🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Endelea kubarikiwa na somo hili.
    ..........................................................................
    Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
    Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
    ..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
    Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
    ...............................................................................................................................................
    Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
    Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
    Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
    Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
    CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
    Mungu akubariki sana.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @hildahmesesi477
    @hildahmesesi477 27 днів тому

    Nimejifunza mengi katika haya makambi ya Likoni Good News God bless you so much

  • @noelraiton2875
    @noelraiton2875 27 днів тому

    Balikiwa mtumish wamungu nazid kubalikiwa

  • @janeonsarigo6206
    @janeonsarigo6206 27 днів тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @JoseahMayugu
    @JoseahMayugu 27 днів тому

    MUNGU azidi kukutumia vyema kwa kazi yake aliyo kupatia maana unagusa sana maisha yangu
    God bless you my brothers pr japhet magott

  • @Cyrusmomanyi91
    @Cyrusmomanyi91 27 днів тому

    amen

  • @safariafrica.9361
    @safariafrica.9361 27 днів тому

    God forbid but this gentleman is filled with a lot of pride. 💔😭. His gospel is a true definition of truth mixed with errors.

    • @Eternitybeyond
      @Eternitybeyond 26 днів тому

      We cannot judge.God is the ultimate judge.Take what you can and leave the rest for us to chew.This is a man of God and we have attested.