@@humphreymwihambi4330 wekipofu huwezi juachochote,Hujui kama amenusurika kuachwa na Tim alifungiwa kioo Sema bado anamkataba wa mwaka1 jitahduni kufatilia mambo sokutukanatu hujui lolote
NA HUYO ASKARI ALIMPIGA MANULA KWANI ALIMKOSEA NN? HV NA WAO WAKIJA HUKU TUWAFANYIE VURUGU?CAF MLIKEMEE HILI HAPO CKANUNI ZA MPIRA. HAYA MAMBO MSIPOKEMEA KUNA CK WATAUWA WENZAO. TFF NA CAF TUNAOMBA HILILIANGALIWE
Pole sana Semaji letu la Caf naona una mafua
Tupo huku nyumban watatukuta polen sana Ahmed namajukumu
Libya wafungiwe mashabiki,na mechi zao wasichezee kwao ila nchi jirani na ulinzi polisi wao wasihusike.
SASA HUYO POLISI KAZI YAKE NI KULINDA AU VURUGU?
Ahmed miyeyusho sana mbona kumuwasha kelbu tena ndugu, sema poleni kwa kashkash waje lupaso tuwaoneshe kazi inafaa waadhibiwe kimpira 😂😂😂
😂😂😂
@@PawaIkangaa eti kamuwasha kelbu 😆😆
Nafurahia kichapo chamanula,, Nilishamchukia toka auzemechi nawajingawenzie tukala 5️⃣ Mpaka ss sinaga imaninaetena. Hongera chamalangu lunyas mmepambana kwaubora zaid
Ni ubora wa yanga na sio manula kuuza mechi, muogope Mungu
Wewe ni mpymbavu sana. Aliuza mechi au timu ililemewa?
@@humphreymwihambi4330 wekipofu huwezi juachochote,Hujui kama amenusurika kuachwa na Tim alifungiwa kioo Sema bado anamkataba wa mwaka1 jitahduni kufatilia mambo sokutukanatu hujui lolote
Kelbu nini😅😅😅😅😅