"PALE YANGA NAMBA YANGU IPO" MSIKIE FEISAL SALUM AKITEMA CHECHE
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #yangasc #yangatv #yangaleo #azamsports #mpenjatv #manaratv #mavalatv #ayomatv #scopemedia #spotikaonlinetv #Utvtanzania #battletv #Dafraonolinetv #kariakooderby #alikamwe #Maximumtv #M15tv #PmtvTanzania #Richmedia #CAFAwards #tetesizausajiliyanga #tetesizausajilisimba #mazoeziyayanga #battletv #datasportstv #mbwaduke #yangascmedia #tanfootball #pecomezouzou #Wolfssportnews
#Afcon2023 #simbasc
Karibu sana yanga tena mwana mpotevu unamjua sana boli hukosi namba yanga unajuaaa sana.
Number ya nani anaichukua yanga
❤mshikaj anajua semaa tu timu aliyopo viongoz wake awajuh wanafanya nn kweny klabu
Kabisa aangalie tim za kaliokoo aende zimtambulixh kimataif
Asirudi yanga uyoooooo
Unaikubuka yagnga sana ukifika ukajua yanga itateleka
Njoo yanga tena bado tunakupendaaaa
Maji yamezidi unga
fei is one of the Best players in this country of mwl nyerere... shida ni vitu vidogo vidogo saana...na maneno ya kuambiwa awe na uwezo wa kuyachanganua na kuyasimamia...
Nakukubali sana
Rudi nyumbani mwanangu ww ni mtoto wetu 🔰
Wewe ni Super sana kaka
Kwa mim fei toto ata akiludi yanga nampokea kwa miguu miwik
Kuna tatizo gani Feisal kurudi yanga mbona Morrison alirudi
Com back dogo
Anajua kua yanga n TM kubwa
Ebwana wee kijana big up ni muda wake wa kutafuta hela
Kama ypo tayari alud 2 mwane2 atkosea lakini ha2na budi kumupokea
Mimi mwenyewe sikutaki
Mmmmmm kalib mwana mpotev
Come back home
Timu aliyoko n nzr lakn xhda n la mwalim( kocha) mm nashaur atambue namna ya mabek walivy means shda n beki
Welcome back home maestro
😂😂😂
Huyu nisimba2
xhida dogo ulizinguwa
Wasaidie Azam
Koma wew mbwa
Huyo fei amechoka kula aiscreem😂
Hat mim cmtaki fei kiukwel aende hat simba lkn yanga cmtak kabisa na hat akisajiriwa ctamshabikia afany vzr au vibay tupa kule
Ww fei huna jipyaa
Potea bwana kwingine utavunja ndoa yetu na mji
Fundi sana
Naomba nirudishie elayangu niliyoliwa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤rudi nyumbani patana na rais ukiona mashabiki wanakupigia kelele ni wanakupenda
Acha mtoto arud nymbn 2:17
Nyumbani kwao wapj? Unguja au?
Tulimrudisha moluson pamoja naali hotufanyia na pesa katupiga lakini tulimrudisha acheno roho za tetenas kwa feichuki za kwenu nyumbani mwazileta mpilani nawaomba tuongee ruga ya kimpila 😅😅
Yaani bado hajasema ,mpaka aseme🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
rudi nyumbani
Karibu jangwani fei wewe nakukubali sana hakuna zaidi yako ndani ya taifa letu
Feisal mm namkubali changamoto ni part of life ila fei ni mchezaji na nusu
Binafsi sihitaji hii nyumbu ije yanga😅😅
Ndy usishangilie lasivyo vita itakuw ya kudumu hapa
Dogo fei Rudi zako yanga ase unapendeza sana ukiwa tangu tumeku miss sana
Fei toto! Acha watu waku tukane na kuku kosoa, come back na mvute na fiston kalala mayele na mwambie turudi wote dirisha dogo.😊❤
Me namkubali sana ikiwa pesa ipo anakwenda kupiga hela sio kuckiliza maneno ya watu
Huyu mwandishi aliyevaa tshirt imeandikwa visit Rwanda anajua sana kuuliza maswali
Ulicho kitaka ni kula Bata mpila kidogo unalaha sana ww😁
We Fei acakujiamini ingia sasa uceze unasubirinini Yanga hatukutaki ukofala gapige mauno kwasimba uuuuiiii😝😝😝😝
Achen akae huko yaanga hatumhitaji
Hajakosea fei we ukihtaji rud yanga tumekumsi
Wacha kutukan kaka uwo mpira mwenzako unamwita msenge kwa manufaa yake mwenyew muache apambane fei
Kazi unayo😅😅😅😅😅 komaaaaa! 😂😂😂 kilikuwasha nini kuondoka na kinakukuna nini kurudiiii😂😂😂😂😂
Akishindwa ugali sukari sasa anautaka acha aje ale
Abaki hukohuko
Ni suala lako tu ilo tumekuachia kk angu
Wee morisson amerudi sembuse huyu fei ni mtoto wa nyumbani
muache atapetape hizo ndizo kauli za mfa maji yanga hatuna nafasi naye tena
Njoo dirisha dogo usichelewe. Kama mkataba tutakuchangia ulipe
Ukweli kama yanga watamrudisha huyo mhuni wa mauno watakuwa wendawazimu na timu apewe magoma timu yake
Huyo anayesema mashabiki wa simba ndiyo wanamtuka fei, ujue huyo ndiyo chakula cha injinia anambokoa yaani mikundu anayoifira injinia, wa se ngeeeee wa ja ngwa niiiiiii
Rudi tu fey kaka bado tunakipenda tu
Hajui mpira chochote magoli yake yote anayofunga sio ya kiufundi ni ya kubahatisha tu
Fei unapamban
Kuna leo na kesho lazma atafute hela mpira wa Tanzania ni mipira ya kichawi tu😂
Ulilinga sana mwisho wamalingo yako ndio uo
mwachen akapumzike jamani
Kuchamba kwingi utainuka na mavi....unaona mungu anavo Lipa umekua mfa maji haachi kutapa tapa ndo hili sasa
Hahahaah😂😂😂😂😂😂 akamwambie mama ake
ila kuna point umeiongea kijan
Unataka tena urudi Yanga kula ugali na sukari?
MSIMCHONGANISHE NA VIONGOZI WAKEE JAMANIII BWAANAAA
Gundu tupuuuu
Feisali uliyumba sana sasa majuto ni mjukuu
Pesa kwanza haijalishi unacheza wapi
Msaaukwao n mtumwa rud wwe
We fei ni fala tu huna jipya kumas we
Fei hautofeli
Fei mdogo wangu simba na yanga ni ndoto ya kila mchezaji anahitaji hizi timu sema wewe umefanikiwa kupita yanga ndo unatoa majibu ya kizembe waulize wachezaji hata huko kwenye ligi za ndondo wote matamanio ni vilabu viwili tu ukisikia wametaja Azam ni ziada kwaiyo hilo jibu ulilotoa bado alijawapa furaha kina awesu
Kamwambie mama yako Yanga hurudi tena
Sijawahi kukuchukia
Acheni akae hukohuko apigwe akili zimuingie
Huu mpira Acheni matusi
Dogo unatamaa sana namambo yakisenge so ile miuno ya kumtamanisha ex wako ili akurudie sifa sio nzur usitukane mamba kabla ujavuka mto kumanina zako tumekusameh
Ana mikosi uyu yan ukiwa nae hutoboi
Pumbavu
Usimtukane.
Yakwanza nikuomba msamaa yapili kufafungisha midomo ya 3 kuwakatikiya muuno ta 4 itakuwa aje sasa du! Tusubili tuone yamungu mengi
Émana Eng Hersi uyu musenge hatumutaki hatumwitaji hatumupendi akafie mbere usituuthi
Wanaotukana ni mashabiki wa Simba hao.
Rudi nyumbani feisali tunakukubali sana
Kwa hiyo anamlaum mwalimu wake,acha dogo mwisho utajkanyaga waachie wasemaji wako,usije ukaleta tahaluki ww na viongozi wako
Hajamlaumu mwalimu
Great mom kaam musabiki wayang namushaur arud yang
@@AthumaniJarufu-l8zhili Kiswahili au kilugha kuna watu kuandika changamoto
Feisal una laana utaishia hapohapo maendeleo yatakupta nyuma yamgongo
Jilekebishe
Yanga home wewe
Mrudishe huyu dogo anajua boli sana
Anamkosi fei
HUYU MJINGA MKUBWA AKACHEZE ANAKOCHEZAGA AU AENDE HUKO UMAKOLONI..
Ndoto ya mchana hiyo,
Bac kuna mambwa wataumia
Usimlaum mwalim jilaumieni nyie wachezaji
Karibu mwanetu❤❤
Huyu dogo naomba kusamehe tu
Ludi nyumbani feisali weee ni kijana wetu na nimtoto wa yanga
Mm km mzanzibar mwenzang huyu jeur zilimzidi hadi umri alijiona akitoka yanga ..labda yanga itayumba bila yy yanga haiendelei lkn mungu kampiga kichapo takatifu saiv amekua mahulukutab
Eng Hersi ukitaka tugombane mrudishe huyu msenge, Sisi nyuma mwiko hatumtaki huyu fala asirudi Na hatumtaki akatafute timu Sio Yanga. Akafilwe huko
Aswaa yaani asithubutuuu
Kolo wewe😂😂😂😂
Ww ndio ukafilwe kolo ww pumbavu
Upo sahihi mkuu
Hapana ha2mtak ht kwa bule
Rudi nyumbni kaka tunakupenda sana
Nyumbani wapi? Unguja au Kizimukazi?
Ask hatuna kinyongo naww kijana rudi nyumbani
Kama yuko tyr kula ugal na sukal
Ah mi nahofu na huyu kijana,aludi tena