DAR BOXING DERBY | Juma Choki amwambia Nassibu Ramadhan atampiga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Bondia Juma Choki amesema mpinzani wake Nassib Ramadhan atampiga kwa KO hata raundi ya nane.
    Ni kuelekea kwenye usiku wa #DarBoxingDerby Juni 29 katika viwanja vya Posta Kijitonyama.

КОМЕНТАРІ • 5