🔴LIVE: KIKUNDE MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 4

  • @SaimonSeiti
    @SaimonSeiti 3 дні тому

    Asanteni Mzee mbowe na lema Kwa kuja kututoa kwenye usingizini wa pono people's power ✌️✌️nilikuwepo live leo,

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 3 дні тому +1

    Onyesheni Population Makamanda wetu.

  • @bilid4128
    @bilid4128 2 дні тому

    🔥🔥🔥🔥😅😅😅 Mbowe noma sanaaaa

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 дні тому +1

    Ni kweli CDM mmeelimisha mjini na sasa vijijini pote lakini mjue wana wa giza ni wajanja kuliko wana wa Nuru kwahiyo mkiweza huku,wanatoboa kule, safari hii wataongeza idadi ya polisi kwa kuwavisha wanajeshi kombat za polisi na vyeo vya kipolisi,washawasha, mabomu ya machozi ya kutosha,zoezi la kura likikaribia mwisho mipango inaanza,vurugu zinazushwa, kila mtu kwake, kesho matokeo yanatangazwa,na waliosababisha vurugu kwenye uchaguzi watakua rumande,kesi zao kutajwa, mchezo umeisha....