

  • @BarakaMachumu
    @BarakaMachumu 19 днів тому

    Eleza sera za chadema si kuongea mambo ya ccm, mkishika dora mtatufanyia nn sisi wananchi

  • @zacharianjanga
    @zacharianjanga 19 днів тому

    mchungaji waumini kanisani kwako wamegoma kutoa sadaka umekimbilia huko nako wameshaisha

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 20 днів тому

    Kuna bwana mmoja hapo kila saa camera inamuonyesha ana diary ana notes vitu sijajua inamaana gani!!!

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 19 днів тому

    Hii takataka imetokea wap?

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 19 днів тому

    Askofu uzungumze kwa sauti ingine hiyo ni sauti ya udikteta fikiria unayosema kabla ya kusungumza sorry

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 20 днів тому

    Yule polisi Hai aliyemwambia Mbowe hashindi mbona hawakumhoji?

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 20 днів тому

    Jembe na Nyundo ni silaha wakat anakula wali na hajui kazi ya jembe,anakalia sofa na hajui Kaz ya Nyundo 🤔

  • @user-ej5ir5pu7r
    @user-ej5ir5pu7r 20 днів тому

    We kama unatakasiasa sema tu nabado mpaka usemeeeee

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 22 дні тому

    Miaka ya nyuma rais wa Nigeria aliwahi kumteua waziri marehemu

  • @jamespeter2187
    @jamespeter2187 19 днів тому

    Acha uchoko ww utatolewa Malinda muda c mrefu

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 22 дні тому

    Serikali hii imetia aibu sana inateua mtu aliyefaliki 😅

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 19 днів тому

    I👨🏿‍🤝‍👨🏻👨🏿‍🤝‍👨🏻👁️😭📘📘💯

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 22 дні тому +1

    Chama cha😂 maaakofu chadema

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 21 день тому

    Chadema Mmepotea Maaskofu Wamewaharibia Udini Umeonekana Mbona Mashehe Hatuwaoni kwenye Mikutano yenu

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 20 днів тому

      Wapo wengi ila wewe kwakuwa una usiccm ndo maana huwaoni

  • @eliudsinkala419
    @eliudsinkala419 19 днів тому

    Hebu tujiridhishe neno l MUNGU linasemaje,kuhusu sifa za askofu.Je huyu ana sifa za kuwa Askofu?

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 21 день тому

    Askofu chapa kazi wanaosema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa mbona wakienda kupiga kula kula zao huwazikatai?

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 22 дні тому

    Ww niasikofu wachadema au wakanisa fanyeni kazi moja nasio mbili unamtumikia nani

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 21 день тому

      Anamtumikia Dada yako!

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 21 день тому

      Gwajima anafanya nini ccm?

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 21 день тому

      Hawawezi jibu Hawa kenge wanajichanganya wenyewe! Huwa wanatawaza kabla hawanya Hawa!​@@SeverinMagwaya

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 19 днів тому

      Kapike chakuka achana na hizi kazi si za vijana achia wanaume... hvi ndio mnakula kodi zetu kuleta wajinga kujibu ujinga kisa hela

    • @SelijusiMalambo-rh6sf
      @SelijusiMalambo-rh6sf 19 днів тому

      @@yokoi3970 sasa ww sibora mjinga unasera gani ya mtu mwenye akili akuelewe wambie makolo wenzako

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 19 днів тому

    Ww ni askofu mjinga na mchawi huna lolote na rais Samia atashinda na utabaki domo wazi mavi ww

  • @adnanidarous3117
    @adnanidarous3117 20 днів тому

    Mchungaji unaongea n mungu 😂
    Mzima lkn ww
    Kumbuka unaongea n wenye akili
    Please tunakupenda ila tengua kauli hio

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 19 днів тому

      Ndio anaongea nae hata ww unaweza kuongea na Mungu wako. Acha ujinga

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 21 день тому +1

    Wachochezi wakubwa Sana badala ya umeleza sera za Chadema mkishika Inch mtaboresha nn mnakuwa kama wambea hamnajipya kila siku Kulalamika na ww asikofu Gani unaeneza uzushi ktk hadhra wewe na hiyo unaye mtaja wote wahuni tu

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 20 днів тому +1

    CHAMA CHA MAASKOFU MTAFELI TU

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 19 днів тому

      Na ww ni chama cha nn mjinga ww

    • @user-ox4fv4cf5l
      @user-ox4fv4cf5l 19 днів тому

      @@yokoi3970 CHAMA CHA WAPIGA DEBE TANZANIA MTAISHIA KUZURURA MTAANI TU

  • @user-kh3fb4nl4w
    @user-kh3fb4nl4w 21 день тому

    Unadanganya na unachochea ujinga uone uaskofu wako ni dini gani

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 19 днів тому

      Leo kula hela zetu karibuni itaisha. Mjinga ww who are you yy ni askofu

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 22 дні тому +2

    Umeshindwa kanisa utaweza siasa

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 22 дні тому +1

    Huyu mwenye kofia nyeusi ndo mkuda wa chama

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 20 днів тому

    Huna sera

  • @user-kh3fb4nl4w
    @user-kh3fb4nl4w 21 день тому

    Ushuru kodi hakuna nchi inavyotaka kuendelea isilipe kodi hata Marekani pekee kila mtu analipa kodi hiyo yote ni uzembe tuone kana mboe kama atawagawia pesa kumbuka lisu alisema atatoa mkoa awape mabeneru ili walipe deni la taifa mkumbuke hilo

  • @user-ej5ir5pu7r
    @user-ej5ir5pu7r 20 днів тому

    Nyie mtaongea mtaishia hayo tuko kimyaa tunasubiri wakumgusa mama tu na udini wenu tafuta waumini upatesadaka au kalime

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 21 день тому

    TUNAJUWA HAMTAKI KIONGOZI MUISLAMU HAMTAFANIKIWA HII NCHI UDINI SIO YA WAKRISTO PEKEYAO MKUMBUKE WAISIL NDIO WALIANZA KUDAI UHURU

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 21 день тому

    Wewe askofu tangaza sera utawafanyia nini Watanzania. Acha uchochezi ww kwani wakisema maisha magumu ww ndo utawagawia pesa? Umeongea wp na Mungu wewe. Acha kejeli

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 20 днів тому

    MWENDAWAZMU TU WEWE....YAANI WEWE MHUNI UONGEE NA MUNGU? ALAFU USITUHUSISHE SISI WAISLAM NA UPUUZI WENU NA CHAMA CHA KIHUNI

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 21 день тому +1

    Askofu gani wewe mjinga nawatu wajinga mnamsikilizi .