BARNABA AFICHUA PESA ALIZOTUMIA MJENGO WAKE WA GOBA, SIJAWAHI KUWA UPANDE WA WANAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @jonathankalolo4132
    @jonathankalolo4132 Рік тому +3

    Number 1 nampenda Sana uyu jamaa kwa kilakitu 😅

  • @nelsonludovick3360
    @nelsonludovick3360 Рік тому +3

    Huyu brother nampenda sana nidhamu yake dah

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 Рік тому +1

    Huyu blaza nilizidi mpenda siku alotaja bei za bidhaa madukani na sokoni aloooo bro nakukubali sana.

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 Рік тому +1

    My bro upo juu sna utafika mbali

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 Рік тому

    Sema barnaba ana nidhamu ya kila kitu nidhamu ya na watu nidhamu ya pesa n.k😊😊😊😊😊

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Рік тому +1

    Wise Man

  • @josephatSwai
    @josephatSwai Рік тому

    Dada uko vzr sana ongera kwa swali na ufatiliajii

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 Рік тому

    Sina team ila Barnaba hicho kicheko cha brother Chibu

  • @Commentsplus
    @Commentsplus Рік тому +1

    Dada mtangazaji mpya unajuaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +1

    Uyu binti anakitu atafika mbali

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Рік тому +1

    Anaimba broken english huwezi kusema have you think Na huwezi kusema have you realise ni broken english . Mngeandikiwa nyimbo na watu wanaojua kiingereza

    • @issakisalu9237
      @issakisalu9237 Рік тому

      kwenye kuimba hamna broken English ndugu kibwela776

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Рік тому

      @@issakisalu9237 kupo mkuu kuimba broken english ajifunze kiingereza au wamuandikie nyimbo za kiingereza

  • @NestoSteve
    @NestoSteve Рік тому

    mo pao napenda your displine

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +1

    unaongea vizur sana kaka ila sema mziki ni haram tena haram kabisa japokua tunashabikia hata Hao unao wasaidia kwa njia ya mziki wote mnagawana thambi sema kama unamua kua mziki apo sawa

    • @hijamaulidi7382
      @hijamaulidi7382 Рік тому +1

      Mziki cyo haramu. Ndo maana hata waarabu wanapiga dufu. Ila mziki na michezo imetafsiriwa niupuuzi. Kwasabu inasababisha kuacha swala ,mazishi kwasabu ya mziki na michezo

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому

    Na siku isiishe pia kablq hujaqmbiwa she's beautiful atleas 2wice nor 3rice a day