VITASA: Said Faraji alivyomtandika Richard Mkude |
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Raundi ya pili kila mtu alichachamaa lakini wakujiita "Kichwa kisichokuwa na Ubongo" Said Faraji akashinda pambano hili kwa pointi.
Tazama pambano zima lilivyokuwa...
Azamtv ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wap like zakeèee
Kaz Bado sana brooo
Nakuku bali jembe langu side Unatisha man Mungu akuwezeshe ufike mbali jeshi langu
Kapewa hiii Hamna kituu
Kabebwa mno mduanzi sana alafu anashangilia
Mkude kashinda wazi kabisa
nihatali
Jamani acheni utani jamaana pamba
😢Mkude tulia hii Tanzania yetu hapa hatujaipa haki yake maana apa umeshinda sijui tu kwanini hawajakupa ushindi
mukude bado mudogo sana