FREEMAN MBOWE AZUNGUMZIA KUTEKWA KWA EDGAR MWAKEBELA NA KUTUPWA KWENYE PORI LA KATAVI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 7

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 дні тому +2

    Mungu iokoe Tanzania. Mnaokaa kimya , Watanzania wenzangu bila kuiuliza Serikali mna ndugu, mtoto, kaka, baba fikirieni anafanyiwa hivi. Mungu kamnuru aje aeleze waziwazi nani walimteka. Walimfanyia nini. Na kapatikana.
    Inatisha nchi yetu na kuopesha sana.
    Mungu ifungue mioyo ya Watanzania wote na tuukatae huu unyama.wangapi ndugu zetu wameteswa na kupotezwa kwa namna hii.

  • @Noelkitoi
    @Noelkitoi 2 дні тому +2

    Ccm achieni taifa mumeuwa watu wengi ccm ni wanyama

  • @MonayLai
    @MonayLai 2 дні тому +1

    Kwa kweli mungu awalaani hao walimteka

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 дні тому +2

    Inauma sana

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 2 дні тому +2

    Serikali imenyamaza kimya Ila yupo Mungu ,Kijana wa watu walimtesa Ila Mungu sio athumani akamuokoa daa Hii nchi ngumu Sana jamani

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 2 дні тому +1

    duh tunaelekea kubaya

  • @JamesBenedicto-bs2wc
    @JamesBenedicto-bs2wc 2 дні тому +1

    Dha!!!!tunako elekea🎉