KUFURU! Jumba La Kifahari La Mmiliki Wa GSM Ni Ajabu, Bakhresa , Mo Dewji Na Diamond Hawamgusi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 4 місяці тому +1

    Msimjumlishe diamond hafiki hizi level hata thelithi em kuweni waelewa

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 Рік тому +1

    Umeenda kuliwa kiboga ndio zako kufurahia maisha ya wanaume wenzako😃😃😃😃😃

  • @zirahommy5917
    @zirahommy5917 2 роки тому +2

    Mtangazaji unafeli hauwezi kusibitisha utaifa wa mtu kwa kumuangalia rangi ya ngozi yake jifunze kaka GSM ni mtanzania Amini hivyo basi

  • @Kukuainayakuchinabeizake
    @Kukuainayakuchinabeizake 3 місяці тому

    Wazungu wanasema huyu mtangazaji boring.

  • @richardmsuva4260
    @richardmsuva4260 Рік тому

    Host, unazingua, maneno mengi kuliko lengo,,,au ndo dalali wa kutupiga mabando,,,???

  • @tanzaniatouristsattraction1622

    Mtangazaj unaongea sana nenda kwenye point muimu unachosha