Kutana na NYAMIHELA
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Tumia Tan AIR Cargo kusafirisha mizigo toka China kuja Tanzania kwa haraka na salama Kama NYAMIHELA na Tan AIR.
Created By Oka Martin
Assistant Mwalimu Carpoza
Follow us on Instagram :
Oka Martin : / oka_martin
Mwalimu Carpoza : / officialcarpoza
#Wanyabi #TanAirCargo
Broo mnafanya kazi nzuri sema mmeanza kudrop coz mmekua mnadelay kutoa vitu hii inawafanya wanaowafatilia kupotea Taratibu jaribuni kuwa active mpo vizuri sana asee fateni nachowaambia
Saiv awo wanapiga hela iyo crip ya tangazo
I don't talk without my lawyer 🤣🤣🤣🤣
Nilichopenda boss anamalizia maneno ya deleva wake
Tunaitaka jacob series iiendelee bhana
Shida yenu amueleweki mnatoa Kila baada ya mda Gani kuweni silias kama joti vinginevyo mtafeli
Exactly 🙏🏼
Unyama wanyabi
Wanyabi kitu mlichonifurahisha ni environment ya hii movie
Safi sana pia content ipo poa
Wanyabiiii😂😂😂🤣🤣🤣mnachekesha san san sanaaaa😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Bado tunawependa sana kwasababu tunajua kua mnajua,, lakini shida inakuja muendelezo hamna,, wapi Jacob??? tumesubiri mpaka basi na sasa tunabaki na maswali tu baada ya mkeka kuchanika nini kitamkuta Jacob
Kweli kabisa
Kapoza umeweza sana... sanaaaa
Napenda san kazi zenu
Nyamidev unazingua wananch tumeupiga mwingi hujatoa kichekesho mbwa ww Mungu akusamehe
You still the best guys🤣
Oyaa uku Canada tunawakubal sana🔥
Nakubali sana
Na wakubali sana tena sana 💯👏
Kaz nzur
Boss kanyamba mshenzi😂😂😂😂
Mnawezaaaaaa
Aiseee chaleee 😂😂daaah
wanyabi bhna
Wanyabi tunawakubali uku kwetu 🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲
Pharrelle mwenyew 🇧🇮
Jacob episódio 4 itatoka lyini form Moçambique 🇲🇿
Kweli waulize
Unyamaaa 😂
Oka big up....😅😅😅😅
Thank you na Asante tena😅😅😅😅😅😅
Chalee😃😃😃
Nzuri
Wanyabi km wanyabi nawakubali sana
Mmetisha
Daahhh sio pow but mkitoa nyeng kama hii itakuw poa sana yaan
Wanyabi forever
Salute you guys
Eti uu uu uuuumeoz boss kadakia kasema weeee
noma sana 🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂 jamaa zangu hawa
Wanyabi nawakubali sana
😅😅😅😅😅uuuuumeoza
Chukuw hiyo kwa wantabi Classic😂
From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ukiangalia vizuri kwenye logo ya apple utamuoana director anafurahia na yeye.
fu fu fuu funguo😅😅
In sukuma voice boss…😂 I dont talk without my lawyer 😂
❤❤
Wanangu wanyabi mnajua bhana sio Siri,, me huwa mnakula sana mda wangu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dah carpoza
😂😂😂
Wanyabi 4 life
Shida yenu mnalinga sana mpaka mashabiki zenu tunasahai kuwafuatilia
Kigugumizi kinakuja tu kwenye Mademu😅😅😅😅😁
Unaweza ukauza Mali Yako na ukarogwa😂😂😂😂
Jakobo inatoka lini episode 4
Hahahahaaa jamani hii iwe na mwendelezo
Umeuwa vijan vipaji 2 unavyoo ongeren sanaaa
Hii NYAMIHELA iendelee 🤣🤣🤣
Hahahha Aaambiwe Ukweli....Kama Kunao Harufu tusiseme
Ila wanyabi 🤣🙌
Tunaitaka JACOB
hii kali
🤣🤣🤣🤣🤣 asiuze nyumba kweli atarogwa
Chale wanazinguaga
Funguo😆😆😆😆😆😆😆😆😆
😂😂💥💯🐯
Duh mecheka balaa dereva bhn
jacobo imeishia wap wanyabi
Umeoza 😂😂
Unyama🙏
Oy wanyambi Wekeni jacobo jaman
Boss nyamihela kaharibuu
Nyie jamaa mnajua. Mnajua tena na tena .
Next 😂😂😂😂
Chale sikiliza
Jamani vipi kuhusu JACOBO series ndo imeisha au
Jakobo tunasubiri tunasubiri tena!
Nakufahamuu 😂😂😂
Kwahyo Jacob mmefungia Maandazi!? mbona mnazingua
💥💥💥💥
Nawakubal xn
Umeoza😂
Wanyabi tuliwa kumbuka
🎉
Wanyabi tunawakubali Uku kwetu🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷
Uko Brazil
AQA washkaj wanajua rotation nzuli knoma utazan sio bongo
Oyah Yacobo Tuna itaka
Wanyabi jibuni comments za wadau wenu
Ety I Don tok dat I ya loya😂😂😂😂
hatariii
,,,😂😂😂
Nimeoza???
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
toa klip ya yangaa midevu 2meupga mwng
Shida huwa hammalizi stori hata yakobo haijaisha mmeiacha
Oya jakobo mbona kimyaa
😅😅😅😅😅
😅😅
Jacobo VIP ndy imeisha Au ?
Hahahah 😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😅😅😅😅😅😅
amna jipya mbwa nyie
Hahahaha
Me nasubili jakobo
ua-cam.com/video/IRdLLN9gEJE/v-deo.html
😂