🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 202

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  15 днів тому +7

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 15 днів тому +2

      Shida nyie nawaandishi wa Serekali nasio waandishi wa hatari

    • @AlpheusCharisma
      @AlpheusCharisma 15 днів тому

      Ndomaana siku hizi,wote nawaandishi wa mpiratu.
      Hakuna habari zingine Tanzania

    • @EnosiHange-q3b
      @EnosiHange-q3b 9 днів тому

      Enos Hange

    • @EnosiHange-q3b
      @EnosiHange-q3b 9 днів тому

      28:24 Kujiunga tuma global kwenda

  • @BADDAHVIBEZ
    @BADDAHVIBEZ 15 днів тому +15

    Mtu kama Doctor slaa anahitaji kuhojiwa na wandishi wenye❤uwezo wa juu

    • @kpsfilms
      @kpsfilms 14 днів тому +2

      Hata Mimi nakuunga mkono Mkuu

    • @kpsfilms
      @kpsfilms 14 днів тому +1

      Ukimuhoji Mkuu Kama huyu usihofie tumbo lako....

    • @Ebendentalclinic
      @Ebendentalclinic 13 днів тому +1

      presenter anahoji maswali ya hovyo na hana nidhamu,anasema sizungumzii katika nazungumzia chama,sasa kuna chama kisichokua na katiba?,unaezaje kuzungumzia chama kama huitaki katika yake au hauijui?

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 9 днів тому +1

      Kweli kabisa

    • @mindzenly
      @mindzenly 7 днів тому

      @@Ebendentalclinic👏wamemtoa wapi huyu jmn?eti anauliza lengo ni kuiondoa ccm au kumuhudumia mwananchi,what kind of nonsense is that yaani hajua kuiondoa ccm ni faida kwa mwananchi! Mweeh 😢nazima siwezi hata kuendelea.vijana wasomi wako wapi washike hii industry?🤔

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 15 днів тому +11

    Mtangazaji bado sana akajifunze tena kuuliza masuala

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 14 днів тому

      mtangazaji bahati mbaya hajafanya home work yake badala yale anauliza maswali yenye mrengo wa ki ccm au propaganda za ccm ndio anageuza maswali yake

  • @GeorgeKoba
    @GeorgeKoba 13 днів тому +1

    Unafaa saana kaka, mungu akupe maisha Dr

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 14 днів тому +6

    Mwandishi bado sana

  • @FaustineMasaku
    @FaustineMasaku 10 днів тому +1

    Asante mpambanaji

  • @abdallahamin4997
    @abdallahamin4997 15 днів тому +12

    Hapa silaa kaongeya point kubwa sana aiseee.

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 15 днів тому +11

    Uko vizuri mzee wetu wewe ni hazina

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 15 днів тому +16

    tundu lissu ndio suluhisho mbowe must gooo

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 14 днів тому +1

    Mheshimiwa nakuelewasana Mungu akulinde slaha

  • @erickulomi2105
    @erickulomi2105 14 днів тому +5

    Mwandishi wa mchongo huyu akili ndogo akahoji kina wenje sio watu werevu kama hawa bana😅😅😅

  • @Production01Sachita
    @Production01Sachita 13 днів тому +1

    Heshima kwa Mzee huyo. Akili mingi sana

  • @MJM52
    @MJM52 14 днів тому +2

    Mwandishi mbona huelewi,,,unawezaje kunadi sera zako kwa wananchi bila kuwa na mkakati wa kukitoa chama tawala.
    Big up Dr. Slaa

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 14 днів тому +4

    Muandishi ni kilaza. Ajielimishe kidogo kuhusu maswala ya vyama vya siasa

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 13 днів тому +1

    Dokter Slaa mungu akusimamie nmtu wakunyoka hujawai pinda

  • @MsigwaMbugi-ye8nq
    @MsigwaMbugi-ye8nq 15 днів тому +10

    Mtangazaji uwezo wako. Ni wakutulia mashaka. Pia una upande wa ki ccm ccm.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 15 днів тому

      Hakuna cdm bila ccm !
      Musijidanganye!
      Bado ccm ipo ipo sana tu!

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 14 днів тому

      Mjinga sana huyo mtangazaji isitoshe ni inzi wakijani

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 14 днів тому +2

    Mtangazaji pole sana,uko team Mbowe na CCM

  • @SulePonda
    @SulePonda 15 днів тому +4

    Mzee wa busara sna

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 14 днів тому +4

    Huyu mwandishi ana carry za chuoni ndiyo maana hayupo compitant😂😂

  • @magallahramadhani8762
    @magallahramadhani8762 14 днів тому +2

    Ningekuwa CEO wa Global TV ningeondoka na kichwa cha huyu mwandishi. Yupo weak sana kwenye mambo ya siasa

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 14 днів тому +2

    Uyo mwandishi ana maswali yakawaida sana ata mimi naweza kuyauliza bila ata kuyaandika kwe karatas

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 14 днів тому +3

    Duh! Ila huyu mtangazaji kilaza aisee

    • @JAMESMINJA-k8v
      @JAMESMINJA-k8v 13 днів тому

      hapana amemvamia mtu konki kwenyesiasa

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 15 днів тому +3

    Dr slaa Uko vizuri wambia hao wadishi wamekuwa machawa..

  • @daudibukuku6490
    @daudibukuku6490 14 днів тому +1

    Dk slaaa❤❤

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 9 днів тому

    Huyu mwandishi akatafute kazi nyingine ya kufanya uandishi siyo talent au kipaji chake.
    Global TV mtoeni

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 14 днів тому +3

    Huyu mzee yuko smart sana,akili kubwa balaa

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 15 днів тому +3

    Mwandish chawa

  • @alexmnogi1822
    @alexmnogi1822 15 днів тому +3

    Mwandishi bado huna akili yakumuhoji mtu kama Dr silaaa! Welewa wako bado mdgo na hakuna kitu unajua

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 15 днів тому +3

    Mtangazaji anapapara sana

  • @FedrickChambua
    @FedrickChambua 14 днів тому

    Nakukubali sanaa doctor

  • @ditrickluoga7741
    @ditrickluoga7741 14 днів тому +1

    Mwandishiiii 😂😂😂😂😂

  • @MichaelChombo-w2u
    @MichaelChombo-w2u 15 днів тому +3

    Serikali inavunja katiba ya nchi,ingawaje wanaapa kuilinda kuilinda

  • @Danielkashatila2024
    @Danielkashatila2024 15 днів тому +2

    Mwandishi wa habari una upande wako😂😂😂😂

  • @emmanuelkapyela7027
    @emmanuelkapyela7027 14 днів тому +1

    Mwandishi weeeeh

  • @benburner8760
    @benburner8760 12 днів тому

    Huyu jamaa akamhoji kiongozi mwingine atakula makofi😂

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z 12 днів тому

    Mtangazaji byeeeeeee😢😢😢 huwezi

  • @SquaresonR
    @SquaresonR 12 днів тому

    Global TV, Mpelekeni Internship Huyu Mwandishi Wenu 😮

  • @fwc5552
    @fwc5552 12 днів тому

    Mwandishi hakuna kitu kabisa

  • @LameckismThomas
    @LameckismThomas 15 днів тому +5

    Mtangazaji acha usenge

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 11 днів тому

    Baba ulikuwa zaidi yakatibukuu nakumbuka ulikuabshinyanga mjini ukitokea kahamaulikuwa na kikaoha ndani ukumbi wa vijana centa kikao kilikesha mpaka asubuhi mungu akutunze baba

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 9 днів тому +1

    Huyu mwandishi weledi wake ni mdogo

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 13 днів тому

    INAONEKANA ZILE KELELE ZA MBOWE KALAMBA ASALI ZILIKUWA ZA KEWELI!!!

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 13 днів тому

    HIVI DR SLAA NI CHAMA GANI CHA SIASA
    SABABU
    ANAIONGELEA SANA CHADEMA

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 15 днів тому +2

    Mtangazaji ni unprofessional shida ivi hawa wandishi wa habari mbona hawajitambui wanasoma vyuo vya aina gani kajifunze kwa Sammy Awamy wa BBC swahili na salim kikeke

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 14 днів тому +1

    Kwamba unaweza kupewa nchi?
    Ipewe na nani?
    Piga uchaguzi huru wa wazi uone kama hiyo kauli Yako ina maana yyte!

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 9 днів тому

    Yaani kweli upele humuota asiye na kucha muandishi wa hovyo kabisa hajatulia maswali ya kipuuzi mabishano kama wapo kijiweni!!!

  • @JohnClemence-w9b
    @JohnClemence-w9b 13 днів тому

    Mwandishi ulomhoji mheshimiwa nenda kwa Charles Hilal au Kikeke upewe madini zaidi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 15 днів тому +1

    Balozi mstahaf😂😂😂😂 kweli tonge ikiondolewa mdomo unafunguka

  • @valentinemagige1840
    @valentinemagige1840 15 днів тому +2

    Acha uongo, umefañya utafiti kuwa Lisu anapendwa nchi NZIMA?

    • @johnvedastus3079
      @johnvedastus3079 15 днів тому

      Uzushi mtupu 😅 brother, take your time to rest at home . Analysis ya siasa, wewe ni mtu wa theology haya mambo siasa achana nayo na uache uchochezi

  • @laurentjeromekwai9445
    @laurentjeromekwai9445 14 днів тому

    Mwandishi anauliza maswali mazurii lakini anashindwa kuelewa Majibu na mifano anayoitoa ya dr. Slaa .

  • @westonnsenye6346
    @westonnsenye6346 15 днів тому +1

    Dr ni cdm lialia sema tu akina mboe walimuudhi kwa kumkaribisha Lowasa

  • @RajabuSeify
    @RajabuSeify 15 днів тому +1

    Dkt slaaumchonganishi jitfakari sisl tupo tunakua ngalia😊 31:35 31:35 😅

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 14 днів тому

    Slaha elewa walioondoka njombe na kuingia ccm ni wengi.

  • @JohnClemence-w9b
    @JohnClemence-w9b 13 днів тому

    Wanachama wa chini tunasema Lisu hoyeee

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 15 днів тому +6

    Mbona wanasema Dr slaa kakamatwa

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 15 днів тому

      Hata mimi nimeona kwenye mitandao eti amekamatwa. Lakini namuona anaongea Sasa hivi.

    • @JAMESMINJA-k8v
      @JAMESMINJA-k8v 13 днів тому

      kwani unajua hiyo interview amefanya wakat gani!!! kabla ua baada manake nakosa hata cha kukusaidia hapa unataka nini?

  • @mmassycharles409
    @mmassycharles409 14 днів тому

    Hata huku Kanda ya Kaskazini tunamtaka Lissu, Mbowe apumzike.

  • @NelsoniJamily
    @NelsoniJamily 14 днів тому

    Mzee pushi hao hawaelewi tupambanie kwakusaidiana kukomboa nchi iwe ya wote maana Sasa Niya wachache

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 14 днів тому

    Muwe mnajipanga vizuri kuwahoji watu wennye uelewa mkubwa.

  • @DavideBuyamba
    @DavideBuyamba 14 днів тому

    Mwandishi akili ndogo sana

  • @evelina9621
    @evelina9621 14 днів тому

    Watangazi.mjifunze.uongozi.msiwadharu.vyama.vichanga.awwmeshajipanga.chama.tawala.kimanza.kama.mchicha.ukawa.mbuyu.tunachotaka.vyama.vishindane.tuona.inaibuka..mshindi.mmnafurahi.wakishindane..ccm.inajivuna
    Wakiwa.wengi.utakuwa.heshima.

  • @ignasmjie
    @ignasmjie 13 днів тому

    mwandishi uwezo mdogo

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 15 днів тому +1

    🎉

  • @kingj9606
    @kingj9606 14 днів тому

    Yaani huyu Slaa mtu aliyehongwa ubalozi wa Sweden, na canada na ccm na akakubali kuivunja na kuisaliti chadema miaka yote, ndo sasa anatoa ushauri wa kumtoa mbowe na kuunga mkono lissu. Na watu wanakubaliana nae na kusema mbowe atoke?. Sa ingine huwa nasema ccm wana haki ya kutawala tanzania, maana kuna wananchi wapuuzi kweli tanzania.

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 14 днів тому

    Kwa slaaa chama gani?

  • @RamadhaniMgaa
    @RamadhaniMgaa 15 днів тому

    Do mwandishi unaupeo mdodogo sana wa kutambua mambo yaani hiyo Mzee yoko vizuri kipi usicho kijua Sasa hasta iwe CCM kwenye uchaguzi wowote lazima kuwe na makundi baada ya uchaguzi yanavunjwa Sasa mwandishi Gani wear hujui mambo kajifunze zaidi

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 13 днів тому

    Waandishi wa kibongo bwana muwe mnaomba msome shule za nje.. yaani mnatia aibu kuwahoji wasiasa wasomi na wakongwe.. kama mnaogopa basi mfanywe kazi nyingine

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 15 днів тому +1

    Waandiahi wa Tz rusini darasani

  • @MasaluMashala
    @MasaluMashala 14 днів тому

    Mwandishi jifunze kumpa nafasi unayemujoji aongee

  • @gideonchipepo8405
    @gideonchipepo8405 14 днів тому

    Tusimuonee mwandishi yupo sahihi maswali yake ila mzee ndiyo anajichanganya kujibu maswali ndiyo tatizo la kujua sana.

  • @mtaitamchome7475
    @mtaitamchome7475 14 днів тому +1

    Dr. Slaa bado yupo imara na akili yake ni timamu.

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 14 днів тому

    Uyuu mwandishii amna kituuu bado saa arudi darasaaa😂😂😂

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano 14 днів тому

    Ni aibu kuendelea kusema Slaa ana uwezo wa kuchambua maswala ya siasa za ndani ya nchi ,vyombo vya habari vinamshusha hadhi haraka kwa ku expose ufahamu wake mdogo kwenye jamii nafikiri ndiyo maana wanarudia rudia kumhoji

  • @RamaKimbeu-tw4po
    @RamaKimbeu-tw4po 14 днів тому

    DUUH KWERI HUWEZI KUFICHA UONGO

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic 13 днів тому

    siku nyingine watu kama Dr.slaa wasihojiane na watangazaji wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja,mtu anasema sizungumzii katiba ya chama,nazungumzia chama,sasa unawezaje kutenga chama na katiba yake?,kuna chana kama hakuna katiba?,anasema lengo lenu ni kuitoa ccm sio kusema mtafanya nini kwa wananchi?,je chama pinzani kinaweza tekeleza ilani ya katiba yao bila kutoa chama tawala?mtangazaji kama kuna uwezekano fuatilia mahojiano ya salim kikeke na viongozi mbalimbali utajifunza mengi.Pia soma zaidi kuhusu vitu unavyotaka kuhoji ili uwe na data,usihoji juu ya chama ambacho huna idea na katiba yake,ile ccm,chadema,cuf nk

  • @immanase9016
    @immanase9016 13 днів тому

    Mwandishi unabishana badala ya kumuhoji mgeni wako, uliza maswali sio kubishana

  • @LeloSaa-h7h
    @LeloSaa-h7h 13 днів тому

    Hii hoja ya mbowe kung,ang,ania kiti inatoka wapi?Sanduku la kura ndo suluhu ya kila kitu.Jamani tumieni kura acheni malumbano.

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 15 днів тому +1

    Madiliko CHADEMA wataamua kwa SANDUKU la KURA

    • @johnvedastus3079
      @johnvedastus3079 15 днів тому

      Kabisa Kabisa, hii wanayosema wanataka mapinduzi, subirini sanduku la kura 😂.

  • @johnmarcus260
    @johnmarcus260 14 днів тому

    Global TV huyu muandishi wenu mrudisheni shule. Hajui kuhoji, hana information, hajafanya research yeyote juu ya maswala anayokwenda kuhoji. KIMSINGI AMEPERFORM POOR.

  • @judicateurassa7817
    @judicateurassa7817 15 днів тому +5

    Slaa ni mtu wa system

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 15 днів тому

    Mwanangu hawezi kusomea uandishi wa habari

  • @respikiuskajuna9185
    @respikiuskajuna9185 14 днів тому

    Uyu mwandishi ni kilaza sana Sasa maswari Gani anauliza?? Chama kitatumikiaje wananchi bila kuwa madarakani..😂

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 15 днів тому +2

    Huyu mzee huyu Rais atumie sheria inayompa mamlaka kumuweka ndani mtu mtu anaehatarisha usalama wa nchi

    • @johnvedastus3079
      @johnvedastus3079 15 днів тому

      Muda haujafika ukifika 😂 hawa watu wanadharau serikali na sidhani kama kesho wakipewa nchi watapenda wasemwe kwa jinsi wanavyosema serikali. Hawa siyo wakosoaji wa serikali bali wanahubiri shari tu. Wapeni kibano kwanza ili wajifunze kuwa serikali ipo

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 15 днів тому +1

      ​@@johnvedastus3079nyie wapumbavu kweli na wajinga wakubwa wawili mnapeana ushauri wakijinga, hivi yanayofanyika kwani wananchi hatuoni?

  • @cosmasjoseph1609
    @cosmasjoseph1609 14 днів тому

    MWANDISHI UNABISHANA AU UNAHOJI?? UNAULIZA MASWALI YA KITOTO ASIYOKUWA NA TIJA...

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 14 днів тому

    Mtangazaji wewe kiazi,kwani ccm wanauchaguzi ndani ya chama

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 15 днів тому +1

    Waandishi waki Tanzania wao nindiyo kwa uongozi,uoga😅😅 too much.wapo kama upepo
    Hawajui jukumu lao.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 14 днів тому

    Ndugu mtangazaji swali dogo kwanza la kumuuliza huyo mkuu kwanza yeye ni mwanachama wa Chadema na kama mwanchama Card yake namba ngapi na la pili je ? Vipi mkewe ameshamruhusu kujihusisha hicho chama ?

  • @philbertbukeme6177
    @philbertbukeme6177 10 днів тому

    Hii ilikuwa shem kwa chombo hicho na mwandishi wao.

  • @AngelBenard-x2q
    @AngelBenard-x2q 14 днів тому

    Dr slaa alivyohamia ccm akili yake ilikuwa ya kiccm dats why alipinga. Upinzani but now da Ila siasa

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 14 днів тому

    Mwandishi bado mno mno

  • @respikiuskajuna9185
    @respikiuskajuna9185 14 днів тому

    Waandishi kama awa wanaokotwa mitaani eti ni wanahabari 😂😂 uyu mwandishi inabidi arudi shule kiraza sana kutokana na maswari yake

  • @philbertbukeme6177
    @philbertbukeme6177 10 днів тому

    Misingi ya uandushi dogo bado

  • @respikiuskajuna9185
    @respikiuskajuna9185 14 днів тому

    Uyu mwandishi awe anawaoji akina mwijaku mambo ya siasa hayawezi

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 14 днів тому +1

    Katiba kama ilibanwa na mmoja na mwingine akaifungua naye bado kwako hana maana ? Mbona ulikubali cheo uteuzi wa ubalozi? Kama wewe kweli mpinzani usiye kigeugeu usingekubali uteuzi ule. Umeondolewa sasa unaanza tena. Wakati unakula Bata Ulaya mbona uliziba mdomo ?

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 14 днів тому

    CDM haihitaji kupewa!

  • @KillasaBakari
    @KillasaBakari 14 днів тому

    Dr unazeeka vibaya we we ulilambishwa asali na magufu ukapewa ubalozi na wakti huo upinzani ulinyanyasika sana ukawa kimya kanada pambafu

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 15 днів тому +1

    Au nimejichanganya?? Huyu si aliachana na SIASA.

    • @marcedeskaigarula
      @marcedeskaigarula 15 днів тому +1

      Haimzuii kuongea ,anatoa mawazo kama mwananchi wa kawaida

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 15 днів тому +1

    KUHUSU NANI ANAFAA KUWA CHAIRMAN HIYO TUWQACHIE WAPIGA KURA WA CHADEMA.

  • @buberwaclemence8048
    @buberwaclemence8048 15 днів тому +1

    Máandishi wa habari.elewa maisha ya wananchi kote duniani, niko connectef na chama madarakani

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 14 днів тому

    Huyo mboe hajitambui,,kwa pnd wangu bob makani alinifanya niipende chadema na si mboe,

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v 15 днів тому

    Wwe muandish vip